Tatizo yeye ndio atakua anapeleka kuku na sio kuletewaHuyo ndiyo mzuri usimuache.Mtatoboa maisha kwa kuwa mtaanza uganga wa kienyeji na kula kuku,mbuzi na njiwa wa wateja wenu.
Tatizo yeye ndio atakua anapeleka kuku na sio kuletewaHuyo ndiyo mzuri usimuache.Mtatoboa maisha kwa kuwa mtaanza uganga wa kienyeji na kula kuku,mbuzi na njiwa wa wateja wenu.
Aisee😲 Pole mahi
Kumbe utamaduni unafanya kazi ?
Madai yake anasema ni kinga, jambo ambalo staki kusikia wala kuamini kabisa afu vidonge donge vingi + ivi vichupa niseme tu tusingefikia mwafaka ningemchukia sana na isingechukua muda ningefanya maamuzi magumu
Angenielekeza hivyo kama ya huyo mwamba nipulize mambo yawe mukde oyaaa😂😂ni humu tu
Maswala ya kinga hapana
Tambua uchawi wenye nguvu za miujiza kumdhuru mtu ama kubadili matukio kimiujiza ni haupo, ila imani juu ya uchawi ipo kwenye mindset za watu.
There is no scientific evidence to support the existence of witches.
UCHAWI ,, Hizi ni imani zilizotokana na ujinga. Mjinga asipoelewa kitu anasingizia uchawi.
Zamani magonjwa yote yalihusishwa na uchawi. Hata wazungu walikuwa hivyo nyakati za giza (
middle age / Victorian era.
Watu wengi wanaoamini uchawi sababu kuu ni wana misunderstanding of science,
superstition is “an irrational belief arising from ignorance or fear.”
Dictionary inasema superstition (ushirikina) is abelief that is
not based on human reason or scientific knowledge, but
is connected with old ideas about magic, etc.:
superstition is a belief that is not based on reason or scientific thinking and that explains the causes for events in ways that are connected to magic:
superstition in British English
Is a irrational belief usually founded on ignorance or fear and characterized
by obsessive reverence for omens, charms, etc. Is a notion, act or ritual that derives from such belief any irrational belief, esp with regard to the unknown
Tambua Dhana ya uchawi ipo dunia nzima mkuu, watu wanavyozidi kupata maarifa wanakuja kugundua uchawi myth tu yaani ni porojo na wanajikita kwenye mambo ya msingi kuboresha na kurahisisha maisha
kisayansi....
Kuna demu alikuwaga mzuri sana nilideti nae kama mwaka hivi, alikuwa na mitikasi ya kishirikina sana, Naye kauli zake ni hizo hizo MUNGU anatusaidia nasisi tujisaidie *** off MUNGU tu alinitoa kwenye ule msala, Demu alikuwa ananikubali ila MUNGU acha aitwe MUNGU.Wakuu habari za wakati huu
Its weekend, wengine najua bado tupo tunapambana baadhi yetu pia ni siku ya kupumzika pengine kutoka either wenyewe ama na wapenzi wao kufurahisha nafsi.
Nianze kusema tu nimekuwa disappointed sana na kile nilichokiona ndani (chumbani).
Leo nimeona vitu ambavyo sikuvielewa ndani, baada ya purukushani za hapa na pale, Na mtu wangu alitoka kufua nguo mimi nikabaki ndani, kuna muda alirudi chumbani akawa anaangalia kitu nikajikuta pia nimetupa jicho mezani - macho yangu yaliangukia kwenye boksi fulani la simu ambalo vitu vidogovidogo nilikuwa naviweka, hivyo nilimuomba ili niangalie kama kuna chochote cha maana. Alinipatia huku akiniambia kuna vitu vyangu humo, nikawaza vitu gani tena hivyo- nilichukua nkafungua nikaona vichupa viwili kimoja kidogo cheupe(kinafanania na vichupa fulani vya dawa ya macho) nyingine kichupa fulani kina dawa nyeusi(kichupa cha visungura cha plastiki)kwa nje kimeandikwa DUBI jina la dawa iliyomo kwenye chupa.
Nilimuuliza "hii dawa ni yanini?" akajibu "ni kinga ukisikia bundi au chcht unapaka inasaidia" Nilimuuliza "na unaamini inasaidia au itakusaidia?" Majibu NDIYO, nilimaliza kwa kumwambia sasa unaenda kanisani kufanya nini? Hakuna haja.
Niliamua kuijua zaidi kuhusu hivyo vichupa kwa ndani kulikuwa na vikaratasi vya namna ya kutumia
MAELEKEZO KICHUPA CHA KWANZA
"Paka utosini, kwenye meno(magego) na nyingine paka matakoni (Anus)"😌
MAELEZO KICHUPA CHA PILI
"Paka na mafuta meupe mwili mzima"🌝
Baada ya yote, nilitulia sikumuuliza chcht ila ukimya ulieleza mengi, nliplan muda wa chakula niigusie taratibu ila kabla sjaanza akawa ameileta, nilizuga simuelewi hadi alipofunguka, alipomaliza nikamwambia ntajiskia faraja sana kama ukitupa hivyo vitu. Majibu yake ni kinga mara dawa ya nyoka hata uking'atwa mara Mungu alisema tujisaidie naye atatusaidia, muda anaongea niliona mikono yake inatetemeka-nikaconclude tu kama htaki kutupa sawa.
Ila baada ya kuona haya mawazo yamekuwa mengi sana, kwa mliowahi kupitia hizi ISSUE mlipitaje😶
Ikumbukwe ni mwalimu ajira mpya, ngazi msingi
Lakini pia kuna mwalimu mmoja alilala ndani kesho yake alfajiri akaamka yupo mtoni, aliomba kuhama-tukio lilitokea mwezi wa pili mwaka huu.
Wengi sanaYaani karne hii kuna watu wanaamini issue za uchawi 🤔
Mpaka yanikute Mahi😆Unafanya vizuri sana na upo, wala usidharau mahi.
Aisee kila la kheri kwaoWengi sana
Mf. Kuna idadi nzuri ya raia wenye chale, just observe
Kwa Imani yangu shirki ndio dhambi kubwa kuliko zote, mixer kufukuliwa mtaro mchizi una balaa Atlanta utaishia kuiona kwa YouTube tu gademiti. Ila mpaka unapumuliwa kisogoni hakuna chukizo la Mungu utaona kubwa kwako.Em waambie ambao hawajui au hawajawahi kukutana na masaibu ya ushirikina.
Binafsi ni mshirikina, waganga was kienyeji ndio km kwangu, na huniambii kitu.
Maisha yangu yanasonga km kawaa, siku likikukuta wewe wenyewe utatafuta wataalamu was asili waliko.
Kuna matatizo mengine science ya wazi inagoma, inataka ya giza.
Poleee.
Usinene ukamala, hayajawakuta nyie, narudia hayajawakutaaa.
Tulieni hivyoo.
🤣🤣, babu yangu yupo Mpitimbi, Songea, alinichanjia dawa kwenye paji la uso. Nilichanjwa hiyo dawa maalum ili nisije nikafunga hesabu( kunyandua) mwanamke mwenye UKIMWI 😂. Yaani kama mwanamke ni HIV positive, aidha mimi nitapoteza interest kwake au yeye mwenyewe atapoteza interest na mimi.😂😂😂 kuna mtu alijifanya mjanja, nilimnyoosha hadi alijuta kunifahamu.
Yeye mwenyewe alinitafuta, na uliza jinsi ya kumpipua ilikuajee? Atasimulia kizazi na kizazi.
😂😂😂😂
Sasa si bora anayefanya mavitu yasiyofanya kazi/hayawezi kukuathiri chochote while cheating inaweza leta ukimwi ambao ni real?
Kila mtu aamini anachoamini.Wakuu habari za wakati huu
Its weekend, wengine najua bado tupo tunapambana baadhi yetu pia ni siku ya kupumzika pengine kutoka either wenyewe ama na wapenzi wao kufurahisha nafsi.
Nianze kusema tu nimekuwa disappointed sana na kile nilichokiona ndani (chumbani).
Leo nimeona vitu ambavyo sikuvielewa ndani, baada ya purukushani za hapa na pale, Na mtu wangu alitoka kufua nguo mimi nikabaki ndani, kuna muda alirudi chumbani akawa anaangalia kitu nikajikuta pia nimetupa jicho mezani - macho yangu yaliangukia kwenye boksi fulani la simu ambalo vitu vidogovidogo nilikuwa naviweka, hivyo nilimuomba ili niangalie kama kuna chochote cha maana. Alinipatia huku akiniambia kuna vitu vyangu humo, nikawaza vitu gani tena hivyo- nilichukua nkafungua nikaona vichupa viwili kimoja kidogo cheupe(kinafanania na vichupa fulani vya dawa ya macho) nyingine kichupa fulani kina dawa nyeusi(kichupa cha visungura cha plastiki)kwa nje kimeandikwa DUBI jina la dawa iliyomo kwenye chupa.
Nilimuuliza "hii dawa ni yanini?" akajibu "ni kinga ukisikia bundi au chcht unapaka inasaidia" Nilimuuliza "na unaamini inasaidia au itakusaidia?" Majibu NDIYO, nilimaliza kwa kumwambia sasa unaenda kanisani kufanya nini? Hakuna haja.
Niliamua kuijua zaidi kuhusu hivyo vichupa kwa ndani kulikuwa na vikaratasi vya namna ya kutumia
MAELEKEZO KICHUPA CHA KWANZA
"Paka utosini, kwenye meno(magego) na nyingine paka matakoni (Anus)"😌
MAELEZO KICHUPA CHA PILI
"Paka na mafuta meupe mwili mzima"🌝
Baada ya yote, nilitulia sikumuuliza chcht ila ukimya ulieleza mengi, nliplan muda wa chakula niigusie taratibu ila kabla sjaanza akawa ameileta, nilizuga simuelewi hadi alipofunguka, alipomaliza nikamwambia ntajiskia faraja sana kama ukitupa hivyo vitu. Majibu yake ni kinga mara dawa ya nyoka hata uking'atwa mara Mungu alisema tujisaidie naye atatusaidia, muda anaongea niliona mikono yake inatetemeka-nikaconclude tu kama htaki kutupa sawa.
Ila baada ya kuona haya mawazo yamekuwa mengi sana, kwa mliowahi kupitia hizi ISSUE mlipitaje😶
Ikumbukwe ni mwalimu ajira mpya, ngazi msingi
Lakini pia kuna mwalimu mmoja alilala ndani kesho yake alfajiri akaamka yupo mtoni, aliomba kuhama-tukio lilitokea mwezi wa pili mwaka huu.
hizi ni alama za kudumu unakuta wengine walichanywa wakiwa mikono ya wazazi wao umri mdogo sana i meanWengi sana
Mf. Kuna idadi nzuri ya raia wenye chale, just observe
Pole sana mwana wa AfrikaUshirikina na uchawi haufanyi kazi?
Nilitaka kukuuliza huyo mwanamke anatokea mkoa waTanga,Kigoma au Sumbawanga?Ikumbukwe ni mwalimu ajira mpya, ngazi msingi
Lakini pia kuna mwalimu mmoja alilala ndani kesho yake alfajiri akaamka yupo mtoni, aliomba kuhama-tukio lilitokea mwezi wa pili mwaka huu.