ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nakushuru Sana mkuu Kama nitapata maswali mengine nitakuja nayosina uhakika kama kuna mtu anaweza kukutafutia kazi nje ya nchi,cha kufanya kusanya taarifa za kutosha then jilipuwe mwenyewe ili yakikukuta usije laumu mtu,nakushauri tafuta hela ya kuanzia maisha jilipue mwenyewe kivyako vyako baada ya collection of information hayo ndiyo maisha ya baharia
tanzania mna bahati mbaya sana ya kumpoteza magufuli,japokuwa mimi sio mwanasiasa lakini for sure magufuli alikwa naelekea kubadilisha system ya tanzania kabisa,sasa kaondoka sijui itakuwaje,mimi naamini kiongozi wa nchi ana impact kubwa kwenye future ya nchi,kinachotakiwa hapo lazima itengenezwe system mpya ili kila kiongozi apite juu yake,lakini ni ngumu sana na historia ya tanzania inafanana na zambia baada ya yule Rais wao Satta kufariki Zambia kwisha kabisa haitamaniki,Soweto2006
Umekaa S. Africa miaka 25 unafikiria system ya huko na hapa Tanzania itatuchukua muda gani sisi kama watanzania kuamka hasa kwenye sector ya kilimo kuwa tukiamua kuwekeza tuwekeze kweli ?
Afrika inaongelewa kuwa tunaongoza kwa uvivu na watu wa kubweteka sana unafikiri nini kifanyike na unaona kitu gani hasa kwa Tanzania wapi turekebishe wapi tuanzie? Neno moja pia kuhusu uzalendo kabla yakufikiria kuondoka Tanzania na pia Taifa letu linazungumzwaje na S.Afrika yani mtanzania nini kinamtambulisha nje Tanzania?
yeah nilikuwa na Minja last weekOk, asante mkuu. Ukienda wape hi. Vipi Fortune unampata?
muuza viatu?Ok, asante mkuu. Ukienda wape hi. Vipi Fortune unampata?
Kuna jamaa anaitwa Fortu. Mwenyeji wa Mbeya shughuli zake Joburg na Gaborone unampata?yeah nilikuwa na Minja last week
No, Dokta wa mitishamba.muuza viatu?
karibu sana mkuu,mimi naahidi kukupa full information bila kupindisha kwa kuwa nimeishi miaka mingi na najua vichochoro vyote,jambo la muhimu kuwa na roho ngumu hakuna kujali wala kuogopa chochote,uoga wako umaskini wakoNakushuru Sana mkuu Kama nitapata maswali mengine nitakuja nayo
hahaaaa mkuu hao wanajifichaga kidogoNo, Dokta wa mitishamba.
Sawa mtu mzima, ila angalia heading ya uzi wako, ulisema swali lolote,......
unaweza kuta hiyo taarifa ina msaada fulani kwangu, anyway tunajuana watanzania ngoja watoto tuache kukusumbua businessman.
Una maanisha hakuna mtu aliyewekeza kwenye uchimbaji na hakuna wachimbaji wadogowadogo au serikali ndiyo inasimamia mambo ya uchimbaji?machimbo yote au madini yote Botswana na south Africa ni mali ya serikali,kuna special police wa kushughulikia mambo ya madini huku,kwa ujumla haiwezekani
Usikwepe swali mkuu,,mkuu mimi ni mtu mzima kidogo hayo mambo weka pembeni nataka nisaidie wenye kuitaji taarifa,namba 26 sina uhusiano nayo kabisa mimi ni legitimate business man
Ukienda Gaborone msalimie Markus na Minja.hahaaaa mkuu hao wanajifichaga kidogo
Unalazimisha kitu ambacho bussnessman, hakijua mkuu.Usikwepe swali mkuu,,
Kama ulikaa south kwa miaka 26 maana yake unajuwa vingi..
Na hata sehemu uliyotaja unaishi yote ni kukwepa maswali..
Sababu unajuwa kabisa watanzania wengi hawakai Soweto..
Toa majibu ya namba 26 vinginevyo ni post uchwara.
unawafahamu?kesho tunaelekea Gaborone nitakuwa na MinjaUkienda Gaborone msalimie Markus na Minja.
In
Una maanisha hakuna mtu aliyewekeza kwenye uchimbaji na hakuna wachimbaji wadogowadogo au serikali ndiyo inasimamia mambo ya uchimbaji?
Nawafamu vizuri sana. Miaka ya nyuma tulikuwa tunakula bia sana hapo Zebra club. Kulikuwa na bendi ya wabongo inapiga music, sijui kama bado ipo.unawafahamu?kesho tunaelekea Gaborone nitakuwa na Minja
Kwanini Elion Musk hatambuliki kama mwafrika alihali inaonsha South Africa ndo asili yakeMimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).
Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
Ambacho easy ni kipi kwa mtu anaejishughulisha na madini hasa dhahabu?not easy mkuu,mambo ya madini yanasimamiwa na serikali,hiyo ndio maana ya uchumi wa kati kwa African countries
mkuu kama nilivyosema mimi nadeal zaidi na business zangu ambazo hazina uhusiano wowote na namba 26,Usikwepe swali mkuu,,
Kama ulikaa south kwa miaka 26 maana yake unajuwa vingi..
Na hata sehemu uliyotaja unaishi yote ni kukwepa maswali..
Sababu unajuwa kabisa watanzania wengi hawakai Soweto..
Toa majibu ya namba 26 vinginevyo ni post uchwara.
HATA HAPA TANZANIA KUMILIKI GARI INGESTAILI IWE KWA WATU WOTE,SHIDA YA HAPA NI CHOYO ZA MAMLAKA KUTOTAKA WATU WAMILIKI VYOMBO HIVI MAANA GARI UNAWEZA UKAINUNUA HATA SHILINGI 1.5 MPAKA DAR SHIDA NA CHOYO NI PALE SEREKALI YETU INAKUJA KUKUTAKA ULIPIE MARA 4 YA BEI YA KUNUNULIA THATS PROBLEM,GARI NI CHOMBO CHA KUMSAIDIA MTU KURAHISISHA MAENDELEO NA SI LUXURY equip.swali zuri sana!!nataka ujuwe kwamba maisha ya Botswana ni uchumi wa kati,tulisikia Tanzania imekuwa uchumi wa kati nafikiri bado sana kulinganisha na nchi kama Botswana,mama nitilie wa hapa anamiliki gari nzuri hata muuza genge naye ana gari yake amepaki pembeni,hiyo ikilinganisha na tanzania inatokana kwanza population halafu kuna mambo ya international financial stability pia kuna mambo kama ya international trade,,,yapo mengi lakini mambo ya small business kumiliki magari kwa hapa boswana ni jambo la kawaida sana