Yes bro lakini tofautisha kampuni inayomiliki dhahabu na mtu anayemiliki dhahabu mfano tu what if barrick went bank rupt na umenunua share zake??? na wew unaangalia upande mmoja tu wa bei ya dhahabu???Una maana gani kuwa uwe unafuatilia news za Barrick? Unapofuatitilia news za stock ya BARRICK kwani unaangalia nini kama sio bei ya dhahabu? Hata ukiwa na Gold coins utakuwa unaangalia jinsi bei ya dhahabu kwenye soko la Dunia linavyokwenda!!!! Barrick Stock is internationally traded!!!
Maan ukinunua share unakuwa part ya kampuni na sio gold kwa hyo mtashare faida na hasara za kampuni...Una maana gani kuwa uwe unafuatilia news za Barrick? Unapofuatitilia news za stock ya BARRICK kwani unaangalia nini kama sio bei ya dhahabu? Hata ukiwa na Gold coins utakuwa unaangalia jinsi bei ya dhahabu kwenye soko la Dunia linavyokwenda!!!! Barrick Stock is internationally traded!!!
Ukiwa part owner wa Kampuni inayoijhusisha na dhahabu maana yake you are also part owner wa dhahabu kufuatana na wingi wa hisa zako!! Hata ukiwa na Gold coins faida na hasara pia inategemeana na bei ya dhahabu kama imeshuka au kupanda kutegemeana na bei ulionunulia!Maan ukinunua share unakuwa part ya kampuni na sio gold kwa hyo mtashare faida na hasara za kampuni...
Yes bro lakini tofautisha kampuni inayomiliki dhahabu na mtu anayemiliki dhahabu mfano tu what if barrick went bank rupt na umenunua share zake?
Miaka miwili iliyopita nilijiunga na ICmarkets.Ni wazuri Lakini walikuwa hawana baadhi ya stocks ambazo nilikuwa nataka. Hasa za africa na USA. Kinachonivutia kwa broker ni customer service. Na prefer kuongea kwenye simu zaidi ya email.Unatumia Pepperstone and fxchoice ila napigana nijiandikishe na ICMarket. I never seen best broker ever kama huyu mana ni pure ecn brokers for financials securities.
Ubaya don't accept Tanzania traders
Bado hujatuma linkNgoja nitakutumia link mkuu ujiunge usome tani yako mwenyewe. Usichoke kumbuka binadamu huwa tunatumia 0.0000001% ya uwezo wetu Wa ubongo mpaka tunazeeka so jaribu kutumia hata robo tu ifike.
Mkuu inahusu nnSasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.
Kama hujafungua account, fungua sasa
Mahitaji
E mail
Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa
Kitambulisho cha Kura AU
Kitambulisho cha Uraia AU
Leseni ya Udereva AU
Passport.
Msaada zaidi njoo PM
Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.
Kama hujafungua account, fungua sasa
Mahitaji
E mail
Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa
Kitambulisho cha Kura AU
Kitambulisho cha Uraia AU
Leseni ya Udereva AU
Passport.
Msaada zaidi PM
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.bit.ly
Forex tradingMkuu inahusu nn
Ooh naikubal Sana sem.sina elimForex trading
Hizi terms sizielewegi kwenye cryptocurrency
~ proof of work
~
Proof of work ( ni mkusanyiko wa computer mbalimbal dunian ambao kaz yake kua add transactions kweny blockchainHizi terms sizielewegi kwenye cryptocurrency
~ proof of work
~ proof of stake
~ pure proof of work
Ooh naikubal Sana sem.sina elim
pata elimu kupitia babypips.com au njoo pmOoh naikubal Sana sem.sina elim
Kati ya manual na automated trading kwa kutumia own programmed or purchased EA ipi ndio nzuri zaidi :No single trader
will become profitable within the early stages of trading! It is not a smooth sailing journey; you will experience a turbulence of learning curves, which shall
mold you into a successful trader over time.
To trade forex you've to trade with your eyes open, recognize real trends and reversals. By Dr Alexander ElderKati ya manual na automated trading kwa kutumia own programmed or purchased EA ipi ndio nzuri zaidi :
1.Kwa begginer
2.kwa mzoefu