darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,863
- 6,041
Huyo bila shaka alishapitiwa na mganga madai yake anampka dawa huko kunako anus
Siku utastukia usiku anakupaka kwny anus
Yaani karne hii kuna watu wanaamini issue za uchawi 🤔
Coca mi sitaki bana 😆Usinene ukamala, hayajawakuta nyie, narudia hayajawakutaaa.
Tulieni hivyoo.
Hauna utofauti nae, isipokua wewe umechagua kua mnafiki tu.Lakini pia kuna mwalimu mmoja alilala ndani kesho yake alfajiri akaamka yupo mtoni, aliomba kuhama-tukio lilitokea mwezi wa pili mwaka huu.
Alinipa dawa akaniambia nikasimame pahala flan mji niuone..then niseme maneno kuwa nionekane😀😀😀Huyu binti ni mjinga, vitu vyake km hivyo anaweka pawazi au sehemu isiyo na usiri?
Wenzake tunaweka vitu sehemu ambayo mtu hawezi kujua wala kufikia.
Wee muache mwenzio awe na hayo mambo yako hujui kwao katokaje? Nu umuambie afanye kivyake we're asikushirikishe. Wengine huo ndio ulinzi wao.
Alinipa dawa akaniambia nikasimame pahala flan mji niuone..then niseme maneno kuwa nionekane😀😀😀
Mkuu nikafanya kwa kujiamini mbaaya..huku nafanya kazi za watu..sijakaa sawa kweli ule mji watu wakaanza kuniona😀😀😀unapuliza tu unatia maneno yako.
Kupuliza tu nilipuliza kazi zile kwenye ule mji zikawa zinatiririka kama Yami😀
But tuliachana kwa mambo mengine si hayo...ila alikuwa fundi wa waganga sana.
Niliwajua mno kama partner wake.
Ila nilijifunza jambo kubwa sana katika kile kipindi.
Coca mi sitaki bana 😆
Labda mpka nilongwe kwanza
Ilikuaje diha 😄😂😂😂 kuna mtu alijifanya mjanja, nilimnyoosha hadi alijuta kunifahamu.
Yeye mwenyewe alinitafuta, na uliza jinsi ya kumpipua ilikuajee? Atasimulia kizazi na kizazi.
😂😂😂😂
Ilikuaje diha 😄
Naomba niloge nione kama kweli 😊
Sijalinganisha chochote, nmeuliza tu upande wa pili je mwanaume ikiwa ndio anafanya hayo.....inakuaje? Hafai pia au tuwaache kwanzaUnataka ulinganisho?Mwanamke akiamua kufanya ubaya ni ubaya hadi ubwela.
Unataka ulinganisho.Mwanamke akiamua kufanya ubaya ni ubaya hadi ubwelaNa mwanaume? 😀
Auwawe ASAP!Sijalinganisha chochote, nmeuliza tu upande wa pili je mwanaume ikiwa ndio anafanya hayo.....inakuaje? Hafai pia au tuwaache kwanza
Mkuu sijasoma ila kama yeye anaamini na wewe amini tuWakuu habari za wakati huu
Its weekend, wengine najua bado tupo tunapambana baadhi yetu pia ni siku ya kupumzika pengine kutoka either wenyewe ama na wapenzi wao kufurahisha nafsi.
Nianze kusema tu nimekuwa disappointed sana na kile nilichokiona ndani (chumbani).
Leo nimeona vitu ambavyo sikuvielewa ndani, baada ya purukushani za hapa na pale, Na mtu wangu alitoka kufua nguo mimi nikabaki ndani, kuna muda alirudi chumbani akawa anaangalia kitu nikajikuta pia nimetupa jicho mezani - macho yangu yaliangukia kwenye boksi fulani la simu ambalo vitu vidogovidogo nilikuwa naviweka, hivyo nilimuomba ili niangalie kama kuna chochote cha maana. Alinipatia huku akiniambia kuna vitu vyangu humo, nikawaza vitu gani tena hivyo- nilichukua nkafungua nikaona vichupa viwili kimoja kidogo cheupe(kinafanania na vichupa fulani vya dawa ya macho) nyingine kichupa fulani kina dawa nyeusi(kichupa cha visungura cha plastiki)kwa nje kimeandikwa DUBI jina la dawa iliyomo kwenye chupa.
Nilimuuliza "hii dawa ni yanini?" akajibu "ni kinga ukisikia bundi au chcht unapaka inasaidia" Nilimuuliza "na unaamini inasaidia au itakusaidia?" Majibu NDIYO, nilimaliza kwa kumwambia sasa unaenda kanisani kufanya nini? Hakuna haja.
Niliamua kuijua zaidi kuhusu hivyo vichupa kwa ndani kulikuwa na vikaratasi vya namna ya kutumia
MAELEKEZO KICHUPA CHA KWANZA
"Paka utosini, kwenye meno(magego) na nyingine paka matakoni (Anus)"😌
MAELEZO KICHUPA CHA PILI
"Paka na mafuta meupe mwili mzima"🌝
Baada ya yote, nilitulia sikumuuliza chcht ila ukimya ulieleza mengi, nliplan muda wa chakula niigusie taratibu ila kabla sjaanza akawa ameileta, nilizuga simuelewi hadi alipofunguka, alipomaliza nikamwambia ntajiskia faraja sana kama ukitupa hivyo vitu. Majibu yake ni kinga mara dawa ya nyoka hata uking'atwa mara Mungu alisema tujisaidie naye atatusaidia, muda anaongea niliona mikono yake inatetemeka-nikaconclude tu kama htaki kutupa sawa.
Ila baada ya kuona haya mawazo yamekuwa mengi sana, kwa mliowahi kupitia hizi ISSUE mlipitaje😶
Ikumbukwe ni mwalimu ajira mpya, ngazi msingi
Lakini pia kuna mwalimu mmoja alilala ndani kesho yake alfajiri akaamka yupo mtoni, aliomba kuhama-tukio lilitokea mwezi wa pili mwaka huu.
Hakutarajia pengine alisahau sababu alienda likizo amerudi nikiwa sipo, nimerudi ndo nmeyakutaHuyu binti ni mjinga, vitu vyake km hivyo anaweka pawazi au sehemu isiyo na usiri?
Wenzake tunaweka vitu sehemu ambayo mtu hawezi kujua wala kufikia.
Wee muache mwenzio awe na hayo mambo yako hujui kwao katokaje? Nu umuambie afanye kivyake we're asikushirikishe. Wengine huo ndio ulinzi wao.
Uchumba tu, japo tuna watoto wawili actually ni mkewe...Aargh mwenyewe sielewi 😂😂japo plan ni kumfanya mke wangu ASEEOngea nae tena usichoke maana inawezekana sio mwingi wa habari ila mambo ya imani tu.. Alaf kwani ni mtu wako kama ulivyoeleza au ni mke halali?