Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Iyo itakuwa ni cycle sijui ya Nini mkuu ,iyo kudhani kuwa ukirudi kusoma Sana na kujikusanyia kuwa labda Kuna kitu unakikosa.hakuna unachokosa katika maarifa Ila shida Ila shida ama tatizo lipo kichwani mwako.yaani siku ukifikia ama ulianza kujitaazama wewe Kama wewe ndipo utakapokuwa umejua Cha kufanya. Siri haipo kwenye vitabu ama kwenye komputa Bali kichwani mwako, enemy within can do harm not outside enemy.
Mkuu nje ya mada kidogo unawapata jamaa wanaitwa The Forex Family wanafanya analysis wanatokea canada.
 
Mkuu keisangora ataka niweke hela kidogo ya boom na ninayojichanga pale UTT Amis. Naona mademu wanataka kunizidi nguvu nikipata hela inazubaa kidogo natupia uko naishi kwa bajeti tu.

Nipe experience yako kuna return kiasi gani kwa miezi 6 nikiwa naweka laki kwa mwezi. Wao wameandika napata 10%-20%, kuna ukweli?
Nimeuliza raia wote hawajui
Mkuu keisangora toa maoni hapa kama una chochote
 
Iyo itakuwa ni cycle sijui ya Nini mkuu ,iyo kudhani kuwa ukirudi kusoma Sana na kujikusanyia kuwa labda Kuna kitu unakikosa.hakuna unachokosa katika maarifa Ila shida Ila shida ama tatizo lipo kichwani mwako.yaani siku ukifikia ama ulianza kujitaazama wewe Kama wewe ndipo utakapokuwa umejua Cha kufanya. Siri haipo kwenye vitabu ama kwenye komputa Bali kichwani mwako, enemy within can do harm not outside enemy.
dah tupambane tu
 
Mkuu keisangora toa maoni hapa kama una chochote
Utt huwa hazina Bei Sana kwa kuanzia. Sema hizo ujue ni financial instruments unanunua so lazima kwanza ujue risk accompanied with that kind of investment. Always Kuna pande mbili katika business. Ni bond or share. Kama ni bond nunua hizo ni uhakika.pia ucheki Kama wako registered na mamlaka ya nchini mkuu,are they legitimate or not.make sure you do your due diligence ukajiridhisha ndugu.
Kama wako registered please afu Kama ni bond nunua huwa ni uhakika,Ila Kama share chochote chaweza kutokea
 
The video is an eye- opener. Success inategemea mambo mawili muhimu.#
- broker muaminifu
-long term trades on higher time frames.

Huyu Anthony kreil nilishamsikiliza Sana Tena Sana around two years back. Sema hatoi real code za trading ni blah blah za kutosha
 
Iyo itakuwa ni cycle sijui ya Nini mkuu ,iyo kudhani kuwa ukirudi kusoma Sana na kujikusanyia kuwa labda Kuna kitu unakikosa.hakuna unachokosa katika maarifa Ila shida Ila shida ama tatizo lipo kichwani mwako.yaani siku ukifikia ama ulianza kujitaazama wewe Kama wewe ndipo utakapokuwa umejua Cha kufanya. Siri haipo kwenye vitabu ama kwenye komputa Bali kichwani mwako, enemy within can do harm not outside enemy.
nilishangaa sanaa nadepost dolla. halafu natrade eur/gbp. nikajiuliza inawezekanaje kubuy au kusell currency wakati nina dola sina eur wala gbp? na nikibonyeza batani ya buy je ni automatically dolla zangu zitakuwa gbp?. baadae nikapata jibu tunaexchange price ya currency kwa kununua lot size(contracts) sio tunaexchane currency.. tufanfanya CFD au tunaspeculate price movements of currency.. banks wao ndo wanabuy na kusell currency electronically, nasie wanatuuzia lot size na leverage.. ili tufanyanye speculations ya price ya currency sio tu exchange currency.
 
In a nutshell, a speculator bets on events on a discrete basis whereas a trader relies more on capital protection and risk management
 
Ndugu vipi leo kuna nfp, unazungumziaje kuhusu muelekeo wa gold na eu kuanzia hapo zilipo?
 
Pia muelekeo wa usdcad maana hizo currencies zote leo zina big news.
 
Ni kweli Ipo Ila naomba ubadilishe mindset ya trading. You've to change the mind that you brought into trading,the mind of control outcome,mind of self preservation,mind to be winner fixed,mind of Fortune teller,mind of superego that lead to ego,
In forex you can do anything alright like how you did previously the same set up,the same pair,the same timeframe but still wrong with your favour,
This is our mind that we need to be certain so that we feel champion in this field because we've been brought to control outcome/results by hardworking so that we win and raise our self, feel that we're smartest in the World than anybody.
This is probabalistic game like a coin flip but the odds are more tuned to our favour. You own your little casino. Do you it always win in a long run.

Ukiona mtu anaenda huko BBC, CNN CNBC, Bloomberg,Fox news n.k ni kuwa journalists wao wanaripoti habari Mana it's their business to report so they've to find so called guru atabiri. Atoe mtazamo wake. Forex is ok about mindset,no get rich quick scheme please.
So mkuu mie sio fortune teller.
Pia just stay before your chart will tell you where market has to lead to.
I really I appreciate that everything that you need to know about market is in front of you. Nenda kamsikilize Al Brooks na vitabu vyake.
In forex answer must be binary up or down. So if it's down sell and up just buy no more than that.

Mwishoni kabisa remember money in trading is made by sitting right by your two hands and do nothing.
You don't have to trade to be trading. Hapa wanamalizwa na Ile boredom but not boredom Mana our society imetuambia kuwa tufanye kazi mpaka kwenye Bible so mtu akikaa bila ya ku trade anajihisi guilt.

Mkuu yametosha Mana huwezi kumfanya kuwa surgeon or Engineer kwa kuandika tu mtandaoni ama kusoma kitabu basi atakuwa mtalaamu even to watch YouTube video or to attend a weekend course.

Hii industry ni nzuri sema inaharibiwa na watu wanajiofanya wao ndio wao. Unakuta hata hajawahi tuma hela to his bank account.
Good trading folk
 
Baada kuwa yupo sawa ki mindset. Ukitaka hayo uliyouliza Mana Kuna mwingine anapendwa ajibiwe Kama alivyokwishapanga Ila sio jibu sahihi Bali jibu sahihi kulingana na yeye ama anayemjibu .
Pia kumbuka we don't see things/people/events as they are but how we're.
Kwenye chart ukitaka criteria za kukushawishi kuwa hii ni bearish utaupata pia ukitaka za bullish zipo. So ishu kubwa ni kuwa flexible katika hii game don't be fixed in one direction
 
Ukicheki mafuta yamepanda Sana na Kumbuka zile tatu commodity dollars aud,nzd and cad,
Cad iko correlated na mafuta positively.
News za Jana ziliipa nguvu Sana Coco so leo I think zitaishusha value just to balance world economy.
Jana coco imekuwa na nguvu Sana na Kama umecheki XAUUsd ilishuka Sana from 1909 where traded high of the day mpaka 1865.+++ Na Leo during Asian trading hours imeshuka mpaka 1855.++ Saivi naona Ina tred around 1870.+++.
Hizi news Dola itakuwa weak na gold ita gain strength. So usdcad itashuka na mafuta yaweza kushuka probably.
But please stay in a chart and see what's happening and act accordingly.

Disclaimer.

NB. Hii ni my own personal experience about trading na isije ikatumika Kama trading advice. If you act with this information please , it's up to your responsibility na Keisangora responsibility.
 
Hii nimekujibu Mana na tred usdcad,gbpusd,us30 na xauusd. Ndo pair zangu zingine ni nacheki tu Kama mtazamaji mwingine Ila hasahasa hizo za forex ndo nataka ziote kichwani mwangu. Gold na us30 huwa nakuwa nazo Mana during any world economy crisis you can make a fortune like March 2020 kacheki korona ilichoifanya us30. Yaani ilishuka from 29500 mpaka 18600 ivi.kuanzia figa ya tatu Sina uhakika Ila mbili za mwanzo Nina uhakika.
Mana Kuna wengine wao ni kumcheki makosa kukosoa ama kumu approve mtu wrong pia mie sio guru jamani. Bado ni newbie najifunza pia napenda Sana kukosolewa na sipendi niwe sahihi, yaani you can call me kilaza it's okay as long what I care is just to make my living out of market an sio kukufanya kuwa mie ni guru nianze kuwatoa watu hela mifukoni mwao.
Nachopenda ni kuwapa wengine haka kamwanga kadogo Sana kama chembe ya mbegu ya ulezi Mana haradani sijawahi kuiona kuhusu Forex wasije wakapigwa na wajue kuwa Kuna kazi utafanya nothing easy, nothing free,
 
We do decisions according to how we feel but not how we think. So emotions intelligence inatakiwa Sana Tena Sana kuliko sijui hata fundamental or technical analysis
 
Ni kweli Ipo Ila naomba ubadilishe mindset ya trading. You've to change the mind that you brought into trading,the mind of control outcome,mind of self preservation,mind to be winner fixed,mind of Fortune teller,mind of superego that lead to ego,
In forex you can do anything alright like how you did previously the same set up,the same pair,the same timeframe but still wrong with your favour,
This is our mind that we need to be certain so that we feel champion in this field because we've been brought to control outcome/results by hardworking so that we win and raise our self, feel that we're smartest in the World than anybody.
This is probabalistic game like a coin flip but the odds are more tuned to our favour. You own your little casino. Do you it always win in a long run.

Ukiona mtu anaenda huko BBC, CNN CNBC, Bloomberg,Fox news n.k ni kuwa journalists wao wanaripoti habari Mana it's their business to report so they've to find so called guru atabiri. Atoe mtazamo wake. Forex is ok about mindset,no get rich quick scheme please.
So mkuu mie sio fortune teller.
Pia just stay before your chart will tell you where market has to lead to.
I really I appreciate that everything that you need to know about market is in front of you. Nenda kamsikilize Al Brooks na vitabu vyake.
In forex answer must be binary up or down. So if it's down sell and up just buy no more than that.

Mwishoni kabisa remember money in trading is made by sitting right by your two hands and do nothing.
You don't have to trade to be trading. Hapa wanamalizwa na Ile boredom but not boredom Mana our society imetuambia kuwa tufanye kazi mpaka kwenye Bible so mtu akikaa bila ya ku trade anajihisi guilt.

Mkuu yametosha Mana huwezi kumfanya kuwa surgeon or Engineer kwa kuandika tu mtandaoni ama kusoma kitabu basi atakuwa mtalaamu even to watch YouTube video or to attend a weekend course.

Hii industry ni nzuri sema inaharibiwa na watu wanajiofanya wao ndio wao. Unakuta hata hajawahi tuma hela to his bank account.
Good trading folk
Umeeleza vizuri sana mkuu. Ila sio kwamba kuuliza hivyo ndio kwamba natamaa , au kupitia majibu yako nitakurupuka tu niingie sokoni hapana. Sometimes kupata informations tofauti tofauti kwa watu tofauti tofauti ni bora zaidi kuliko kukumbatia kile unacho kiamini.
 
Si unazijua correlated pairs katika world of trading lakini.
Hii itakusaidia Sana ukishajua. Mfano anaye tredi mafuta na cad ni kitu kimoja kwa movement,pia aud na gold is + correlated nzd and milk price milk.
Pia Kuna Kama pairs sita ziko very strong duniani.
Wakati hizi zikiwa bearish tatu zingine zinakuwa bullish and vice versa just to balance equilibrium ya uchumi wa dunia
 
Back
Top Bottom