Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Ya mwisho ni engulfing and inside bars

Inside bars za zenyewe ni reversal indicator so unajua reversal inapotokea.
Inside mfano top ama pale bulls wanapokuwa wamechoka. Kuna bulls candles inameza mazima bearish candle yaani inakuwa ndani yake mpaka wick yake.

Bulls candle kubwaaa afu Kuna bearish candle ndogo kuanzia kwenye low/high wicks na body yake inamezwa na iyo bull candle ya kwanza. Hii wakati mwingine inaitwa harami kwa Mana ya mimba. Ama Kitambo Fulani ivi mkuu ndo picha inayokuja.

Top inamana bearish candle inamezwa na bull candle. Na bottom Kuna bearish candle afu unatokea bull candle ambayo inamezwa kumbuka hapa lazima kwenye zones tu ndipo unapozitumia.
Na ndo maan baada ya kuwa imeumbwa kunaweza kukatokea candle kubwa Sana ambayo inaonyesha kuwa greed inakuwa kubwa Sana.

Na wick inaonyesha fear inakuwa kubwa Sana.
Kumbuka greed na fear ndizo force zinazofanya market itembeee.

Engulfing candles inakuwa ni kinyume chake ,hapa mfano top or resistance levels Kuna bullish candle afu inatokea bearish candle inameza Ile bull candle,Ile ya kwanza inazidiwa urefu na hii ya pili yaani inaifunika kiasi kwamba ukiangalia horizontally from right haiwezi iona Ile candle ya kwanza.

Kumbuka uonapo dalili hizi sio ukimbie kuvuta trigger wait for more confirmation,you better be late but to want to be first and eighths has greatest cost of all. Hayo maneno ya Jesse Livermore sio ya kwangu.

Yaani usisubiri kuwa mpaka mwisho ndipo uchukue faida na uwe wa kwanza kuingia kwenye reversal inapotokea
 
asante sana uko vizuri sanaa
 
Shukrani sanaaa nimekuelewa sanaa
 
Asante sana
 
asante sanaa
 

  • Who pays you when you win or lose in forex?
  • When you place the order in MT4 or MT5 does it really mean you placed into the real markets ? same as bank do?
  • Do banks when trading forex buy lot sizes the same as us, or do they exchange one huge of currency into another currency?
  • When trading forex do we really exchange currency or do we buy just contracts?
  • Is MT4 OR MT5 a screen just used to show the movements of markets? Or it what people term it OTC(Over the counter)
  • Is forex a contract for difference? If yes /no How?
  • Is forex a derivative market?
  • What is interbank market and retail market in forex
  • If retail market is CFD, do retail traders able to move the markets?
  • When some one tell yo OTC market, how brain understudy it?
  • What is derivative market?
  • How the CFD being performed between you and your broker?
  • How sure you believe your oder placed sent to liquidy providers?
  • Who your liquidity providers?
  • What broker your using till now? And why you chosen to work with him?
  • could you be able to move the markets, if you were a billionea like billgate?
  • differentiate between a derivative trader and a speculator trader
  • what is the different between busness and investment
  • if forex a investments or busness?
MWALIMU KARIBU TENA
 
Naona unapiga ramli tu. mimi sijamuomba mtu hela na sina mpango huo. Mimi pia nimefundishwa Forex kwanini nisisaidie na wengine? Acheni roho mbaya bhana
 
Mpaka nimechoka huo muda wa kuandika na kuumiza akili mkuu. Ila wait I will answer on my time term
 
Naona unapiga ramli tu. mimi sijamuomba mtu hela na sina mpango huo. Mimi pia nimefundishwa Forex kwanini nisisaidie na wengine? Acheni roho mbaya bhana
Poa Ila naona Kama nimekutachi. Utaanza kuuza signals Mara ku manage account mkuu. I know your way thereafter
 
Mpaka nimechoka huo muda wa kuandika na kuumiza akili mkuu. Ila wait I will answer on my time term
Jamaa anakupima tu uwezo ndugu, utajichosha tu bure,
Amejikalia anacopy maswali kwenye kitabu wewe unajipinda kumjibu. Kama ameshindwa kujisomea na kuelewa hata HH na HL bora aachane tu na forex ila na hakika anaelewa haya mambo vizuri.
 
Jamaa anakupima tu uwezo ndugu, utajichosha tu bure,
Amejikalia anacopy maswali kwenye kitabu wewe unajipinda kumjibu. Kama ameshindwa kujisomea na kuelewa hata HH na HL bora aachane tu na forex ila na hakika anaelewa haya mambo vizuri.
Umeona namie nimeona ivyo Mana hayo mambo yameelezewa Sana. Nashukuru Sana bana ubarikiwe
 
Poa Ila naona Kama nimekutachi. Utaanza kuuza signals Mara ku manage account mkuu. I know your way thereafter
Acha uchawi. jiunge kwenye group alafu hayo unayoyasema au kuyatabiri yasipofanyika ujichagulie adhabu
 
Jamaa anakupima tu uwezo ndugu, utajichosha tu bure,
Amejikalia anacopy maswali kwenye kitabu wewe unajipinda kumjibu. Kama ameshindwa kujisomea na kuelewa hata HH na HL bora aachane tu na forex ila na hakika anaelewa haya mambo vizuri.
Na trading sio knowledge tu inayodetermine kuwa utaifaulu. Kujikusanyia maarifa hakusaidii na ndo Mana watu wanakusanya wanaishia kuifundisha ,kutunga vitabu,kuuza signals,Mara copy trade.
Ila sio kuwa hawaijui wanaijua Sana sema ishu Ile dare to do or live performance ndo huwa Kuna mziki hapo,.ndo maana kila mtu anajifanya ni mwema wa kuifundisha na vitabu vimejaa kibao.
Nashukuru nimefikia level za kujua kitabu Cha trader na journalists ni kipo.
Real traders wapo , educators,advisors , regulators, brokers wote hapo wanategemea amateurs traders wawalishe jamani.

Yaani forex vitabu ni vingi Sana na wanaofundisha ni wengi Sana sijui hata kuliko wanaoifanya.
Ni Kama huwa nikienda stendi mfano ya nyegezi nakuta wale wapiga debe ni wengi kuliko wasafiri wenyewe. Naishia kuwatambua kuwa na nyie mtasafiri lini Mana mkiamua kusafiri tu mnajaza mabasi yote hapa stendi.

Yaani bana trading inachekesha Sana kila mtu anajifanya anayo humanity heart ya kuwasaidia wengine. Ni kwenye forex pekee ,Kama mtu alifundishwa na yeye anaamua kuifundisha mbona sijaona daktari,mwanasheria, engineer na wao wanaofundisha kisa na wao walifundishwa.

Forex watu wanaifanya wageni wanaiona Kama ni utapeli Ila ni watu wenyewe ndio matapeli so wanatapeli wengine Kupitia huo mgongo wa kuwa nakusaidia, kumbe ukiangalia wewe ndiye unayemsaidia
 
Acha uchawi. jiunge kwenye group alafu hayo unayoyasema au kuyatabiri yasipofanyika ujichagulie adhabu
Sihitaji kujiunga labda useme niwe nakupa nondo uwe unawalekeza huko unawachangisha alfu 20,30,50------

Ila ukijua kitu raha Sana unakuwa unawacheki makonki ama mastar.
Mfano Ontario haijui na alikuwa haijui ama Kama alikuwa anaijua aliamua kuwabia watu.
Live trading sio ya kukombilia ivi ivi.
If you don't make money in demo account you'll never in live account.
To win in a market doesn't need any skills at all may the skills to move a cursor and click sell or buy button,

The big ishu Iko kwenye consistent income au kuwa consistent profitable trader month after month or year in and year out ndo Kuna mtiti
 
Umeona namie nimeona ivyo Mana hayo mambo yameelezewa Sana. Nashukuru Sana bana ubarikiwe
mkuu usinichoke mapema sio kwamba nayajua, hapana mi napenda kuelewa kitu kwa undani zaidi, na mazingira ninayoishi ni ya kijijni so hakuna mtu wa kusema kushirikiana nae mambo haya hakuna anayeyajua.. so msaada wangu wa mwisho ni kusoma tu, changamoto ya kusoma ni kwama unaweza ukasoma ukaelewa sivyo na inavomaanishaa, thus why nikauliza.. ila usinichoke haya maswali ya mwisho ukinijibu vizuri kama ya mwanzo nazani nitakuwa nimefika 80% kuiilewa forex.. shida hata wale unaobahatika kuwauliza hawapendi kujifunza kitu kwa undani.. wao wamejikita kwenye basis tu.. kuweka oder na kuclose order, vingine hawajui.. so usinichoke kwa haraka haraka unaweza sema haya mambo nayaelewa sanaa kumbe hata 60% sijafikaaa.., shida hata relirature nyingi hazielezei vizuri
 
Kijijini wapi huko kwani. Si smart phone unayo na bando hapo kinachobaki ni kichwa chako tu mkuu
 
Unasoma kitabu gani icho ambacho hakijielezi mkuu.

Anayekulipa unapo win trade ni trader mwenzake Aliye loose.
Iko ivi ukibofya tu cursor ya buy/sell order namie huku ivyo2.
Broker or middleman anachukua chake faster kwa njia ya spreads or kamisheni sometime both.
So uki loose mie huku na gain.kwako zinavyokuwa nyekundu kwangu zinakuwa za blue.yeye broker ameshaku link na liquidity providers like big banks or another brokers,aama anaweza akawa broker mwenyewe huyo, ukibuy anakuuzia yeye,
 
sawa mkuu nimekuelewa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…