Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Ndio shosti....Hahaha..!
Madame bhaaana..! Bora lawama kuliko fedheha siyo..??
Watajua bahati mbaya, kumbe uko kazini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio shosti....Hahaha..!
Madame bhaaana..! Bora lawama kuliko fedheha siyo..??
Hahahhaa...!mara ya kwanza Ghetto wana wamekuja kama wote sasa muda wa mapishi, nikajikuta najua, siku hiyo nitoe wali (hapo nisha-master kupika dongo) kumbe pishi la wali halitaki chumvi ikolee, mi nikaonja maji ya wali huku naongeza chumvi mpaka nikaisikia imekoza ile design ya mboga, na kwenye kipengele cha maji sikuyumba nikapiga full mpaka juu ( kwa mbwembwe nikapalia kabisa na moto kana kwamba fundi, kumbe nilikuwa naonaga tu sista anavyotoa kitu home)
kumbe kwenye mboga chumvi kukolea ni sawa ila kwenye wali ni disaster, msosi kuja kuiva ni bonge moja la boko afu una chumvi balaa, dah wana pamoja na njaa ile kila wakijaribu kula waap, chumvi nyingi sana ilibidi mmoja mmoja avunge ameshiba na mzigo ukabaki kwenye sinia
hahahah sitosahau hiyo
Kabisa...acha tuHahaha..!
Na kazii imelipaaa.!!
Hahahhahah kazi kweli kweli sema watoto wa .com hizi fun moment sijui kama hua wanazipitiaMkuu nimecheka hadi basi.
Nimecheka wakatukana na kuumaliza ugaliMkuu umenikumbusha mbali Sana enzi izo 2010 naenda kureport advanve kusini uko nikafikia kwa bro wangu mwanajeshi nitumie angalau week mbili tatu kabla sijaingia shule, sasa siku nimefika nikakuta kapika fresh Sasa kesho yake akanielekeza mazaga ya kupika yalipo nirekebishe ugali(yeye alikua stand bay) kwenye Sasa sita wakaja wanajeshi kibao pamoja na bro waje wale then waendelee na Mambo yao uko, nikawa nmepika mboga fresh tuu baada ya kuwaona nikawa naweka maji nisonge ugali nikapata kama panic flan, maji hayakuchemka vzuri pia sikuacha uji uchemke, bhana bhna ugali ukatoka mbichi aufai wazee uko wanapiga kelele dogo tunachelewa leta ugali huo. Ili kuuwa so nikafunikua ugali kwenye sinia moja na mboga nikawatengea nikawa pembeni nasikiliza. Daah kama mnavyojua wanajeshi walivyo baada ya kuanza kula tuu kuona ugali mbichi walianza kushusha matusi pale bro akawa anacheka tuu npo apo nataka hadi kulia, waliula wote Ila kwa matusi, bro badae akanambia dogo usipanic ndo kawaida yetu Ila ujifunze kupika. Toka ile siku nilijifunza kupika ugali ulionyooka wakawa kila siku wananisifia balaa hadi Sasa wengine ni washkaji zangu Sana.
Umenichekesha,utegue sufuria!!!Haha..!.
Hapo pa kutegua ili jungu limwagike ni idea nzuri, ninaweza itumia siku moja.. Ahsante sana.!;
Mkuu ukitaka kuwa mpishi mzuri wa ugali bila kuharibu na kuweka yale mabuje, kuna mbinu ipo hivi:Mimi ugali mpaka leo inatokea bahati utoke mzuri kama hujatoka na mabuje basi hauivi
Hahahaa..Daaah umenikumbusha mbaliii kuna siku nilikua home mwenyewe nikaamua nijipikie ugali maana nilikua na ubao nikasema nipike bonge la ugali basi nikaingia zangu jikoni nikapika ugali ulivyokua mtepe sasa duuuh nikajisemea kimoyo moyo huu nitaugonga mpaka uishe ile nimetenga tu nasikia mother anagonga hodi kufungua namkuta kaja na rafiki zake daaaaaah mpaka kijasho kikanitoka nao wakajisemea wamefikia pazuri[emoji849] basi nikawanawisha vizuri wakaja mezani kula ile wanamega tu [emoji2363]nikaskia wanaguna [emoji2303]hata hawakuendelea walipiga tonge mbili mbili wakajisemea wameshiba huku mimi nikiwa bize nashusha matonge ya adabu[emoji23]
Hongera sana..! Wewe umebahatika.! Wengine tumepambana mpaka akili zikatukaa.!!Dahh nimefurahi sana leo mm sijawahi sumbuliwa pika chakula kikatoka Vby Napika kalbia vyakula vyt pendwa Ugali wali pilau Mtori na vngn vng japo wa kiume Nimejuwa kupika hivyo vyt kwa sbb nimelelewa na watu tofaut so ukiwa kwao lazm upike siunajuwa 50'/50 sio pow kipindi iko
Kama ulizingua ukiwa mwenyewe si mbaya sana.. Mbaya ni ile hukuwa mbele za watu..! Watu waanze kata keki tuleee.! Wanakata wanakuta vitu vimeshikana..Nimezingua sana kupika keki hakika mwanzo ni mgumu , ni vile kutumia mikaa ndo maana inasumbua , siku hizi napika tu endapo nitakuta oven otherwise bora nikununue kwenye bakery.
Hahaha, mimi imenikuta mbele ya ndugu zangu sema ni washikaji tu .... Haha kama ni sherehe bora ununue kutoka Bakery ..Kama ulizingua ukiwa mwenyewe si mbaya sana.. Mbaya ni ile hukuwa mbele za watu..! Watu waanze kata keki tuleee.! Wanakata wanakuta vitu vimeshikana..
Hahahhaa..!Hahaha, mimi imenikuta mbele ya ndugu zangu sema ni washikaji tu .... Haha kama ni sherehe bora ununue kutoka Bakery ..
Tena wanakuta na imeungua juu mara upande huu haujaiva , dah tutafute hela tu .
Hahahhaa..!
Jamani nyieeeh'...!
Hivi honestly utaambia nini watu.! Hapo ndiyo habari zimetapakaa mjini mpishi wa cake anafahamika na ulitia na mbwembwe, unajikuta umekuwa mdogo aibu inakuzidi uzito.!
Hahaha..!Mimi nakimbia aiseeh ... Hiyo aibu ni noma
mambo mengine haya tuwaachie wapishi wa keki wanaoweza ..
mimi napika keki za kula tu na familia , kujifanya mpishi mashuhuri ndo nn [emoji1787][emoji1787].