Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

Hata sijui unafananaje mkuu,
Ila nikiingiza ndo nauskia unavoscratch balaa
Mkuu hii ishanikuta yani ni kama vijisesele sesele flani vinaugasi gasi uume yani hadi unakufa ganzi asee inakera sana sema nahisi wengi hawajakutana nao ndo maana wanaona kama kitu kigeni..
 
Sijasoma kilichoandikwa ila nimesoma kichwa cha habari kumbe ile nyimbo ya Asley kuna kipande anasema “kitumbua kikiingia mchanga nitaumbuka mwenzenu””
Kumbe ni ukweli huwa kinaingiaga mchanga 🤣🤣
 
Ni hivyo hivyo ulivoelezea, uume unauma Balaa utadhani ulkua unapigwa msasa
 
Mkuu hii ishanikuta yani ni kama vijisesele sesele flani vinaugasi gasi uume yani hadi unakufa ganzi asee inakera sana sema nahisi wengi hawajakutana nao ndo maana wanaona kama kitu kigeni..
Sahii kabisa,
Na Bora wasikutane nao maana kama una roho nyepesi mahusiano yanakufa siku hiyo hiyo mliyosex.
 
Ukisikia wanakwambia " kitumbua kimeingia mchanga" ndo hii sasa jameni. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…