Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Kumaliza mjadala mtoa mada ameelekeza kumbi zote za Freemason na amesema anayehitaji kujiunga anaweza kufika na akapewa taratibu za huko

Kwa mwenye maswali zaidi anaweza kufika au kama yupo mbali anitumie mimi nauli na maswali kisha majibu ntamletea
 
Grand Master ni level ambayo wengi wanaijua sio wanachama,

ila ukiwa mwanachama Basi utafahamu ngazi za juu zaidi Kuna Kama ngazi 6 huko juu. Sina mamlaka ya kueleza hizo ngazi na kazi zake. Nikupe huo mwangaza.
Sawa

Nimependa mtindo unaotumia hapa katika kujifunza.

Iko hivi, mwanafunzi anapokuwa tayari bhas Mwalimu atamfikia wakati huo huo.
 
Kwanini kila kitu mnafanya kwa siri? Mnachoficha nini? Kama nia yenu njema, kwanini iwe siri, kuanzia washiriki mpaka mnavyokutana na kuendesha mambo yenu?
Kila kitu ni siri na kuijua siri ni kuishi huru. Ushawahi jiuliza kwanini waanglikana huwa wanachoma ubani kwenye chetezo, unajua ubani watumikaje, je wajua kwanini wanautumia wakati wa ibada?

Hizi ni siri ambazo ziko katika kila imani.

Mambo ni mengi watu hawajui bali watu hujua mambo yote yale ya uwongo kwakuaminisha kuwa yakweli.

We're only limited by our imagination
 
Mtu akishavuta bange anataja lolote

Uongo uko hapa..yani hapa ndio nimethibitisha wee jamaa kolo sana...ni two ways either ukiwa potensial wakufuate wao..ama member wa freemason ndio akupeleke akakutambulishe....unavowaagiza watu kuvaa maguo meusi lengo lako uwakomoe na joto la dar
Hakuna unachojua kuhusu freemason, endelea kusikiliza stori za mtaani. Kuwa mpole nikupe mwanga.
 
Kwa miaka nliotumia kuwafuatilia Hawa jamaa,he knows.
Akupe picha akiwa ndani ya temple yoyote ile.
Ogopa sana kikundi chochote cha dini zisizokubalika na kuwa na imani zilizo zidi na kuwa hatari.
Namna Wanavyo operate, Recruit kutafuta watu na kuwacontrol huwezi kuona mtu Ana andika vitu kama hivi kwa plain sight.
 
Kila kitu ni siri na kuijua siri ni kuishi huru. Ushawahi jiuliza kwanini waanglikana huwa wanachoma ubani kwenye chetezo, unajua ubani watumikaje, je wajua kwanini wanautumia wakati wa ibada?

Hizi ni siri ambazo ziko katika kila imani.

Mambo ni mengi watu hawajui bali watu hujua mambo yote yale ya uwongo kwakuaminisha kuwa yakweli.

We're only limited by our imagination
Hili jibu lako ni la kisiasa. Kuwa muanglikana sio kitu cha kujificha.

Halafu, ubani unachomwa hadharani wakati wa ibada. In fact Anglican ni mtoto mdogo wa Roman Catholic. Wakatoliki nao wanachoma ubani kwenye ibada.
Lakini pia, moja ya zawadi alizopelekewa mfalme alipozaliwa, Yesu Kristu, na wale mamajusi, ilikuwa ubani. Sio kila mtu anastahili hii zawadi. Ndio maana sisi wakristu, ni makasisi pekee wanaoweza kufukiza ubani.
 
Sawa

Nimependa mtindo unaotumia hapa katika kujifunza.

Iko hivi, mwanafunzi anapokuwa tayari bhas Mwalimu atamfikia wakati huo huo.
Unapo omba nafasi kuwa freemason, watakwambia siku ya kuja kukufanyia interview, kikundi Cha watu 5, au 8 mpaka 10, watakaa mezani na wewe kukuhoji maswali, halafu utawapa muda wajadili kuhusu ombi lako, kisa utapewa majibu au utapewa appointment kwa ajili ya majibu yako.

Ukikubaliwa Basi utapewa mtu wa kukuongoza na kukupa maelezo kila kitu kuhusu freemason, wakati huo utakuwa mnakutana kwenye nyumba zao binafsi, Kama ulishawahi kuona filamu ya kanumba the devil kingdom.
 
.
Kwa hivyo mkuu unajua fika kabisa kwamba unamwabudu shetani na ukifa unakwenda motoni moja kwa moja?!
.
Have you ever thought about this?
Ndio unaenda motoni. Hakuna mjadala hapo.

Umeuza nafsi yako kwa shetani. Shetani anakumiliki na mnapenda nae motoni.
 
Screenshot_20230611-130118_(1).png
 
Akupe picha akiwa ndani ya temple yoyote ile.
Ogopa sana kikundi chochote cha dini zisizokubalika na kuwa na imani zilizo zidi na kuwa hatari.
Namna Wanavyo operate, Recruit kutafuta watu na kuwacontrol huwezi kuona mtu Ana andika vitu kama hivi kwa plain sight.
Sahihi,ila usahihi wake hakumfanyi kuwa miongoni mwao.kuna sehemu anapuyanga pia.hivyo anaweza kuwa mdadidisi tu kama wadadisi wengine,but Kwa kiasi kikubwa ana knowledge kuhusiana nao.
 
Samahani mkuu..

Hivi kuzimu kukoje? kupo kama duniani au kunaonekanaje na viumbe vwa huko ni binadamu wa kawaida kama huku?

Nataka kujua general life lla huko kuzimu.
 
Ngoja nikwambie ukweli.
Sio kila mtu anatakiwa kwenye chama, kwa sababu masharti yake ni magumu Sana.

Kabla hujatawazwa kuwa mwanachama wao, Kuna kipengele cha Sheria zao zipo 5.

Halafu kuna kiapo Mara 3 kwamba MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO.

unacho takiwa kufanya ni kutekeleza kila mpango wanaokupa au jukumu kwa lugha nyepesi, hakuna kubadili mawazo hakuna kurudi nyuma vinginevyo utauawa na hautoboi.
Utauawa kwa kutumia silaha za kiroho au physical weapons?
 
Back
Top Bottom