Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Freemasonry naonaga ni uongo tu,mtu alitunga,uongo ukasambaa.Na miaka yote hii,sijawahi kusadiki kama hao watu wapo.
Kila nafsi inawekeza katika Imani yake.
 
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.

View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.

Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
Wakishaifahamu?
 
Kwenye freemason no magic at all, masomo zaidi yanahimiza discipline katika fedha, ndicho nilicho notsi, wakati huo, money discipline! Pia huthamini fedha kupindukia na mikakati mingi ya kifedha, mbinu, biashara, intime busines, modern technology na ya aina hiyo, hakuna KAFARA, wala kumtoa ndugu au mtoto!
Uongo.
 
Uongo uko hapa..yani hapa ndio nimethibitisha wee jamaa kolo sana...ni two ways either ukiwa potensial wakufuate wao..ama member wa freemason ndio akupeleke akakutambulishe....unavowaagiza watu kuvaa maguo meusi lengo lako uwakomoe na joto la dar
😅😅
 
Acha kuongopea umma bwana u can't join masonry withought knowing a masonry brother. Usichafue jina la hawa wisdom brothers binafsi nawaelewa sana, angalizo hawaabudu mashetani na hawagawi hela
Emu funguka hapo kwenye umesema hawaabudu Shetani na hawagawi hela sasa wanaabudu Nini na wanagawa Nini ?
 
Sio dini hiyo hakuna kuabudu
Ila kuna Nini ? Unaficha Nini unaogopa kuliwa nyama na kufyonzwa damu, unajua walitumia formula gani ? Shule za enzi hizo ilikua ukisikia nyonya damu hao wanakuja shule nzima wanafunzi wanatumia mbio, Ila jamaa ukiwaongelea tu haijarishi upo nao au haupo nao lazima kikukute kisanga acha niishie hapa hii secret society sio ya kuizungumzia ovyo ovyo km ndani haujashiba Mwanga wa kutosha
 
Back
Top Bottom