Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

kufuata nini congo?mbona un imeisha kubali ku deal na tatizo la fdlr ambalo lilikua sababu ya rwanda kuingi congo,sasa sioni haja ya rwanda kuingi congo,kingine issue ya m23 naweza sema ni advantage kwa rwanda kwani ni mara ya kwana un akiwemo na tanzania wanaji commit kudhibiti fdlr ndani ya congo,hivi rwanda wamepata muda wa kuangalia mambo yao ya ndani ya kimaendeleo kwani hivi sasa kuna watu waliojitwika dhamani ya kulinda rwanda dhidi ya fdlr.

sizitaki mbichi hizi, kwa kichapo mlichokipata ni sawa na mliliwa tigo, kweli drc hamtaweza kukanyaga , chezea wanamitulinga wa jwtz wewe, jeshi la rwanda ni moja ya majeshi yenye askari mdebwedo
 
Huyu mukamasimba anawashwa itabidi atafutwe mtu ampige kachabari ya 0713 ndo itakua raha yake haaahaaaha.
 
subiri awamu ya pili ya vita flash rider ataripoti kutokea kigali kwa huyo mdebwedo kagame

Kama hawana habari hapa ni heri wangeitazama kwa makini ile movie ya Idd Amini Dada. Hapa naona kama enzi ya inataka kujirudia tena kupitia Rwanda na Uganda.

Bado tunasimama juu ya maneno ya mwalimu Julius K. Nyerere kuwa"nia ya kumpiga tunayo, uwezo wa kumpiga tunao na sababu ya kumpiga tunayo. Wajaribu tena kutubania pua zao ndefu waone.
 
Mbona mnajipa ushindi wakati hii vita imemalizwa na USA? wao ndio wameimaliza.

Kama huamini mwambie awaambie M23 warudi tena katika milima ya Mbuzi. Wakirudi tena tarajia hadithi ya Idd Amin kwa upya.
 
south africa iligoma kupeleka vikosi vyake DRC kama TANZANIA isingepeleka .Hii inadhihirisha imani kubwa ya mataifa yaliyostaarabika yaliyo nayo kwa Tanzania. sembuse hawa visigino wa rwanda na uganda?

ahahahhha sindio maana unasikia watanzania wanakufa,je uliisha sikia mu south amekufa? hapo utaelewa sababu,nilikua na shangaa jamaa humu akiuliza sababu gani wanakufa watanzania tu,sasa jibu umelitoa mwenyewe,wa south wao hawako tayari kufa.
 
sizitaki mbichi hizi, kwa kichapo mlichokipata ni sawa na mliliwa tigo, kweli drc hamtaweza kukanyaga , chezea wanamitulinga wa jwtz wewe, jeshi la rwanda ni moja ya majeshi yenye askari mdebwedo

Tusiandikie mate........
 
Kama huamini mwambie awaambie M23 warudi tena katika milima ya Mbuzi. Wakirudi tena tarajia hadithi ya Idd Amin kwa upya.

Subirini mtapata habari kamili kilichowapata JWTZ katika uwanja wa mapambano,mbona maneno mengi kama mnapumuliwa kisogoni?
 
Kufuata nini congo?Mbona UN imeisha kubali ku deal na tatizo la FDLR ambalo lilikua sababu ya rwanda kuingi congo,sasa sioni haja ya rwanda kuingi congo,kingine issue ya M23 naweza sema ni advantage kwa rwanda kwani ni mara ya kwana UN akiwemo na tanzania wanaji commit kudhibiti FDLR ndani ya congo,hivi rwanda wamepata muda wa kuangalia mambo yao ya ndani ya kimaendeleo kwani hivi sasa kuna watu waliojitwika dhamani ya kulinda rwanda dhidi ya FDLR.

Utakuwa na ufinyu wa akili hivi sababu ya Rwanda kuihujumu Congo ni FDLR?
 
Subirini mtapata habari kamili kilichowapata JWTZ katika uwanja wa mapambano,mbona maneno mengi kama mnapumuliwa kisogoni?

Wewe ndio unapumuliwa kisogoni; taarifa za vijana tunazo M23 imebaki ni hadithi!
 
kabwana haka kanataka katawale EA wakati nikaalikwa tu.

Tatizo lenu mtu akija na mawazo mazuri ya kufanya muungano uwe wa vitenda, watu wengine hufikiria kutawaliwa wakati mliisha tawaliwa bila kujiwlewa na makaburu.
 
Wewe ndio unapumuliwa kisogoni; taarifa za vijana tunazo M23 imebaki ni hadithi!

Mbona wametulia kampala wanakula kuku tu,wanasubiri kabila asaini,lakini huoni kama M23 wameshinda inawezekanaje kusaini mkataba na aliyeshindwa?
 
Utakuwa na ufinyu wa akili hivi sababu ya Rwanda kuihujumu Congo ni FDLR?

Mimi nimesema wakati wote rwanda kuingia congo ilikua kwenda kuwadhibiti FDLR tu hakuna kingine,tena M23 ni M23 sio rwanda,usichanganye hilo.
 
Nawapa ushauri watanzania wanao taka vita na rwanda,itakua vizuri hizo nguvu mngezitumia kuinua uchumi na kuwakwamua watanzani katika umasikini kuliko kufikilia vita ambayo hamtaishinda.
 
Roger Lumbala
On s'achemine lentement a la signature de l'Accord de Paix. relire ce que j'avais déclaré.
"Accord secret pour lequel Raymond Tshibanda et Kalev Mutomb ne voulaient pas que je participe a la commission Sécurité et défense dont je suis président aux négociations, c'était en partie la demande des USA au M23 de retirer ses troupes dans les agglomérations en contre partie que Kabila accepte de signer l'accord de paix en accordant l'amnistie générale pour fait de guerre et fait insurrectionnel, le retour des réfugiés congolais et surtout l'intégration militaire et politique. Le général Makenga a rempli sa part de cet accord, les envoyés spéciaux du Conseil de sécurité, des USA, UE, UA, ainsi que la CIRGL qui ont facilité la résolution 2098 de la Brigade d'intervention de l'ONU exigent que Kabila remplisse la sienne. Kabila veut transformer la victoire diplomatique en victoire des FARDC."
Roger Lumbala On moving slowly a the signing of the peace agreement. Re-read what I said.

"Secret agreement for which Raymond Tshibanda and Kalev Mutomb did not want me to participate the commission security and defence which I Chair in the negotiations, it was in part the request of the USA to the M23 to withdraw its troops in the cities however part that Kabila agrees to sign the peace agreement in granting general amnesty for acts of war and insurrectionthe return of Congolese refugees and especially military and political integration. General Makenga has fulfilled its part of the agreement, the special envoys of the Security Council, of the USA, EU, AU, as well as the ICGLR which facilitated resolution 2098 of the Brigade of the United Nations require that Kabila meets his own. Kabila wants to transform the diplomatic victory to victory of FARDC."
 
Mbona wametulia kampala wanakula kuku tu,wanasubiri kabila asaini,lakini huoni kama M23 wameshinda inawezekanaje kusaini mkataba na aliyeshindwa?

Usijidanganye huo ni mtego wasaini waweke silaha chini, wakifika drc, wote wanapotezwa. Wewe shangilia tu, ni bora wabaki hapo hapo kampala kwa bosi wao.
 
Back
Top Bottom