Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Rekodi lazima ziwekwe sawa......tukiwa na mhalifu kule mpanda atashughulikiwa ipasavyo......Kwa hio hata kama kuna mnuka damu za watu nje ya mipaka yetu huyo sio rafiki yetu..........

Siku hizi hakuna urafiki wakishoga mnaoendekeza mambo yote business nipe nikupe hakuna kuuza sura.
 
sisi ni superpower na hilo hatakiwi kuhoji mtu yeyote mwenye akili timamu na ndiyo maana kila tunaloliamini na kulisimamia ndani ya afrika ni lazima litimie ! hatuwataki vibaraka wa rwanda na uganda DRC (M 23) NA TUMEWATIMUA, WATUSI NI LAZIMA WAONGEE NA FLDR LITAYIMIA MUDA SI MREFU, TENA KAGAME ATAOMBA MWENYEWE MAJI YATAKAPOMFIKA SHINGONI

Superpower wa kutembeza bakuli! Raisi kila siku yuko nje anatembeza bakuli. Mpaka nakumbuka miaka ya nyuma mlienda kuomba mvua malaysia. hahahahahaha! this is very funny. Mpaka mvua mnaomba. Unbelievable!
 
Kwa akili yenu fupi na ya visasi unadhani kila anaekupinga ni FDLR....Na hao jamaa lazima tu wawatoe hapo......

Nenda ukanawe macho utoe usingizi ndio urudi kwa keyboard,du!unaota hata mchana?JWTZ inaenda kuwakamata iwalete rwanda wewe eti mtawatoa hapo,pole hapo ndio utajua rwanda ni game tofauti tena ya juu.
 
images.jpg
Wewe unaweza niambia watusi,wahutu,watwa hapo mwanzo hawajahamia rwanda walikua wanaongea lugha gani? kwani wote ni wahamiaji kama unafutilia history.

Watu kupoteza lugha ni rahisi mno, ni kama unavyoweza uliza waafrika walipokwenda amerika walikuwa wanaongea lugha gani! Ofcoz kwa intuitive naweza kusema manority waliopo Rwanda ndo wali adapti lugha ya majority, ama kinyume chake ni sahihi pia.
Lakini hii ni rahisi kuitambua, kwa intuitive, unaangalia hao wahutu na watusi wanafanana ni wepi ambao hasa wanafanana na majirani zao yani ndani ya uganda, ndani ya congo na ndani ya Tz, kisha unajiuliza je hao wanaofanana na ama wahutu ama watusi walio Tz, congo na uganda na je wanaongea lugha inayofanana na kinywaranda? Na kama ndio basi una conclude tu nani ali adapti mwezake.

Na kati ya picha hizo unaweza kumkosa mhutu na mtusi?
 
Attachments

  • paul_kagame.jpg
    paul_kagame.jpg
    19.6 KB · Views: 231
Nasikia M23 kwishney kabisa wamebaki digidigi tu wanajificha kwenye mashimo kama panya bukU!

Acha wewe ya M23 ni ya watu wanaocheza mchezo wa juu,watu kamanyie hamuwezi jua kinacho endelea,unajua kwamba mchezo wote ulipangwa na wakubwa?ile victory ya DRC ni fake victory,it was planned before.
 
View attachment 120171

Watu kupoteza lugha ni rahisi mno, ni kama unavyoweza uliza waafrika walipokwenda amerika walikuwa wanaongea lugha gani! Ofcoz kwa intuitive naweza kusema manority waliopo Rwanda ndo wali adapti lugha ya majority, ama kinyume chake ni sahihi pia.
Lakini hii ni rahisi kuitambua, kwa intuitive, unaangalia hao wahutu na watusi wanafanana ni wepi ambao hasa wanafanana na majirani zao yani ndani ya uganda, ndani ya congo na ndani ya Tz, kisha unajiuliza je hao wanaofanana na ama wahutu ama watusi walio Tz, congo na uganda na je wanaongea lugha inayofanana na kinywaranda? Na kama ndio basi una conclude tu nani ali adapti mwezake.

Na kati ya picha hizo unaweza kumkosa mhutu na mtusi?

Sasa nilitaka kukuonye hiyo history ni uongo kwani hakuna mtu anaweza kukuambia source ya hawa watu kingine haiwezekani kwa mwafika kusahau 100% ya rugha yake na utamaduni hata akichanganya vipi,imagine hakuna trace yeyote,sio wahamiaji.
 
Nenda kawashike wamerikani weusi uwaulize lugha yao ni ipi na tamaduni yao ni ipi? sio waafrika walioenda juzi baada ya sisi kujipatia uhuru bali wale walipelekwa utumwa.
 
Na kitu ambacho hukubaliani nacho japo ni ukweli ni hiki hapa ktk nyeusi:

The tutsi and Hutus have occupied Rwanda and Burundi for centruries. The tutsis are niolots. Niolots are African people who live along the nile. Most are found in Kenya, Sudan, and Ethiopia. Hutus are of Bantu origin.
 
Nenda ukanawe macho utoe usingizi ndio urudi kwa keyboard,du!unaota hata mchana?JWTZ inaenda kuwakamata iwalete rwanda wewe eti mtawatoa hapo,pole hapo ndio utajua rwanda ni game tofauti tena ya juu.

Yaani Rwanda ni Game tofauti kwa Tanzania sio au unammanisha nini? manake unaweza kuwa unaota mchana...poor you
 
Acha wewe ya M23 ni ya watu wanaocheza mchezo wa juu,watu kamanyie hamuwezi jua kinacho endelea,unajua kwamba mchezo wote ulipangwa na wakubwa?ile victory ya DRC ni fake victory,it was planned before.
Sasa Unasema wazi kuwa walio nyuma ya m23 ni Ka game na mwenzake Ka guta. Na hii inadhihirishwa pia na kitendo chao cha kujaribu kunidanganya Kenya ili kuitenga Tanzania.

Tatizo lingine la hawa jamaaa ni ubinafsi ambao kwa Bahima ni kama mishipa ya damu mwilini. Ubinafsi huu ndiyo msiba mkubwa unaowangojea huko mbeleni. Kuweni na Upendo wa kweli kwa wengine ambao siyo Tusi na Hima.
 
attachment.php
dikteta, nduli, paul kagame, chanzo cha mauwaji na mitafaruku isiyoisha eneo la maziwa makuu, TUCHUKUENI HATUA KWA PAMOJA, ANGAMIZA KAGAME NA MAMLUKI WAKE KWA AMANI YA MAZIWA MAKUU
 
Hatuwezi kuuacha upuuzi unaosemwa na ninyi blood stinkers tuuache tu...lazima tuwakanushe ili rekodi ziwekwe sawa....umeelewa eeeh

Kwenu nchi imejaa rushwa kila kona mnashindwa kudeal nao hiii leo uje rwanda WTF mtuache na kawilaya ketu. Rwanda ni padogo yani wewe ni sawa Na (") namgonga dem we unapiga chabo afu unanipangia style...Dem wangu style upange wewe Majanga.(")
 
Hata Obama ni FDLR...Wajinga sana hawa jamaa....Kunuka kwao damu ndo wanatuletea kero za kelele zao hapa

Kelele wanazo watz. mtu yoyote wa Kigali umewaiskia anaongelea haya mambo ya kifala hata nenda twitter fcb ig na blogs wale jamaa wako smart sana wanafanya kazi kuliko nyie wana siasa ambao nyerere waliachia urithi huo wa Siasa.wale wnyarwanda wanfanya kazi nyie kutwa nzima ofisini kupiga umbea na Kuangalia Movie kwa computa ya ofisi ikifika saa tisa wa kwanza kwenda Home Bullsh*t
 
Makenga is held by ugandan officials with his commanders.
Reuters.com
 
Wakuu, nimeshindwa kuufuatili mjadala tangu mwanzo kwahiyo mtanisamehe kama nitauliza swali ambalo lilishajibiwa.
Kwa taarifa nilizozisikia kwenye vyombo vya habari, naona kama hawa M23 wamefanya mabadiliko ya ghafla sana. Toka ubabe wote ule na kuamua kuwa cooperative kiasi hiki kwa kuweka silaha chini, ni mabadiliko ya kweli au kuna kitu cha siri wamekipanga?
 
Back
Top Bottom