Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

Mkuu naomba unielekeze na mimi kuinstall windows nafanyaje aisee
Atua ya kwanza inabidi ufanye booting kwa kutumia power iso au rufus ukimaliza zima mashine yako alafu chomeka flash uliyo boot alafu piga windows yako booting rahisi ni kutumia rufus maana iko fasta sana
 
Duh sawa.. kumbe ninsimple tu nilikuwa sijui
 
Sikumoja nilikutana na hii machine Predator Gaming Laptop 12th Generation! Issue ilikuwa kupiga windwos tu ila nimefanya utundu wangu wote mpaka kutumia RST Driver ila kila kifika sehemu ya kuchagua HDD/SSD ila Device zilikuwa hazionekani!

Unfakiri nilikwama wapi?
 
Itakuwa ulitumia flash ambayo sio sahii au itakuwa ulitakiwa upige windows ambayo ni genuine ambayo ulipewa kipindi unanunua iyo mashine yako ya gaming sio kila mashine inakubali windows izi za cracked au za kununua zingine zinataka windows yake maalumu ambayo ulipewa kipindi unanunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…