Uliwezaje ku move on kwa mtu uliyempenda sana?

😊😊☺️ Mkuu umeandika mambo mazuri Ila uandishi wako umetumia herufi kubwa na ndogo pia kubananisha maneno pole mkuu
 
Ni kukubaliana na ukweli kwamba mambo yameshaisha na inabidi uendelee na maisha mengine
Nilikuwa na mtu nampenda mno ila baadae nikaona hatutaweza kufika popote nikaendelea na maisha mengine mpaka leo namuona kama kaka yangu tuu. Moyo wako ukubaliane na hali.
 
Point nzuri ila uandishi sasa
Tigo wanakopesha simu kwa kianzio kidogo sana mkuu kajipatie simu ya mkopo
 
Mkuu katika swala la mahusiano wewe ni Elite.

Ushauri ni mzuri sana huu.
 
Assume unaona jinsi anavyokuacha, inama ulie utoe machozi mengi, ulieee kisha unamaze kutwa mara 3 haichukui muda utakua sawa.
Kila kitu kinapita, itakuja furaha itapita, yatakuja machungu/ yatapita, imekuja huzuni, nayo ni ya muda mfupi wala haiwezi kudumu.
Udanganye ubongo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…