Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
- Thread starter
- #261
Kwa Sasa inachukua miezi 3, mpaka uwe mwanachama hai, zamani miaka ya 1948 mpaka 2006. Sheria ilibadilishwa miaka hiyo usajili huchukua miaka 2 mpaka 3.Marehemu Mzee Chande,
Swali:
Kujiunga na cult yenyu inachukua mda gani kukamilisha vigezo na hua mnapokea watu wa aina gan makapuku au matajiri tupu ?
Na pia mfano nikatoa Siri za baraza la Freemasonry je NI kweli adhabu yangu inakua ni kifo bila huruma yaan nachinjwa km mbuzi au kondoo na damu yangu (msaliti) inakua Mali yenu?
Kingine nitajuaje kua Mimi nafaa kuingia Freemasonry mnanitafuta wenyewe na kuniunga au inabidi nijilete mwenyewe kujiunga ?
Kingine nasikia mnapokea watu wenye uelewa na upeo mkubwa wa Maisha na kiganjani wawe na mstari uliounga vizuri bila kuachana herufi M (Mason) je Kuna uwekweli wowote kuhusu hilo ?
Kingine nasikia kwamba huko sharti namba moja la kujiunga ni kumtukana MUNGU na kumtukuza Shetani je ni kweli kuhusu hilo au ni uzushi ?
Emu tuanze na hayo maswali
Unapoingia tu wanakupa elimu yao, na Sheria na kanuni zao, kiapo ni kwamba hakuna kurudi nyuma, hakuna kuwa msaliti hivyo unaombwa utunze Siri ukitoa ni halali kutolewa kafara.
Freemason unaweza kuingia ili mradi uwe na zaidi ya miaka 21 kwa hapa Tanzania, nenda kwenye lodge zao ukafuate utaratibu, hakuna anayekufuata ukaabudu shetani unaenda mwenyewe kwa hiari yako.
Hapana shetani anahitaji kwenda kuzimu na idadi kubwa ya watu hivyo, hakuna ubaguzi uwe tajiri uwe maskini uwe mwalimu uwe mwanafunzi wa chuo, unakaribishwa kujiunga ili mradi huna historia chafu ya jinai.
hapana hautukani Mungu Mwenyezi, ila unapaswa kuamini kuwa yupo ila baadaye ukishakubaliana nao kuuza nafsi yako basi huna budi kuwa Mali yao, ndiyo wachungaji wanasema kwa jina la yesu pepo toka lakini ni mawakala wa shetani.