dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
- Thread starter
-
- #81
Bado ratiba ya usajili wa mitihani haijatoka, ikitoka ratiba itaonyesha siku ya mwisho wa usajili wa mitihani ndio siku ya mwisho pia kulipia na kusajili.Kulipia mitihan ya mwez wa tano ya annual ya OFP mwisho lin????
Sidhani, huenda aliekueleza hajasoma hata OUT, onana na wahusika kwenye vituo vyakila mkoa upate maelekezo sahihi ufanye uamuzi sahihiNatamani sana kusoma OuT hila nasikia hadi uje umalize umekesha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mwenye Advance Diploma ni GPA ngapi kusoma masters?Uwe na GPA inayoanzia 2.7
Kuanzia GPA ya 3.5kwa mwenye Advance Diploma ni GPA ngapi kusoma masters?
Itategemea na hali itakavyoendelea na maelekezo ya serikali unapofika wakati huo. Kwasasa ni ngumu kutabiri Hatari ya korona na zuio la mikusanyiko na kufunga vyuo siku 30 Kama halitaendelea.Vip corona haitaathiri ratiba ya ufanyikaji wa mitihan ya annual ya OFP mwez wa tano???
Kama inafika GPA yakuanzia 3.0Nina diploma ya computer studies kutoka chuo cha institute for information technology. Naweza kuanza na degree program?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haipaswi kuwa hivyo huenda kuna mapungufu ya Watu binafsi,Kwann kwny center zenu za mikoani mnakuwa wasumbufu sana kuwahudumia wanafunz wanaosoma cert na dip?nasema hvyo kwakuwa mm n muhanga ktk hlo uan mnaboa sana
Ada ni 40,000 kwa unitMimi nataka kujua ada tu. Kwa certif na diploma.
Kujiunga na chuo kwa None degree programme kwa mujibu wa NACTE nikuanzia Walau D nneHabari wakuu!
Mimi nina pass ya D tatu, naweza kujiunga na hicho chuo? Na pia kuna course gani za certificate?
Ndio anaweza kujiunga na DiplomaJe mwalimu wa cheti aliehitimu masomo 2019 na akapata GPA ya 3.3 na bado hajaajiliwa anaweza kujiunga na masomo ya diploma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uwezekano huoKwa sisi language oriented, HKL, HGL and HGK kuna uwezekano wa kusoma kusoma any science course kama computer
Hapana mwisho wa mwezi wa nneEt kulipia ada ya annual examination ya OFP mwisho ni mwez huu wa tatu????