Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

Kama umempenda kweli kama unavosema mwambie kiupole na kiustaraabu then muende hospital akatibiwe
Miaka hiyo ya ujanani, Kuna mmoja WA kisamaki, nilimweleza Kwa upole, Ila uligeuka ugomvi tukaachana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaofanya ngono wanakutana na magumu mengi, na bado hawakomi.

Bora niendelee kuwa mtawa.
Mwenyewe huwa nasemaga hivyo ila kibubu kikijaa akili haifanyi kazi kabisa😁
 
Ni hivyo hivyo ulivoelezea, uume unauma Balaa utadhani ulkua unapigwa msasa
Aiseee...sijapata kuona, nilikuwa napata maumivu hadi najiuliza kwenye kibox manyoya ya huyu ndugu yangu ameweka vitu gani?
Basi nakubaliana na wewe kuwayalikuwa michanga isiyo michanga tujuavyo.
 
Singida na Dodoma nadhn wanapatikana sana kule,

Kuna Uzi flan nmeusahau jina humu mmu, wengi sana wametoa shuhuda zao tokea pande hizo
Dunia ina mengi, hakika hatuwezi kujua yote.
Anyways kwa afya yake na ili uweze kuendelea kuichakata papuchi yake ni bora kumwambia kweli ili akatibiwe.
 
Sawa, kama uke unahisi kama kuna mchanga ndani, inaweza kuwa kutokana na sababu kadhaa, kama vile:


  1. Ukavu wa uke – Kukosa unyevu wa kutosha kunaweza kufanya uke uhisi mkavu na wenye ukakasi, mara nyingi kutokana na mabadiliko ya homoni (kama wakati wa kukoma hedhi) au matumizi ya dawa fulani.
  2. Maambukizi ya fangasi (yeast infection) – Maambukizi haya husababisha muwasho, maumivu, na ute mzito wa maziwa mgando, ambao unaweza kuhisi kama chembechembe za mchanga.
  3. Bacterial Vaginosis (BV) – Hali hii husababishwa na kubadilika kwa uwiano wa bakteria kwenye uke, na inaweza kusababisha hisia za ukavu au ukakasi.
  4. Magonjwa ya zinaa (STIs) – Magonjwa kama trichomoniasis au chlamydia yanaweza kusababisha muwasho, maumivu, na kuhisi ukavu au mchanga.
  5. Mzio au muwasho wa ngozi – Sababu kama vile matumizi ya sabuni kali, vilainishi, kondomu, au dawa za usafi wa uke zinaweza kusababisha muwasho na hisia kama kuna chembechembe ndani.
  6. Vitu vya kigeni – Ikiwa umeenda pwani au sehemu yenye vumbi, kuna uwezekano mdogo kwamba chembe za mchanga zinaweza kuingia na kusababisha usumbufu.

Ikiwa hali hii inaambatana na muwasho mkali, maumivu, au harufu isiyo ya kawaida, ni vyema kumwona daktari kwa uchunguzi na matibabu sahihi.
 
Ukivaa ndomu au ukatumia KY hua mchanga utaufeel?
Utaugundua chap maana Ile rababendi yake itatepeta mapema sn, na inakua inavutika Mara Kwa Mara ili kubakia Ndani, ukizubaa unajikuta ishavuka na iko Ndani ya K.

Ulisema uivue uchape kavukavu, maumivi yake unaweza toa chozi
 
Naijua hiyo, hapo ukichunguza ki undani kuna fungasi sugu na pid, andaa fungu la kutosha ale masindano na madawa ya kuingiza huko atapona tu, ila usisahau huo ugonjwa unaambukiza utautoa kwa huyo uupeleke kwa manzi mwingine
 
Ule mchanga haionekani mkuu, na wala ukichomoa kuangalia huuoni,
Yaani feeling yake ni ile Kama ufanyiwe blowjob na mtu asiyejua kuilamba,anavokuparaza na mimeno yake.
Eti DeepPond ulitoka na mchanga au ilikuwa hisia tu
 
Unajitahidi sana kupotezea muda mabinti za watu na kuwaanika jf ..sad
Utanionea Bure,
Sijamtaja yeyote jina dada angu
Hujafa ujaumbika, Ndo maana nmelileta hapa kuliko kubaki na vinyongo moyoni.
 
Back
Top Bottom