Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Freemasonry naonaga ni uongo tu,mtu alitunga,uongo ukasambaa.Na miaka yote hii,sijawahi kusadiki kama hao watu wapo.
Kila nafsi inawekeza katika Imani yake.
 
Wakishaifahamu?
 
Uongo.
 
Uongo uko hapa..yani hapa ndio nimethibitisha wee jamaa kolo sana...ni two ways either ukiwa potensial wakufuate wao..ama member wa freemason ndio akupeleke akakutambulishe....unavowaagiza watu kuvaa maguo meusi lengo lako uwakomoe na joto la dar
😅😅
 
Acha kuongopea umma bwana u can't join masonry withought knowing a masonry brother. Usichafue jina la hawa wisdom brothers binafsi nawaelewa sana, angalizo hawaabudu mashetani na hawagawi hela
Emu funguka hapo kwenye umesema hawaabudu Shetani na hawagawi hela sasa wanaabudu Nini na wanagawa Nini ?
 
Sio dini hiyo hakuna kuabudu
Ila kuna Nini ? Unaficha Nini unaogopa kuliwa nyama na kufyonzwa damu, unajua walitumia formula gani ? Shule za enzi hizo ilikua ukisikia nyonya damu hao wanakuja shule nzima wanafunzi wanatumia mbio, Ila jamaa ukiwaongelea tu haijarishi upo nao au haupo nao lazima kikukute kisanga acha niishie hapa hii secret society sio ya kuizungumzia ovyo ovyo km ndani haujashiba Mwanga wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…