Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #61
Tumia hii mkuuNatafuta activation key ya MS Office 2020
Hii ni Kanjibahi ya Congo๐๐๐Mkuu computer yangu iko nakataha ku change system
Ngoja waje...Nina laptop HP probook 645.ram 4gb,500gb harddisk,inatumia amd.
Niliwekaga windows 8.1 ya crack toka mwaka 2017 hadi leo sijawahi badili.sasa juzi imeanza mawenge nikiwa naangalia movie masaa 4 naa inajizima ghafla,ukiiwasha inazima pia hadi ipoe ndio ukiwasha inatulia.
Cursor nayo inakua na mawenge mno hadi natumia ile cursor ya kipira inayokaa katikati ya keyboard,games ghafla haziplay kwanzia fifa14,fifa15 hadi eurotruck ikianza tu ikipata moto inajizima.antivirus ipo.
Sasa sielewi tatizo ni windows au ni hardware nimpelekee fundi akaifungue?
Mkuu naomba maelekezo juu ya hili ,napata ujumbe kwamba "your windows license will ezpire soon" you need to actvate window in settings ukienda kwenye settings inakutaka utumie product keyEpuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers.
View attachment 2772888View attachment 2772889
Tumia hii app mkuu Ku activate hiyo windows itakupa product keyMkuu naomba maelekezo juu ya hili ,napata ujumbe kwamba "your windows license will ezpire soon" you need to actvate window in settings ukienda kwenye settings inakutaka utumie product key
Shukrani sanaTumia hii app mkuu Ku activate hiyo windows itakupa product key
KMSPico 2024 Download | For Windows 11, 10, 8 & Office
KMSPico activates Windows 11/10/8/7 and Office 2021/2019/2016/2010. Download kmspico latest version from our official website.www.kmspico.ws
Zima kwanza windows security
Ulinunua kwa mtu au mpya ? Tatizo kama hilo huwa linatokana na ku update simu kila mara pia linatokana na virus kushambulia network file. Hii hupelekea simu kuanza kuleta shida mbalimbali za mtandao ikiwa ni pamoja na ceureler networks na internet.Mkuu
Kuna simu hapa Samsung s21 ultra 5g
Imegoma kusoma line
Baada ya ku update software
Fundi kaniambia ilikuwa rooted sijui ndyo nini..kaishindwa ipo tu hapa sijui naifanyaje
Niliupdate ndyo ikagoma kusoma networkUlinunua kwa mtu au mpya ? Tatizo kama hilo huwa linatokana na ku update simu kila mara pia linatokana na virus kushambulia network file. Hii hupelekea simu kuanza kuleta shida mbalimbali za mtandao ikiwa ni pamoja na ceureler networks na internet.
Jaribu ku update system software kwenye settings na kama tatizo likiendelwa itahitaji ku repair network file kwa kutumia computer
Tumia App hii ๐๐mkuu driver yako itakaa sawa Mkuu ๐๐Changamoto katika ishu ya Bluetooth driver
Hii app haiitaji products keyTumia App hii ๐๐mkuu driver yako itakaa sawa Mkuu ๐๐
IObit Driver Booster Free 12.1.0.469 Free Download - FileCR
Free Download IObit Driver Booster Free 12.1.0.469 Latest Standalone Offline Installer - Keep drivers always up-to-date.filecr.com
Peleka kwa fundi kariakoo aseti hiki network file kwa kutumia computerNiliupdate ndyo ikagoma kusoma network
Sijajua kainunua wapi ni simu ya mdogo wangu
Hiyo setting ya computer naifanyaje maana fundi kairudisha kwamba haifai tena au aliona uvivu kuiset
Ndio mkuuHii app haiitaji products key
Tayr ngoja nia un zip file tuone then takupa feedbackNdio mkuu
SawaPeleka kwa fundi kariakoo aseti hiki network file kwa kutumia computer
Jee katika installation ya hii software kuna haja ya kuzima security zile auNdio mkuu
HapanaJee katika installation ya hii software kuna haja ya kuzima security zile au
OkyHapana