Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Hii ilitukuta sisi pia na tulipigwa spaa mpaka wakati wa mitihani ndo tulienda shule ila Mungu fundi bwana kati ya wote tuliopata hiyo dhahama wote tulifaulu vizuri sana. Nakumbuka nilipokwenda kuchukua slip yangu nilikuwa nadaiwa elfu 25 ila nilisamehewa eti tuliiheshimisha shule pamoja na yaliyotokea.
 
Hongera dear
 
Aliniambia sito fika mbali leo hii naandika hii comment nipo Miami na totoz
Cc: ephen_
 
Maneno huumba. Unapoambiwa jambo ambalo huna usijihisi mnyonge ikatae hiyo Hali halafu acha vitendo viongee Wala usifungue mdomo...
 
Asante japo nilikuwa Nina kautukutu lakini πŸ˜€πŸ˜€kuja shule na kuondoka mda wowote Yan suala la sheria za kuwahi sijawah kulielewa
Au muonekano ulikusaidia 😜😜
 
Au muonekano ulikusaidia 😜😜
Amna nilikuwa mkimya huwaga siongei had nisemeshwe huwez Nikuta kwenye ugomvi Wala kundi sijui dadaz nn πŸ˜€ mara butterfly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Amna nilikuwa mkimya huwaga siongei had nisemeshwe huwez Nikuta kwenye ugomvi Wala kundi sijui dadaz nn πŸ˜€ mara butterfly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo maana basi 😜 sie wengine sura zetu ni kosa tayari πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mlikuwa wazuri sana wasichana wazuri shule wanapata tabu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚
Siku Moja nakumbuka nilikua nimependeza sana na nguo Shule na Shati la Tomato mwenyewe, Soksi zinang’aa vizuri nikakutana na huyo Mwalimu wa kike alikuwa na Mdomo. Hata sikujua Kosa langu nilisemwa Jamani Eti najidai πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Adhabu za kutosha. Hadi nilihama Shule Form Five.
 
Hata usipoingia darasani au usipoandika somo langu ,,
mimi mshahara wng napata kama kawaida..

Mwalimu wetu wa hesabu shule ya msingi 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…