Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Darasa la saba hapo mikocheni..tulikiwa wasumbufu sana. Tunaruka ukuta tunaroka hatukai masomo ya jioni, siku moja ilipita roll call jioni hatupo kesho tukakamatika kupelekwa ofisini Chapwa sana. Mwalimu kondo akalitoa la moyoni.
"Jinsi mnavyotusumbua nasema na ninyi mkikua mtakuja kuwa waalimu, mtalipwa kwa haya mnayotufanyia".

Kweli ni mwalimu lakini sijawahi kusumbuliwa. Na ninafurahia kazi yangu ingawa haikuwa kazi ya ndoto yangu.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…