Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Nikutoe shaka kaka mimi si TISS wala mwanasiasa. Nipo hapa GOMA kwa karibu miaka 10 sasa, usinidhanie mimi ni TISS.

Masuala ya EAC ukweli sina uelewa nayo kiundani ingawa mimi ni muumini wa UMOJA NI NGUVU.

KUHUSU JWTZ KULETA AMANI KWA NJIA YA BUNDUKI SIDHANI KWANI AMANI HAIWEZI KULETWA NA BUNDUKI PEKE YAKE.

ISSUE YA MAREKANI UKWELEI SIJAFANYIA REASEARCH, ila kuna madau alifunguka hapa undani wa DRC+ RWANDA+ USA+ MADINI
 
Thubutu! kama unataka ukanda huu wote uwake moto jaribu kugusa pk na M7,nafikiri ndio utakua mwisho wa amani katika afrika mashariki na kati,kama unataka amani ya kudumu sikilizeni matatizo ya M23 nakuyatatua kwani wao wanataka kusikilizwa bila hivyo nawapa pole wote wanaofikiria kuondoa watu fulani kwamba amani itapatikana.
 

We mbwa mi huwa unanichefua sana kwa majibu yako. Kenge we!!
 
Embu tuambie M23 ina makisio ya wapiganaji wangapi? je JWTZ ndio pekee mstari wa mbele kulikoni ilivyo kwa Malawi na Afrika kusini? Ukumbukwe pia Tanzania wanamgogoro wa kimipkana na Mawali, je ushirikiono kivita uwanja wa mapambano upoje lakini kama una tetesi sahihi! aksante
 
Majeshi ya India Pakistan na Bangladesh hayawezi kumaliza Mgogoro wa DRC kwa sababu ni kutokana na kuwepo kwao hapo DRC makampuni ya yanayo fanya biashara ya kuuza Mafuta kama PDLTOLL na Wafanyabiashara wa Vyakula kutoka maeneo hayo wanajinufaisha na Mgogoro huo.
 

Kijana yupo kazini...
 
Hii kali.

 
Bila shaka.

 
Kuna watu wako humu kama washabiki tu,sasa watusi wame kujaje katika hii thread? wewe weka point hapa kwani mtusi hawezi kutoa mawazo yake? mbona mnawafanya watusi kasio vile binadamu,mwaka huu mtawaongea sana na kuwachukia.

Hahaaa!
Taratibu.
Watanzania hatuna chuki na Mtu. Ila ukileta za kuleta utapotezwa!
Kama alivyofanya Kagame hope soon atapotea.
 
M 23 ukisoma kwenye magezi mengi wanatajwa kuwa kama 3000 mpa 4000.

Sijajua kama hasa ni majeshi gani mengine kati ya Jeshi la Malawi la SA lilopo front, ninachojua na kuwa na uhakika ni kuwa JTWZ lipo front.

Kuhusu mgogoro wa mpaka na Malawi, sijajua kama unaweza kuhamishiwa huku.

 

Jana kunasehemu nimesoma wanakadiria kwa sasa wamebakia kama 1000 na ndio hao wanakimbilia Msituni.

Laki kumbuka makundi yapo mengi sana zaidi ya 20 na kitu, Kwahiyo huyu M23 ni kinara tu akiisha huyu kuna wengine bado watatakiwa kusalimisha silah na kazi ipo maana kuna lile la Wahutu(FDLR) amablo limekuwa likipigana miaka ya nyumba sambamba na La Serekali.
 

Haya ni ya kwetu wabongo/watz wewe umeingia humu kufanya nini?
 

Nadhani waligawana majukumu, South walileta kikosi cha anga, Siis ni ardhini na malawi nadhani ni cha Mizinga.
 
Umeeleweka mkuu. Nakushukuru sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…