Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Ni sababu hiyo ndiyo itasaidia UN ku justify kukata kabisa Mzizi! maana bila kuukata mzizi wataendelea kusumbua sana.

Habari za hasubuhi ndugu zangu,vipi kuna anayejua kilichotokea maeneo ya bunagana usiku wa kuamkia leo?FIB imepewa kichapo cha mwaka.
 
Hata kama siyo makali always the truth hurts na ndiyo maana PK anajaribu kuua kila anayesema ukweli juu yake.

Du!we mnyarwanda kabisa jinsi ulivyo na uchungu na kagame inadhihilika,ungekua mtanzania ungeyaona ya kikwete kwani naye wapinzani hawafumbii macho.
 
Kuna mtu kani pm ati Flash Hider ni mtu wa pale Makumbusho geti jeusi kushoto kama unaenda mjini. Nilimkatalia,eti jamani ni kweliii! Mi sikumuamini kabisa! Hawa ni waongo,endelea kutuelimisha Flash Hider!

Mimi nilishaliona hilo. Huyu jamaa anajua historia ya pale ila i can guarantee that yuko bongo.
 
Mimi nilishaliona hilo. Huyu jamaa anajua historia ya pale ila i can guarantee that yuko bongo.

hahaha mimi nilimtambu alipo ingia,kwani alisema rwandair inatua goma kitu ambacho hakijawahi kutokea,lakini kahitahidi kufafanua.
 
Mbona unaleta ukabila mkuu?ulikilaani wewe hicho kizazi?kwa taarifa yako Joseph Kabila naye ni mtutsi,vipi kalaanika?Kuna watutsi wengi tu ni wapinzani wakubwa wa Kagame,hata mkuu FLASH HIDER ameeleza jinsi gani watutsi wa Goma walivyoichangia FARDC.

Mkuu, hata mimi nimemuambia hivo hivo. Inaonekana ana personal vendetta na watusi. Sijui walimfanyia nini? Lakini kwa mtazamo wangu, huyu jamaa ni mhutu aliyekimbia vita ya mwaka 94.
 
Mimi nilishaliona hilo. Huyu jamaa anajua historia ya pale ila i can guarantee that yuko bongo.

BITE sina sababu ya kudanganya wala kutoa habari za uongo, mimi ni mtu huru ambaye nafaidi matunda ya kuwa huru kwakuwa nimejiajiri. Ninachochunga zaidi ni kutovunja sheria za nchi hii ninayoishi ya DRC na nchi yangu niipendayo ya TZ. Ndiyo maana mlivyonieleza kuwa huko nyumbani imekatazwa kuzungumzia masuala ya kijeshi nilijiuliza sana na kuchambua kama haya niyasemayo na niyajuayo ni ya kijashi au laa. Nilijiridhisha na baadhi yenu mkanieleza kuwa hakika haya sio ya kijeshi ndo maana naendelea. Sipendi kubishana kwa ushabiki usiokuwa na hoja. Narudia tena, nipo GOMA na uliza chochote na kama una mtu mwambie anitafute.
 
Kwahiyo MUKAMASIMBA mambo yakiwa si shwari hapo BUNAGANA wewe unafurahia? Lengo lako nini hasa? Unataka watu wafe? Kwani hutaki kuamini kuwa kuna watu wanaoitwa Wahutu tena nao wana haki ya kuishi? Umeelimishwa na Wasomi wazuri tu hapa JF nikadhani utaalewa. Usiwe na damu ya kushambikia watu kuuawa. Tuzungumzie masuala ya maana ya jinsi ya kuijenga DRC nayo ifaidi amani kama nchi nyingine. Tuzungumzie namna ya kuimarisha ulinzi katika maeneo ambayo yamekwishakombolewa na FARDC kutoka kwa M23.

Nadanganya ili iwevipi?M23 kafukuzwa lakini mambo si shwari maeneo ya bunagana.
 
Sibishani na wewe ila soma historia ya TZ vizuri. Hapo kwenye red nadhni umepotopka kidogo kaka. 1978/79 kule Uganda ilikuwa ni vita au hutambui?

Tatizo WaTZ na Jakaya wenu mnawarudisha nyuma hawa jamaa machungu ya 1994 rwanda huko hii leo hakuna Mtutsi wa la mhutu kuna mnyarwanda Tu.acha kuwagawa hawa jamaa.why dont u say about america kule iraq afghanistan mna baki kumpondea Kagame.na Kinachowasumbua waTZ pa1 na kujikomba kwa wazungu bado maendeleo Hoi miaka 50 ya uhuru hatujawai kua na vita bado tunachechemea lakini Kagame ndani ya muongo 1 kapiga hatua kubwa ya maendeleo pa1 na kutokua na rasilimali anyway mnaishia kwa kusema ile nchi ndogo Je nyinyi nchi kubwa kuna maziwa mito madini gesi inakuja lakini mtoto shule hana dawati mpka wazungu wakija wanashangaa why watoto hawana madawati wanajiuliza je hawa jamaa wanalinda misitu au shida ni nini Conglatulations kwa Kagame kwa kazi unayofanya pa1 na wananchi wa Rwanda.na Uzuri Kagame hanaga maneno au mipasho ni Kazi tu.
 
kwa nini kutoka Lubumbashi kwenda Kinshasa mnatumia ndege badala ya barabara? hamuoni kama hizo ni anasa?
 
BITE sina sababu ya kudanganya wala kutoa habari za uongo, mimi ni mtu huru ambaye nafaidi matunda ya kuwa huru kwakuwa nimejiajiri. Ninachochunga zaidi ni kutovunja sheria za nchi hii ninayoishi ya DRC na nchi yangu niipendayo ya TZ. Ndiyo maana mlivyonieleza kuwa huko nyumbani imekatazwa kuzungumzia masuala ya kijeshi nilijiuliza sana na kuchambua kama haya niyasemayo na niyajuayo ni ya kijashi au laa. Nilijiridhisha na baadhi yenu mkanieleza kuwa hakika haya sio ya kijeshi ndo maana naendelea. Sipendi kubishana kwa ushabiki usiokuwa na hoja. Narudia tena, nipo GOMA na uliza chochote na kama una mtu mwambie anitafute.

Goma nasikia umeme ni matatizo ila nakuona uko kwenye net 24hrs. halafu unatuambia kuwa wewe ni mfanyabiashara. mfanyabiashara gani anakaa kwenye internet masaa yote hayo? Usitudanganye bwana.
 
Sibishani na wewe ila soma historia ya TZ vizuri. Hapo kwenye red nadhni umepotopka kidogo kaka. 1978/79 kule Uganda ilikuwa ni vita au hutambui?

Unataka kutuambia kuwa hiyo vita ndio imesababisha umaskini wetu? Sasa mbona uganda ilibaki ni kifusi tu baada ya vita lakini sasa wanapaa. Mimi nazani hio sio execuse kabisa. Sema tuna uongozi mbovu tu
 
Back
Top Bottom