Uliwezaje au una-deal vipi na mchumba au mwanamke anayeamini katika dawa za kienyeji kama ulinzi (kinga dhidi ya wachawi)?

Uliwezaje au una-deal vipi na mchumba au mwanamke anayeamini katika dawa za kienyeji kama ulinzi (kinga dhidi ya wachawi)?

Ulivyo mjinga utaendelea kukaa na huyo mchawi, hautawaza kuhusu malezi ya wanao na future yao kisa mapenzi.
Mapenzi ndo yalileta awo watoto, nmetia moto na mikwara mikali sana, nikiona tena ni no excuse itajulikana mbele ya safari
 
Alinipa dawa akaniambia nikasimame pahala flan mji niuone..then niseme maneno kuwa nionekane😀😀😀

Mkuu nikafanya kwa kujiamini mbaaya..huku nafanya kazi za watu..sijakaa sawa kweli ule mji watu wakaanza kuniona😀😀😀unapuliza tu unatia maneno yako.
Kupuliza tu nilipuliza kazi zile kwenye ule mji zikawa zinatiririka kama Yami😀

But tuliachana kwa mambo mengine si hayo...ila alikuwa fundi wa waganga sana.
Niliwajua mno kama partner wake.
Ila nilijifunza jambo kubwa sana katika kile kipindi.
Ingekuwa ya utajiri sawa, angalau ningevumilia ila ananiambia kinga, vipuli vingi vingine hata sivielewi wewe😂😂🙌💔
 
Hakutarajia pengine alisahau sababu alienda likizo amerudi nikiwa sipo, nimerudi ndo nmeyakuta

Wee muache na vitu vyake, ili mradi sio vya kukudhuru, labda ni km dawa ya kukuteka (limbwata) hiyo case nyingine.
Ila nweii kaa nae ongea vizuri atakupa ukweli wote.
 
Nikudokezeee, tulichangiana hela tukafungua biashara, baada ya biashara kukua, akanigeukaa, (,nisiingie ndani sana) alifanya mambo nikaonekana sina hisa pale, nilifurushwa siku hiyo nje ya biashara afu watu wanaona, acha nilie 😢😢

Nikajisemea huyu km kazoea kutapeli watu,basi kwangu ameingia sipo, kilicho fuata, atasimulia kizazi na kizazi chake chotee.
Aisee😲 Pole mahi
Kumbe utamaduni unafanya kazi ?
 
Ingekuwa ya utajiri sawa, angalau ningevumilia ila ananiambia kinga, vipuli vingi vingine hata sivielewi wewe😂😂🙌💔

nimecheka hadi Co poaa, khaaah.😂😂😂😂
 
Wee muache na vitu vyake, ili mradi sio vya kukudhuru, labda ni km dawa ya kukuteka (limbwata) hiyo case nyingine.
Ila nweii kaa nae ongea vizuri atakupa ukweli wote.
Madai yake anasema ni kinga, jambo ambalo staki kusikia wala kuamini kabisa afu vidonge donge vingi + ivi vichupa niseme tu tusingefikia mwafaka ningemchukia sana na isingechukua muda ningefanya maamuzi magumu
 
nimecheka hadi Co poaa, khaaah.😂😂😂😂
Angenielekeza hivyo kama ya huyo mwamba nipulize mambo yawe mukde oyaaa😂😂ni humu tu
Maswala ya kinga hapana
 
Ingekuwa ya utajiri sawa, angalau ningevumilia ila ananiambia kinga, vipuli vingi vingine hata sivielewi wewe😂😂🙌💔
Utajiri hauji kizembe zembe kwenye hii Dunia..Illegal +legal kwenye mambo yaliyo nje na upeo wa watu wengi.
 
Usinene ukamala, hayajawakuta nyie, narudia hayajawakutaaa.
Tulieni hivyoo.


Tambua uchawi wenye nguvu za miujiza kumdhuru mtu ama kubadili matukio kimiujiza ni haupo, ila imani juu ya uchawi ipo kwenye mindset za watu.

There is no scientific evidence to support the existence of witches.

UCHAWI ,, Hizi ni imani zilizotokana na ujinga. Mjinga asipoelewa kitu anasingizia uchawi.
Zamani magonjwa yote yalihusishwa na uchawi. Hata wazungu walikuwa hivyo nyakati za giza (
middle age / Victorian era.

Watu wengi wanaoamini uchawi sababu kuu ni wana misunderstanding of science,

superstition is “an irrational belief arising from ignorance or fear.”

Dictionary inasema superstition (ushirikina) is abelief that is
not based on human reason or scientific knowledge, but
is connected with old ideas about magic, etc.:

superstition is a belief that is not based on reason or scientific thinking and that explains the causes for events in ways that are connected to magic:

superstition in British English
Is a irrational belief usually founded on ignorance or fear and characterized
by obsessive reverence for omens, charms, etc. Is a notion, act or ritual that derives from such belief any irrational belief, esp with regard to the unknown

Tambua Dhana ya uchawi ipo dunia nzima mkuu, watu wanavyozidi kupata maarifa wanakuja kugundua uchawi myth tu yaani ni porojo na wanajikita kwenye mambo ya msingi kuboresha na kurahisisha maisha
kisayansi....
 
Back
Top Bottom