Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
- Thread starter
-
- #81
Ndo bado napambana mkuuUnajua unachokiongea kweli? Hao mabroker unaowataja ni fx na sio stock.
Wewe ni forex trader...
Utatumia mbinu gani sasa kama Tanzania hakubali
Mkuu unaweza nipatia namba za,simu tuwasilianeHata crdb pia wanaziuza mkuu
Mkuu ukiuliza hapa hapa namie nitakujibu kwa ninachokijua pia kwa faida ya Taiga letu lote ama kuna shida .Mkuu unaweza nipatia namba za,simu tuwasiliae
Ni kuhusu hizo gold coin bro unaweza nielekeza wapi naweza pataMkuu ukiuliza hapa hapa namie nitakujibu kwa ninachokijua pia kwa faida ya Taiga letu lote ama kuna shida .
Ukiuliza swali namie nitakujibu na mwingine atajifunza pia
Nenda bank waaambie kuwa anahitaji kuzjnunua. Kuna muda gold Ilikuwa ni 3.9+++M tzs nikawaza nijilipue hata za Milioni kadhaa kuangalia kucheki muda si mrefu ikawa inasoma 4.6++++M INA ungeamua kuweka Hela ya mana ungevuna hata Milioni kadhaa kama ungenunua kuanzia 40MNi kuhusu hizo gold coin bro unaweza nielekeza wapi naweza pata
CRDB nliongea na watoa huduma zao wakasema hawatoi hizo huduma pia na absa wao wamezilist kwa mfumo wa etf kwenye stock so sijapenda hyo style ya absa isingekuwa kwenye stock ingefaa kununua.sasa unaweza nisaidia channel nyngne wanaotoa hizo hudumaNenda bank waaambie kuwa anahitaji kuzjnunua. Kuna muda gold Ilikuwa ni 3.9+++M tzs nikawaza nijilipue hata za Milioni kadhaa kuangalia kucheki muda si mrefu ikawa inasoma 4.6++++M INA ungeamua kuweka Hela ya mana ungevuna hata Milioni kadhaa kama ungenunua kuanzia 40M
Hata kam unajua kampuni za gold etf pia unaweza nisaidia bro
Na upande wa tangible hao skrill hapana aisee wana update terms zao mara kwa maraYaani unataka uwe na tangible or intangible gold mkuu. Kama intangible jaribu kuwa cheki Skrill pia wanaiuza. Yaani waweza badili yako ikawa in terms of gold.
Swiss banks or BD swiss hawa ni brokers wauzao gold digital. Pia waweza fungus nao akaunti in terms of gold kama si unit
Wewe unatumia broka gani kununua stocks , naongelea stocks za marekan. Umenijibu kama mtu ambaye hatrade stocks.
Hata kam unajua kampuni za gold etf pia unaweza nisaidia bro
Liko wapi broNenda soko la madini nunua gold
Kununua,stock ya barrick sio kumiliki gold bro ...maan hapo lazima uwe unafuatilia news za barrick.Niliwahi kuuliza juu ya wapi zinapatikana gold coins Tanazania nikaambiwa eti benki ya CRDB!!! Nimekwenda kuulizia pale naona wafanyakazi wao hata hawaelewi nini ninawauliza; hivyo nikajua kuwa huyo aliyetoa hiyo tarifa alikuwa hajui kitu juu ya upatikanaji wa gold coins!
It seems the only way one can invest in GOLD in Tanzania is through the purchase of Barrick stocks on the DSE.
Kununua,stock ya barrick sio kumiliki gold bro ...maan hapo lazima uwe unafuatilia news za barrick