Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

Shida ni kwamba simu nipo nayo dodoma na niliipeleka Samsung hapa ndyo wakanipa hayo majibu sijui ntapata wapi fundi wa uhakika hapa dodoma
 
Kuna ishu nataka unipe muongozo jinsi ya kurecover data kwenye unallocated space
 
Kuna ishu nataka unipe muongozo jinsi ya kurecover data kwenye unallocated space
Tumia data recovery software kama recuva Mkuu ila ni ya kulipia hizo au soma 👇👇

 
mkuu window security nazima nikiwa naanza kuidownload au baada ya kudownload nazima wakati wa kuinstall?
nina shaka kuingia mtandaoni nikizima window security
 
Natumia cracked window 11 , unashingapi nikuuzie activated mpaka 2046, full mautamu tu, pia Nina pirated program nyingi sana.
Mkuu nahitaji Microsoft 360 kwa haraka sana iwezekanavyo. Au nikipata Microsoft Word full version itanitosha kwa sasa.

Naomba unijibu please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…