MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Ni sababu hiyo ndiyo itasaidia UN ku justify kukata kabisa Mzizi! maana bila kuukata mzizi wataendelea kusumbua sana.
Hata kama siyo makali always the truth hurts na ndiyo maana PK anajaribu kuua kila anayesema ukweli juu yake.
Huyu ni mgonjwa kweli kweli, Hongera kwa kumtambua.
na wew unafuata nini humu kama sio ushoga, ndio nyie mpumuliwao kisogoni pumbaaaav nguruwe mmoja !!!!
porini sio polini
Habari ya asubuhi MUKAMASIMBA??
Habari za hasubuhi ndugu zangu,vipi kuna anayejua kilichotokea maeneo ya bunagana usiku wa kuamkia leo?FIB imepewa kichapo cha mwaka.
Kuna mtu kani pm ati Flash Hider ni mtu wa pale Makumbusho geti jeusi kushoto kama unaenda mjini. Nilimkatalia,eti jamani ni kweliii! Mi sikumuamini kabisa! Hawa ni waongo,endelea kutuelimisha Flash Hider!
Mimi nilishaliona hilo. Huyu jamaa anajua historia ya pale ila i can guarantee that yuko bongo.
Unataka kudanganya watu sasa.
Mbona unaleta ukabila mkuu?ulikilaani wewe hicho kizazi?kwa taarifa yako Joseph Kabila naye ni mtutsi,vipi kalaanika?Kuna watutsi wengi tu ni wapinzani wakubwa wa Kagame,hata mkuu FLASH HIDER ameeleza jinsi gani watutsi wa Goma walivyoichangia FARDC.
Mimi nilishaliona hilo. Huyu jamaa anajua historia ya pale ila i can guarantee that yuko bongo.
Nadanganya ili iwevipi?M23 kafukuzwa lakini mambo si shwari maeneo ya bunagana.
da umenifungua sana kimawazo.big up sana kaka usichoke
Tatizo WaTZ na Jakaya wenu mnawarudisha nyuma hawa jamaa machungu ya 1994 rwanda huko hii leo hakuna Mtutsi wa la mhutu kuna mnyarwanda Tu.acha kuwagawa hawa jamaa.why dont u say about america kule iraq afghanistan mna baki kumpondea Kagame.na Kinachowasumbua waTZ pa1 na kujikomba kwa wazungu bado maendeleo Hoi miaka 50 ya uhuru hatujawai kua na vita bado tunachechemea lakini Kagame ndani ya muongo 1 kapiga hatua kubwa ya maendeleo pa1 na kutokua na rasilimali anyway mnaishia kwa kusema ile nchi ndogo Je nyinyi nchi kubwa kuna maziwa mito madini gesi inakuja lakini mtoto shule hana dawati mpka wazungu wakija wanashangaa why watoto hawana madawati wanajiuliza je hawa jamaa wanalinda misitu au shida ni nini Conglatulations kwa Kagame kwa kazi unayofanya pa1 na wananchi wa Rwanda.na Uzuri Kagame hanaga maneno au mipasho ni Kazi tu.
Poa kaka. Ukipata muda, soma na hii, uelewe mambo yalivyofanywa hapa GOMA.
How M23 was rolled back | African Defence Review
BITE sina sababu ya kudanganya wala kutoa habari za uongo, mimi ni mtu huru ambaye nafaidi matunda ya kuwa huru kwakuwa nimejiajiri. Ninachochunga zaidi ni kutovunja sheria za nchi hii ninayoishi ya DRC na nchi yangu niipendayo ya TZ. Ndiyo maana mlivyonieleza kuwa huko nyumbani imekatazwa kuzungumzia masuala ya kijeshi nilijiuliza sana na kuchambua kama haya niyasemayo na niyajuayo ni ya kijashi au laa. Nilijiridhisha na baadhi yenu mkanieleza kuwa hakika haya sio ya kijeshi ndo maana naendelea. Sipendi kubishana kwa ushabiki usiokuwa na hoja. Narudia tena, nipo GOMA na uliza chochote na kama una mtu mwambie anitafute.
Sibishani na wewe ila soma historia ya TZ vizuri. Hapo kwenye red nadhni umepotopka kidogo kaka. 1978/79 kule Uganda ilikuwa ni vita au hutambui?