๐น๐น๐น umeanza kamba sasa..!!Mimi ni Me Ila nilikisoma. Nilikisoma 2020
Ingia google utakipata, Kwa hakika utafurahia na utakuwa unapata pesa kirahisi sana
Mm kilinifunza kupata Ke ninayetaka Kwa kufuata kanuni maalum๐๐๐
Jubal Sackett kazr ya Louis L'AmourLady chatterlays lover, nilikuwa kijana,sasa hivi ni mzee na bado kimenijaa kichwani, kuna kingine kinaitwa Jubal sacket, kama unapenda adventure basi hakikisha unakitia mkononi haraka.
Don Vito ColeoneGodfather.
Mwandishi Mario Puzo
Hadithi ya Allan Quartermain, Umslopagaas"Makumazan"
Sawa mkuu kipo kwenye pc nitakutumia kesho inshaallahMkuu kama una soft copy ya Confession of an Economic Hitman iweke hapa jukwaani
๐น๐น๐น umeanza kamba sasa..!!
Utajua namna ya kupata kitu chochote kutoka Kwa mwanaume๐น๐น๐น umeanza kamba sasa..!!
1. Mashimo ya mfalme suleiman mwandishi ni Henry Rider Haggard 6. African Child mwandishi ni Camara Laye 2. Huyo mwandishi ni Elechi Amadi1. Mashimo ya mfalme Suleman by Allan Quaterman
2. Great pond by Eledi Amachi
3. Things fall apart by Chinua Achebe
4. Vuta n'kuvute by Shafi Adam Shafi (anajua sana huyu jamaa)
5. Duka la kaya by Ndimara Ndigambwage
6. African child by Eledi Amachi
7.......
The power of Pussy by Kara king.Naomba nitumie soft copy kipenzi ๐น๐น
...simu ya kifo kuna mtu anaitwa Francis Andrew Mbozia aka FAMBO...The Godfather, Hadithi ya Allan Quateman, Roza Mistika, Simu ya Kifo....
... It was 1976, 1980 Iddi Amin was already oustedNinety minutes at Entebbe- it was 1980
...ninayo tuwasilianeUNa nakala laini urushe hapa
Kwan mkuu wakileta hivyo vitabu wewe itakuathiri nini? Kwahyo watakao sema vitabu vya akina R. Mabala utasema wao ni wafia nini?Wafia dini wataleta hekaya zao za Biblia na Quran sasa hivi.
Vipi Mr, ushawahi kupitia hili gombo, The origin of Satan by Elaine pagels.Shetani hayupo.
Hii ndio riwaya yangu ya kwanza kununua cash... Amerigo bonasera anapopeleka mashtaka kwa Don corleone kutafuta Justice.....Godfather.
Mwandishi Mario Puzo