Uliwezaje au una-deal vipi na mchumba au mwanamke anayeamini katika dawa za kienyeji kama ulinzi (kinga dhidi ya wachawi)?

R_Breazy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2025
Posts
391
Reaction score
746
Wakuu habari za wakati huu
Its weekend, wengine najua bado tupo tunapambana baadhi yetu pia ni siku ya kupumzika pengine kutoka either wenyewe ama na wapenzi wao kufurahisha nafsi.
Nianze kusema tu nimekuwa disappointed sana na kile nilichokiona ndani (chumbani).
Leo nimeona vitu ambavyo sikuvielewa ndani, baada ya purukushani za hapa na pale, Na mtu wangu alitoka kufua nguo mimi nikabaki ndani, kuna muda alirudi chumbani akawa anaangalia kitu nikajikuta pia nimetupa jicho mezani - macho yangu yaliangukia kwenye boksi fulani la simu ambalo vitu vidogovidogo nilikuwa naviweka, hivyo nilimuomba ili niangalie kama kuna chochote cha maana. Alinipatia huku akiniambia kuna vitu vyangu humo, nikawaza vitu gani tena hivyo- nilichukua nkafungua nikaona vichupa viwili kimoja kidogo cheupe(kinafanania na vichupa fulani vya dawa ya macho) nyingine kichupa fulani kina dawa nyeusi(kichupa cha visungura cha plastiki)kwa nje kimeandikwa DUBI jina la dawa iliyomo kwenye chupa.
Nilimuuliza "hii dawa ni yanini?" akajibu "ni kinga ukisikia bundi au chcht unapaka inasaidia" Nilimuuliza "na unaamini inasaidia au itakusaidia?" Majibu NDIYO, nilimaliza kwa kumwambia sasa unaenda kanisani kufanya nini? Hakuna haja.
Niliamua kuijua zaidi kuhusu hivyo vichupa kwa ndani kulikuwa na vikaratasi vya namna ya kutumia
MAELEKEZO KICHUPA CHA KWANZA
"Paka utosini, kwenye meno(magego) na nyingine paka matakoni (Anus)"😌
MAELEZO KICHUPA CHA PILI
"Paka na mafuta meupe mwili mzima"🌝

Baada ya yote, nilitulia sikumuuliza chcht ila ukimya ulieleza mengi, nliplan muda wa chakula niigusie taratibu ila kabla sjaanza akawa ameileta, nilizuga simuelewi hadi alipofunguka, alipomaliza nikamwambia ntajiskia faraja sana kama ukitupa hivyo vitu. Majibu yake ni kinga mara dawa ya nyoka hata uking'atwa mara Mungu alisema tujisaidie naye atatusaidia, muda anaongea niliona mikono yake inatetemeka-nikaconclude tu kama htaki kutupa sawa.
Ila baada ya kuona haya mawazo yamekuwa mengi sana, kwa mliowahi kupitia hizi ISSUE mlipitaje😶

Ikumbukwe ni mwalimu ajira mpya, ngazi msingi
Lakini pia kuna mwalimu mmoja alilala ndani kesho yake alfajiri akaamka yupo mtoni, aliomba kuhama-tukio lilitokea mwezi wa pili mwaka huu.
 
Leo nimeona vitu ambavyo sikuvielewa ndani, baada ya purukushani za hapa na pale, Na mtu alitoka kufua nguo mimi nikabaki ndani, kuna muda alirudi chumbani akawa anaangalia kitu nikawa nimetupia jicho mezani - macho yangu yaliangukia kwenye boksi fulani la simu ambalo vitu vidogovidogo nilikuwa naviweka, hivyo nilimuomba ili niangalie kama kuna chochote cha maana. Alinipatia huku akiniambia kuna vitu vyangu humo, nikawaza vitu gani tena hivyo- nilichukua nkafungua nikaona vichupa viwili kimoja kidogo cheupe(kinafanania na vichupa fulani vya dawa ya macho) nyingine kichupa fulani kina dawa nyeusi(kichupa cha visungura cha plastiki)kwa nje kimeandikwa DUBI jina la dawa iliyomo kwenye chupa.
Nilimuuliza "hii dawa ni yanini?" akajibu "ni kinga ukisikia bundi au chcht unapaka inasaidia" Nilimuuliza "na unaamini inasaidia au itakusaidia?" Majibu NDIYO, nilimaliza kwa kumwambia sasa unaenda kanisani kufanya nini? Hakuna haja.
Niliamua kuijua zaidi kuhusu hivyo vichupa kwa ndani kulikuwa na vikaratasi vya namna ya kutumia
MAELEKEZO KICHUPA CHA KWANZA
"Paka utosini, kwenye meno(magego) na nyingine paka matakoni (Anus)"😌
MAELEZO KICHUPA CHA PILI
"Paka na mafuta meupe mwili mzima"🌝

Baada ya yote, nilitulia sikumuuliza chcht ila ukimya ulieleza mengi, nliplan muda wa chakula niigusie taratibu ila kabla sjaanza akawa ameileta, nilizuga simuelewi hadi alipofunguka, alipomaliza nikamwambia ntajiskia faraja sana kama ukitupa hivyo vitu. Majibu yake ni kinga mara dawa ya nyoka hata uking'atwa mara Mungu alisema tujisaidie naye atatusaidia, muda anaongea niliona mikono yake inatetemeka-nikaconclude tu kama htaki kutupa sawa.
Ila baada ya kuona haya mawazo yamekuwa mengi sana, kwa mliowahi kupitia hizi ISSUE mlipitaje😶
Utalishwa uchafu mpaka ukome
 
Wakuu habari za wakati huu
Its weekend, wengine najua bado tupo tunapambana baadhi yetu pia ni siku ya kupumzika pengine kutoka either wenyewe ama na wapenzi wao kufurahisha nafsi.
Nianze kusema tu nimekuwa disappointed sana na kile nilichokiona ndani (chumbani).
Leo nimeona vitu ambavyo sikuvielewa ndani, baada ya purukushani za hapa na pale, Na mtu wangu alitoka kufua nguo mimi nikabaki ndani, kuna muda alirudi chumbani akawa anaangalia kitu nikajikuta pia nimetupa jicho mezani - macho yangu yaliangukia kwenye boksi fulani la simu ambalo vitu vidogovidogo nilikuwa naviweka, hivyo nilimuomba ili niangalie kama kuna chochote cha maana. Alinipatia huku akiniambia kuna vitu vyangu humo, nikawaza vitu gani tena hivyo- nilichukua nkafungua nikaona vichupa viwili kimoja kidogo cheupe(kinafanania na vichupa fulani vya dawa ya macho) nyingine kichupa fulani kina dawa nyeusi(kichupa cha visungura cha plastiki)kwa nje kimeandikwa DUBI jina la dawa iliyomo kwenye chupa.
Nilimuuliza "hii dawa ni yanini?" akajibu "ni kinga ukisikia bundi au chcht unapaka inasaidia" Nilimuuliza "na unaamini inasaidia au itakusaidia?" Majibu NDIYO, nilimaliza kwa kumwambia sasa unaenda kanisani kufanya nini? Hakuna haja.
Niliamua kuijua zaidi kuhusu hivyo vichupa kwa ndani kulikuwa na vikaratasi vya namna ya kutumia
MAELEKEZO KICHUPA CHA KWANZA
"Paka utosini, kwenye meno(magego) na nyingine paka matakoni (Anus)"😌
MAELEZO KICHUPA CHA PILI
"Paka na mafuta meupe mwili mzima"🌝

Baada ya yote, nilitulia sikumuuliza chcht ila ukimya ulieleza mengi, nliplan muda wa chakula niigusie taratibu ila kabla sjaanza akawa ameileta, nilizuga simuelewi hadi alipofunguka, alipomaliza nikamwambia ntajiskia faraja sana kama ukitupa hivyo vitu. Majibu yake ni kinga mara dawa ya nyoka hata uking'atwa mara Mungu alisema tujisaidie naye atatusaidia, muda anaongea niliona mikono yake inatetemeka-nikaconclude tu kama htaki kutupa sawa.
Ila baada ya kuona haya mawazo yamekuwa mengi sana, kwa mliowahi kupitia hizi ISSUE mlipitaje😶

Ikumbukwe ni mwalimu ajira mpya, ngazi msingi
Iwapo ni mchumba mpe chaguo aachane na hizi kitu,Tena umpe muda wa uangalizi iwapo ukibaini bado anaendelea huyo atakuwa kukusumbua maishani. Pia iwapo umesha oa weka msimamo wa kutokubaliana na hayo mambo na aelewe kikamilifu,iwapo mnaamini katika Imani hakikisha anashiriki kikamilifu.
 
Iwapo ni mchumba mpe chaguo aachane na hizi kitu,Tena umpe muda wa uangalizi iwapo ukibaini bado anaendelea huyo atakuwa kukusumbua maisha I,pigs chini,iwapo umesha oa weka msimamo wa kutokubaliana na hayo mambo na aelewe kikamilifu,iwapo mnaamini katika Imani hakikisha anashiriki kikamilifu.
BIG BRAIN🙏
 
Wakuu habari za wakati huu
Its weekend, wengine najua bado tupo tunapambana baadhi yetu pia ni siku ya kupumzika pengine kutoka either wenyewe ama na wapenzi wao kufurahisha nafsi.
Nianze kusema tu nimekuwa disappointed sana na kile nilichokiona ndani (chumbani).
Leo nimeona vitu ambavyo sikuvielewa ndani, baada ya purukushani za hapa na pale, Na mtu wangu alitoka kufua nguo mimi nikabaki ndani, kuna muda alirudi chumbani akawa anaangalia kitu nikajikuta pia nimetupa jicho mezani - macho yangu yaliangukia kwenye boksi fulani la simu ambalo vitu vidogovidogo nilikuwa naviweka, hivyo nilimuomba ili niangalie kama kuna chochote cha maana. Alinipatia huku akiniambia kuna vitu vyangu humo, nikawaza vitu gani tena hivyo- nilichukua nkafungua nikaona vichupa viwili kimoja kidogo cheupe(kinafanania na vichupa fulani vya dawa ya macho) nyingine kichupa fulani kina dawa nyeusi(kichupa cha visungura cha plastiki)kwa nje kimeandikwa DUBI jina la dawa iliyomo kwenye chupa.
Nilimuuliza "hii dawa ni yanini?" akajibu "ni kinga ukisikia bundi au chcht unapaka inasaidia" Nilimuuliza "na unaamini inasaidia au itakusaidia?" Majibu NDIYO, nilimaliza kwa kumwambia sasa unaenda kanisani kufanya nini? Hakuna haja.
Niliamua kuijua zaidi kuhusu hivyo vichupa kwa ndani kulikuwa na vikaratasi vya namna ya kutumia
MAELEKEZO KICHUPA CHA KWANZA
"Paka utosini, kwenye meno(magego) na nyingine paka matakoni (Anus)"😌
MAELEZO KICHUPA CHA PILI
"Paka na mafuta meupe mwili mzima"🌝

Baada ya yote, nilitulia sikumuuliza chcht ila ukimya ulieleza mengi, nliplan muda wa chakula niigusie taratibu ila kabla sjaanza akawa ameileta, nilizuga simuelewi hadi alipofunguka, alipomaliza nikamwambia ntajiskia faraja sana kama ukitupa hivyo vitu. Majibu yake ni kinga mara dawa ya nyoka hata uking'atwa mara Mungu alisema tujisaidie naye atatusaidia, muda anaongea niliona mikono yake inatetemeka-nikaconclude tu kama htaki kutupa sawa.
Ila baada ya kuona haya mawazo yamekuwa mengi sana, kwa mliowahi kupitia hizi ISSUE mlipitaje😶

Ikumbukwe ni mwalimu ajira mpya, ngazi msingi
Lakini pia kuna mwalimu mmoja alilala ndani kesho yake alfajiri akaamka yupo mtoni, aliomba kuhama-tukio lilitokea mwezi wa pili mwaka huu.
Fyekelea mbali, hakuna ushirika kati ya mafuta na maji.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Back
Top Bottom