Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

Mabaka mabaka/makovu yatokanayo na chunus huolewa kwa dawa ipi ??
Dawa zipo nyingi.Ila kwa kuwa sisi tunatumia vitu vya asili zaidi (visivyo na kemikali) ,nakushauri utumie natural clay
 
Dawa zipo nyingi.Ila kwa kuwa sisi tunatumia vitu vya asili zaidi (visivyo na kemikali) ,nakushauri utumie natural clay
ndo ikoje iyo natural clay mm siijui...au naipataje iyo na wap mkuu??
 
Huu udongo ni natural 100% na unasaidia sana matatizo yote yanayohusiana na ngozi.
wengi wanautumia, wengi sana umewasaidia kwa vipele, chunusi, mapele ya shaving, fungus miguuni na sehemu zingine, rangi tofauti usoni
Tunasambaza ,unaletewa popote ulipo Piga 0713-039875 nijue upo jirani na wakala yupi .Hii hapa picha ya natural clay
Nina ndg yangu pia anasumbuliwa na hili tatizo tangu avunje ungo nafikiri itaweza kumsaidia. Bei yake ipoje na unapatikana wapi?
 
Nipo dar na
Nina ndg yangu pia anasumbuliwa na hili tatizo tangu avunje ungo nafikiri itaweza kumsaidia. Bei yake ipoje na unapatikana wapi?
Kibaha, pigs hiyo namba kwa ushauri BURE
 
Mimi kuna majipu yaananitokea mwilini yanawasha Kwa mda nn shidaTE="ZAGANZA, post: 26183272, member: 235081"]
Mapunye au Tinea Capitis ni nini? Aina hii ya maradhi ya fangasi hushambulia eneo la kichwa pekee ukiacha eneo la uso. Kwa maneno mengine, aina hii ya fangasi haishambulii uso bali hushambulia eneo lililobaki la kichwa.
Huwashambulia kina nani?

Haya hushambulia watu wote wa jinsia na umri wote, ingawa huonekana zaidi kwa watoto wadogo. Fangasi hawa hushambulia watoto wadogo ambao hawajafikia umri wa balehe na mara nyingi huacha kushambulia pale mtoto anapofikia umri huo wa balehe. Mwonekano wake.

Mapunye huweza kushambulia eneo lote la kichwa au sehemu tu ya kichwa. Eneo la ngozi ambalo lina mashambulizi ya mapunye huwa na umbo linalofanana na sarafu.

Eneo hili la ngozi lililoathirika kama lina nywele, basi hunyonyoka na hivyo mwonekano wa mfano wa sarafu huonekana vizuri tu hata bila kutumia jicho la kitaalam.
2.jpg

Dalili zake
Ukiachilia mbali mwonekano wa mapunye kama nilivyoeleza hapo juu kuna dalili nyingine za maradhi haya. Hizo ni:
-Eneo la ngozi lililoshambuliwa kuwasha (ingawa si mara zote)
-Kubadilika kwa rangi ya ngozi ya eneo lenye maambukizi
-Ukitazama kwa makini eneo ambalo lina mashambulizi ya maradhi haya utagundua kuna vidoti vyeusi ambavyo vinaonyesha eneo ambalo nywele imeng`oka kutokana na maradhi.
-Ngozi kubanduka kwenye eneo lenye maambukizi
-Ngozi kukauka kwenye eneo lenye maambukizi
-Mara nyingine usaha pia huweza kuonekana kwenye eneo la ngozi lililoshambuliwa na fangasi hawa (hii kwa kitaalam huitwa kerions)
-Kama maradhi haya yakikaa bila kutibiwa kwa muda mrefu husababisha dalili nyingine kuonekana kama kutoka kwa maji maji kwenye eneo la ngozi lililoathirika pamoja na kutoka kwa harufu mbaya kwenye eneo la ngozi lililoathiriwa na vimelea hivi vya fangasi.

Jaribu hizi dawa moja kati ya hizo Dawa tatu hapo chini:

(1) Ndimu au limau: Kabla kwenda kukoga Msuguwe limau ndani ya kichwa na baadae yale maganda ya limau yatie katika maji ya kukoga yaani yawe maji ya Uvuguvugu halafu ukoshe kwa maji yale kwanza na baadae utumie maji yaliyo safi.

(2) (Fenugreek) kwa lugha ya kiswahili inaitwa Uwatu. Uwatu unachukua vijiko 2 vya chai vya Uwatu (fenugreek) unazirowesha katika maji usiku mzima ili zipate kulainika, halafu unazipoda ponda na baadae unapakaa ndani ya kichwa na uwache kwa muda wa saa moja na baadae kuzikosha ikiwa utafanya hivi siku zote mbaa wataondoka Inshallah bila tabu yoyote.

(3) Mshubiri Mwitu au Aloe Vera kwa jina lingine. Ponda paka kichwani kila siku mara mbili asubuhi na usiku.
(4) Pia kuna udongo tuliouvumbua hivi karibuni wa Natural clay.
Tumia Dawa mojawapo sio zote tafadhali kisha utpe feedback.[/QUOTE]
Mimi
 
Hivi vinyama vinavyota kwenye ngozi. Kama kile cha mh. Lizione kikwete huwa vinasababishwa na nini? Nini nifanye ili visiendelee kuota?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aksante mkuu,,naona angalau,,napaka vaseline na parachute yale mafuta ya nazi,,naona vinapotea taratibu,,nahisi sirudii tena waxing
Natanguliza shukrani zangu...Nasambuliwa na tatizo la kuwashwa mwili pale utakapo pata joto na kutokea vipele vidogo vidogo ambavyo havidumu sana (hupotea), unakuwa kama unachoma choma hivi, mfano nikifanya kazi ngumu, nikikaa juani, nilishapima magonjwa ya zinaa nikakuta hamna, mahospitalin walishanipa daw za allegy, mchafuko wa damu, minyoo, lakini Bado haijanisaidia, msaada jamani mtu anaye jua dawa,
 
Natanguliza shukrani zangu...Nasambuliwa na tatizo la kuwashwa mwili pale utakapo pata joto na kutokea vipele vidogo vidogo ambavyo havidumu sana (hupotea), unakuwa kama unachoma choma hivi, mfano nikifanya kazi ngumu, nikikaa juani, nilishapima magonjwa ya zinaa nikakuta hamna, mahospitalin walishanipa daw za allegy, mchafuko wa damu, minyoo, lakini Bado haijanisaidia, msaada jamani mtu anaye jua dawa,
Nashauri upake mafuta yatayokinga ngozi yako na miale ya jua. Nicheki mbezi mwisho ofisini kwa ushauri BURE
 
Habari! Mimi miaka mitatu nyuma sikuwa na vipele usoni ila sasa nasumbuliwa na vipele vingine vinatoka na usaa, vingine kama jipu vinakuwa vigumu ila havitoi usaha kuna mtu aliniambia uso una mafuta mengi naomba ushauri wako
 
Habari! Mimi miaka mitatu nyuma sikuwa na vipele usoni ila sasa nasumbuliwa na vipele vingine vinatoka na usaa, vingine kama jipu vinakuwa vigumu ila havitoi usaha kuna mtu aliniambia uso una mafuta mengi naomba ushauri wako
Pole mkuu. Pima mafuta ya ngozi kwa njia nilizoelekeza mwanzo wa mada hii. Kama mafuta mengi, tumia mafuta yenye lemon. Au piga simu yangu, unitumie picha nione
 
Mkuu nina tatizo la muda mrefu sana kwenye lips zangu za mdogo zinabanduka sana na ukioga vinatokea vidude vyeupe ambavyo ukivitoa mdomo unabaki kuwa mwekundu naomba msaada wa tiba
 
Nina shida kubwa ya kuwashwa mwili hasa mgongoni baada ya kuoga, ni tatizo la miaka mingi zaidi ya 20, hata jirudie kujipaka sabuni mara ngapi haisaidii.
Bro hiyo ni aleji na maji kunywa vidonge vya aleji tu me ilinitesa sana miaka fulani baad ya kubadili mkoa
 
HABARI ZA MUDA HUU Leo tuangaliee jinsi ya kuhudumia nywele kiasili kwa kutumia vitu Kama MAJANI YA MPERA,MSHUBIRI,NA JANI LA MUARUBAINI
chukua majani ya Mpera yachemshe kwenye maji ya lita 3 chemsha kwa dk30 mpka 40 kisha ipua ipoe
Tafuta chupa nyunyizi kisha tia mle ndani kiasi au ujazi wa 200ml
.👇🏻
Osha nywel kwa shampoo na kondishna
zikaushe kwa Taulo
kama ni natural suka vibutu ili zikauke bila kutumia blowdry
baada ya hapo tumia chupanyunyizi anza kunyonyiza kwenye mashina ya nywele na hata mkiani
Unaweza fanya zoezi hili mara 2 kwa wiki na utapata matokeo mazuri
👇🏻NB..MPERA UNA UTAJIRI MWINGI WA VITUBISHO KWENYE NYWELE PIA HUONGEZA HALI YA UNYEVU NYWELENI
👆🏽unaweza kuchanganya mpera na hata mshubiri na haina madhara ila ni faida kwani husaidia kuimarisha chembe chembe Asilia ziitwazo MELANINI
..
Kwa ushauri wa afya ya ngozi na nywele piga : 0713 039 875
 
Back
Top Bottom