View attachment 120171
Watu kupoteza lugha ni rahisi mno, ni kama unavyoweza uliza waafrika walipokwenda amerika walikuwa wanaongea lugha gani! Ofcoz kwa intuitive naweza kusema manority waliopo Rwanda ndo wali adapti lugha ya majority, ama kinyume chake ni sahihi pia.
Lakini hii ni rahisi kuitambua, kwa intuitive, unaangalia hao wahutu na watusi wanafanana ni wepi ambao hasa wanafanana na majirani zao yani ndani ya uganda, ndani ya congo na ndani ya Tz, kisha unajiuliza je hao wanaofanana na ama wahutu ama watusi walio Tz, congo na uganda na je wanaongea lugha inayofanana na kinywaranda? Na kama ndio basi una conclude tu nani ali adapti mwezake.
Na kati ya picha hizo unaweza kumkosa mhutu na mtusi?