dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
SawaPole sana , tuwasiliane kwa 0713-039875 ,nione aina ya vipele kabla ya ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaPole sana , tuwasiliane kwa 0713-039875 ,nione aina ya vipele kabla ya ushauri
Dawa zipo nyingi.Ila kwa kuwa sisi tunatumia vitu vya asili zaidi (visivyo na kemikali) ,nakushauri utumie natural clayMabaka mabaka/makovu yatokanayo na chunus huolewa kwa dawa ipi ??
ndo ikoje iyo natural clay mm siijui...au naipataje iyo na wap mkuu??Dawa zipo nyingi.Ila kwa kuwa sisi tunatumia vitu vya asili zaidi (visivyo na kemikali) ,nakushauri utumie natural clay
nimeielezea na picha yake post namba #121. Piga 0713039875ndo ikoje iyo natural clay mm siijui...au naipataje iyo na wap mkuu??
Nina ndg yangu pia anasumbuliwa na hili tatizo tangu avunje ungo nafikiri itaweza kumsaidia. Bei yake ipoje na unapatikana wapi?Huu udongo ni natural 100% na unasaidia sana matatizo yote yanayohusiana na ngozi.
wengi wanautumia, wengi sana umewasaidia kwa vipele, chunusi, mapele ya shaving, fungus miguuni na sehemu zingine, rangi tofauti usoni
Tunasambaza ,unaletewa popote ulipo Piga 0713-039875 nijue upo jirani na wakala yupi .Hii hapa picha ya natural clay
Kibaha, pigs hiyo namba kwa ushauri BURENina ndg yangu pia anasumbuliwa na hili tatizo tangu avunje ungo nafikiri itaweza kumsaidia. Bei yake ipoje na unapatikana wapi?
Natanguliza shukrani zangu...Nasambuliwa na tatizo la kuwashwa mwili pale utakapo pata joto na kutokea vipele vidogo vidogo ambavyo havidumu sana (hupotea), unakuwa kama unachoma choma hivi, mfano nikifanya kazi ngumu, nikikaa juani, nilishapima magonjwa ya zinaa nikakuta hamna, mahospitalin walishanipa daw za allegy, mchafuko wa damu, minyoo, lakini Bado haijanisaidia, msaada jamani mtu anaye jua dawa,Aksante mkuu,,naona angalau,,napaka vaseline na parachute yale mafuta ya nazi,,naona vinapotea taratibu,,nahisi sirudii tena waxing
Nashauri upake mafuta yatayokinga ngozi yako na miale ya jua. Nicheki mbezi mwisho ofisini kwa ushauri BURENatanguliza shukrani zangu...Nasambuliwa na tatizo la kuwashwa mwili pale utakapo pata joto na kutokea vipele vidogo vidogo ambavyo havidumu sana (hupotea), unakuwa kama unachoma choma hivi, mfano nikifanya kazi ngumu, nikikaa juani, nilishapima magonjwa ya zinaa nikakuta hamna, mahospitalin walishanipa daw za allegy, mchafuko wa damu, minyoo, lakini Bado haijanisaidia, msaada jamani mtu anaye jua dawa,
Pole mkuu. Pima mafuta ya ngozi kwa njia nilizoelekeza mwanzo wa mada hii. Kama mafuta mengi, tumia mafuta yenye lemon. Au piga simu yangu, unitumie picha nioneHabari! Mimi miaka mitatu nyuma sikuwa na vipele usoni ila sasa nasumbuliwa na vipele vingine vinatoka na usaa, vingine kama jipu vinakuwa vigumu ila havitoi usaha kuna mtu aliniambia uso una mafuta mengi naomba ushauri wako
Bro hiyo ni aleji na maji kunywa vidonge vya aleji tu me ilinitesa sana miaka fulani baad ya kubadili mkoaNina shida kubwa ya kuwashwa mwili hasa mgongoni baada ya kuoga, ni tatizo la miaka mingi zaidi ya 20, hata jirudie kujipaka sabuni mara ngapi haisaidii.
Mapunye ni ishara ya ukavu wa ngozi. Tumia mafuta mgando ya karafuu.Mapunye kwa watoto dawa gani mkuu