Uliwezaje ku move on kwa mtu uliyempenda sana?

very good!
 
hua mnaonanag mara kwa mara na huyo kaka ako?
 
Anza kubeti, au vuta bangi

Iko hivi mtu ambae ulikuwa unampenda akikuacha na ukaendelea kumkomalia  anakuchukia ila ukikausha hata asipokupenda hatokuchukia.

kama amekuacha wakati mliokuwa mnapendana unadhani utamrudisha wakati huu aliokutema???
 
Kama bado unamuwaza wala usimuache bado ana Mazuri kwako,kama mtu unawaza jinsi gani utamuacha Kisa alikuja Sana moyoni means bado mabaya yake sio makubwa kiivyo wewe kukuacha! Komaa nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…