Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Hakuna wilaya ya Bukoba manispaa na Bukoba vijijini. Hizo ni halimashauri mbili zilizo ndani ya wilaya moja inayoitwa Bukoba.

Sawa mshaija?
 
Nimekumbuka zamani hizo nikiwa chuo pisi zote za kihaya na kinyambo, wana walinisusia mimi huwa naelewana nao sijui kwanini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwann walikususia๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nimekumbuka zamani hizo nikiwa chuo pisi zote za kihaya na kinyambo, wana walinisusia mimi huwa naelewana nao sijui kwanini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Oa Kagera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ