Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

HATA HAPA TANZANIA KUMILIKI GARI INGESTAILI IWE KWA WATU WOTE,SHIDA YA HAPA NI CHOYO ZA MAMLAKA KUTOTAKA WATU WAMILIKI VYOMBO HIVI MAANA GARI UNAWEZA UKAINUNUA HATA SHILINGI 1.5 MPAKA DAR SHIDA NA CHOYO NI PALE SEREKALI YETU INAKUJA KUKUTAKA ULIPIE MARA 4 YA BEI YA KUNUNULIA THATS PROBLEM,GARI NI CHOMBO CHA KUMSAIDIA MTU KURAHISISHA MAENDELEO NA SI LUXURY equip.
 
Kwanini Elion Musk hatambuliki kama mwafrika alihali inaonsha South Africa ndo asili yake
Elion Musk anaheshimika sana na ni mzaliwa wa hapo Pretoria,tatizo unaweza kuona kuwa haeshimiki kwa sababu south Africa ina mabilionea wengi sana na nchi ina uchumi mkubwa,jambo moja nataka ujuwe ni kwamba kwa south Africa huwa hawana ile hali ya kuheshimu matajiri kama huko Tanzania,unaenda bar unakutana na billionaire au waziri na unamnunulia bia,nafikiri kwa tanzania hilo jambo sio rahisi
 
Ambacho easy ni kipi kwa mtu anaejishughulisha na madini hasa dhahabu?
mkuu nafikiri kama unajishughulisha na madini chimba huko Tanzania njoo uza huku,lakini kuchimba huku ni ngumu
 
Sawa mkuu,,
 
Soweto2006

Umeongea jambo jema sana si mwanasiasa ila maendeleo wa ndani na nje ya Afrika. Ni mapema sana lkn watu wanakuja watu wanakwenda.
 
Kwanini hayupo ktk mabilionea kutoka Afrika?
 
Mkuu habr? Swali langu Ni hili kwa mtu mwenye fani ya Ufundi kutoka VETA wa Kutengeneza Mitambo mfano Excavator, grader, wheeldozer na na anayajua kuoparate vzr.. anaweza akawa na nafasi nzuri ya Kutoboa Huko SA au Botswana???
 
Mkuu habr? Swali langu Ni hili kwa mtu mwenye fani ya Ufundi kutoka VETA wa Kutengeneza Mitambo mfano Excavator, grader, wheeldozer na na anayajua kuoparate vzr.. anaweza akawa na nafasi nzuri ya Kutoboa Huko SA au Botswana???

kama kweli wewe heavy duty mechanic mkuu unatoboa,makampuni mengi yanaajiri mafundi kutoka zimambwe
 
Kwanini hayupo ktk mabilionea kutoka Afrika?
Musk at the Royal Society admissions day in London, July 2018
BornElon Reeve Musk
June 28, 1971 (age 49)
Pretoria, South Africa
Citizenship
  • South Africa (1971–present)
  • Canada (1971–present)
  • United States (2002–present)
Alma materUniversity of Pennsylvania (BS and BA; 1997)
Occupation
  • Entrepreneur
  • industrial designer
  • engineer
Net worth US$183.9 billion (As of 8 May 2021)[1]
Title
Spouse(s)Justine Wilson


(m. 2000; div. 2008)
Talulah Riley


(m. 2010; div. 2012)


(m. 2013; div. 2016)
Partner(s)Grimes (2018–present)
Children7[note 1]
Parents
RelativesTosca Musk (sister)
Kimbal Musk (brother)
Lyndon Rive (cousin)
 
Unalazimisha kitu ambacho bussnessman, hakijua mkuu.
Wewe bwege usinitafutie ban.

Mtu anaposema uliza chochote kuhusu south anamaanisha nn?

Hilo la namba 26 ni swali la msingi sana.
Kwa faida ya wengi.

Yeye mtoa post alishanijibu kama hawezi kujuwa na mm nilishamalizana nae. .
Mabaharia tulishamuelewa mleta post,,ndy maana mikausho mikali.
 
amekuwa empowered na NASA,na unajua NASA ni mali ya serikali,,unategemea atatajwa anatoka Africa?
Basi wamemwiba tu ... Serikali ya SA imefanya nini juu ya suala hili kwa huyu akili kubwa wao
 
Mkuu Nina mpango wa kuja kujifunza technolojia za kilimo hasa umwagiliaji wa large platantation. Vp kuna training centres zinazojihusisha na hayo mafunzo hasa upande wa avocado maana naona wapo juu sana kwa uzalishaji Africa
 
Mimi bwege ,unaonekana una matatizo kichwani?.sijui msongo wa mawazo .Sasa Mimi na wewe Nani anaonekana bwege kwa uhalo unaotapika ? Wavulana wa siku hizi mna tope nyingi kichwani .Sasa iyo ban unayotafuta unafikiri ntakutafutia Mimi?
Na ambao hawafahamu iyo26 wamepungukiwa Nini labda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…