General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Software OG, andaa M1 plus.Wakuu nimepata Laptop Mpya kabisa...
Core 7
G6 Hp
Ram 16
Ssd 250
8Gen
Ila nahitaji Soft Org.
Kama
1.Windows
2.Office
Adobe
PDF.
Aunt virus
Hmmh? Kuna watu bado mna simu hizi? Aah washaacha kusupport windows phones hawa devs wa hizo apps..habari za saizi Mr samahani ninaomba msaada mimi natumia nokia lumia 635 mwanzo nilikua napata program zote facebook whatsapp instagram lakini saizi hakuna tena na hata kuunganisha google account haitaki na app store haifunguki nifanyeje niweze kufix ifanye kazi
WhatsApp ngumu ila vitu kama fb, YouTube, na apps nyengine ambazo unaweza kuzi access online inawezekana.habari za saizi Mr samahani ninaomba msaada mimi natumia nokia lumia 635 mwanzo nilikua napata program zote facebook whatsapp instagram lakini saizi hakuna tena na hata kuunganisha google account haitaki na app store haifunguki nifanyeje niweze kufix ifanye kazi
USB port Laptop yangu imeshindwa kuisoma kabisaEpuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers.
View attachment 2772888View attachment 2772889
update drivers kakaUSB port Laptop yangu imeshindwa kuisoma kabisa
Weka uwezo wake tuone hapaMkuu computer yangu iko nakataha ku change system
Mkuu naomba kuuliza nataka nidawnload software ya cracked adobe photoshop bila kulipia ,je ni website gn ,iliyo safe kudwnlod nispate virus?
thanks brooFileCR - THE BIGGEST SOFTWARE STORE
Free Download Windows & MacOS software, Android Apps & Games, E-Learning Videos & E-Books, PC Games, Scripts and much more.filecr.com
Mkuu pc yangu aina hp elitebook kuna baadhi ya keyboard hazifanyi kazi nazo ni 0, P na L nifanyaje kutatua hili Charles kilian Chief-MkwawaChange tu mkuu
Zinasafishwa ila sio 100% kwamba itatibu tatizo, sometime mpaka kubadili keyboardMkuu pc yangu aina hp elitebook kuna baadhi ya keyboard hazifanyi kazi nazo ni 0, P na L nifanyaje kutatua hili Charles kilian Chief-Mkwawa