Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Marehemu Mzee Chande,

Swali:
Kujiunga na cult yenyu inachukua mda gani kukamilisha vigezo na hua mnapokea watu wa aina gan makapuku au matajiri tupu ?

Na pia mfano nikatoa Siri za baraza la Freemasonry je NI kweli adhabu yangu inakua ni kifo bila huruma yaan nachinjwa km mbuzi au kondoo na damu yangu (msaliti) inakua Mali yenu?

Kingine nitajuaje kua Mimi nafaa kuingia Freemasonry mnanitafuta wenyewe na kuniunga au inabidi nijilete mwenyewe kujiunga ?

Kingine nasikia mnapokea watu wenye uelewa na upeo mkubwa wa Maisha na kiganjani wawe na mstari uliounga vizuri bila kuachana herufi M (Mason) je Kuna uwekweli wowote kuhusu hilo ?

Kingine nasikia kwamba huko sharti namba moja la kujiunga ni kumtukana MUNGU na kumtukuza Shetani je ni kweli kuhusu hilo au ni uzushi ?

Emu tuanze na hayo maswali
Kwa Sasa inachukua miezi 3, mpaka uwe mwanachama hai, zamani miaka ya 1948 mpaka 2006. Sheria ilibadilishwa miaka hiyo usajili huchukua miaka 2 mpaka 3.

Unapoingia tu wanakupa elimu yao, na Sheria na kanuni zao, kiapo ni kwamba hakuna kurudi nyuma, hakuna kuwa msaliti hivyo unaombwa utunze Siri ukitoa ni halali kutolewa kafara.

Freemason unaweza kuingia ili mradi uwe na zaidi ya miaka 21 kwa hapa Tanzania, nenda kwenye lodge zao ukafuate utaratibu, hakuna anayekufuata ukaabudu shetani unaenda mwenyewe kwa hiari yako.

Hapana shetani anahitaji kwenda kuzimu na idadi kubwa ya watu hivyo, hakuna ubaguzi uwe tajiri uwe maskini uwe mwalimu uwe mwanafunzi wa chuo, unakaribishwa kujiunga ili mradi huna historia chafu ya jinai.

hapana hautukani Mungu Mwenyezi, ila unapaswa kuamini kuwa yupo ila baadaye ukishakubaliana nao kuuza nafsi yako basi huna budi kuwa Mali yao, ndiyo wachungaji wanasema kwa jina la yesu pepo toka lakini ni mawakala wa shetani.
 
Mkuu

Ina maana wavaa suti nyeusi kama maafisa usalama nao ni free mason!!?

Hebu dadavua mkuu sijaelewa KABISA!!
Miaka ya zamani walikuwa na utamaduni wa kuvaa suti ya blue bahari, yaani dark blue au wengine huvaa blue kabisa,

Siku hizi wanavaa suti nyeusi au shati na suruali nyeusi. Kiatu na soksi nyeusi.
 
Tatizo la watanzania wanadharau kusoma kuongeza maarifa, ni wavivu kusoma, tokea kale mpaka Sasa ushahidi na kumbukizi nyingi zipo kwa maandishi. Lazima usome ujue kupanue wigo wa akili yako.
Kuna mambo mengi ya maana ya kusoma lakini siyo huu utumbo wako. Halafu unageneralize kuwa watanzania. Umeongea nao wote?
 
Baada ya Sir Andy Chande kufariki, Grand master alipewa mmatumbi nae akafariki na Sasa Kuna mmatumbi mwingine...

Hakuna relevant issue hapa...
Grand Master ni level ambayo wengi wanaijua sio wanachama,

ila ukiwa mwanachama Basi utafahamu ngazi za juu zaidi Kuna Kama ngazi 6 huko juu. Sina mamlaka ya kueleza hizo ngazi na kazi zake. Nikupe huo mwangaza.
 
Kwa Sasa inachukua miezi 3, mpaka uwe mwanachama hai, zamani miaka ya 1948 mpaka 2006. Sheria ilibadilishwa miaka hiyo usajili huchukua miaka 2 mpaka 3.

Unapoingia tu wanakupa elimu yao, na Sheria na kanuni zao, kiapo ni kwamba hakuna kurudi nyuma, hakuna kuwa msaliti hivyo unaombwa utunze Siri ukitoa ni halali kutolewa kafara.

Freemason unaweza kuingia ili mradi uwe na zaidi ya miaka 21 kwa hapa Tanzania, nenda kwenye lodge zao ukafuate utaratibu, hakuna anayekufuata ukaabudu shetani unaenda mwenyewe kwa hiari yako.

Hapana shetani anahitaji kwenda kuzimu na idadi kubwa ya watu hivyo, hakuna ubaguzi uwe tajiri uwe maskini uwe mwalimu uwe mwanafunzi wa chuo, unakaribishwa kujiunga ili mradi huna historia chafu ya jinai.

hapana hautukani Mungu Mwenyezi, ila unapaswa kuamini kuwa yupo ila baadaye ukishakubaliana nao kuuza nafsi yako basi huna budi kuwa Mali yao, ndiyo wachungaji wanasema kwa jina la yesu pepo toka lakini ni mawakala wa shetani.
Asante sana kwa majibu mazuri sasa nitaanza kuuliza kwa undani na ningeomba majibu pia kuhusu maswali yangu
Kwa Sasa inachukua miezi 3, mpaka uwe mwanachama hai, zamani miaka ya 1948 mpaka 2006. Sheria ilibadilishwa miaka hiyo usajili huchukua miaka 2 mpaka 3.
Kwa hio nikihitaji Kujiunga kwa kutumia instant akaunti yaan chap chap mfano Leo Leo nije nijiunge na nikubariwe kua mwanachama haiwezekani na km haiwezekani ni kwanini haiwezekani?
Unapoingia tu wanakupa elimu yao, na Sheria na kanuni zao, kiapo ni kwamba hakuna kurudi nyuma, hakuna kuwa msaliti hivyo unaombwa utunze Siri ukitoa ni halali kutolewa kafara.
Na pia km ni kutolewa kafara ni mnachagua nyinyi kafara gani mnataka kutoa au ni Mimi ndio nachagua kafara gani mnitoe ? Na pia mtajuaje km ni Mimi nimetoa Siri ni nini kinaweza kuwapa maelezo kwa kile nimekifanya ? Hapa naomba ufafanuzi wa kina ipate kueleweka nikitoa Siri nyinyi mnajuaje km nimetoa Siri ?
Freemason unaweza kuingia ili mradi uwe na zaidi ya miaka 21 kwa hapa Tanzania, nenda kwenye lodge zao ukafuate utaratibu, hakuna anayekufuata ukaabudu shetani unaenda mwenyewe kwa hiari yako.
NI kweli umetoa jibu zuri Ila wapo wanaofuatwa Kujiunga na Freemasons especially watu wenye wadhifa mkubwa na watu maarufu watu mashuhuri na wengineo ingawa kwa nisikiavyo hautakiwi kujionyesha km alivyofanya yule jamàa wenu wa Kenya aliejitangaza Radio ambae alikua msimamizi wa timu ya Gorimahia alijisifu redioni kua yeye ni Freemason na haoni ubaya wa kua Freemason, sasa je no sign zipi hua mnatoa kwa mtu mnaemtaka ajiunge na Freemasons hua mnamwambia directly au mnampa lugha za ishara km Ginimbi ?
Hapana shetani anahitaji kwenda kuzimu na idadi kubwa ya watu hivyo, hakuna ubaguzi uwe tajiri uwe maskini uwe mwalimu uwe mwanafunzi wa chuo, unakaribishwa kujiunga ili mradi huna historia chafu ya jinai.
Umemaanisha nini unaposema historia chafu ya jinai kwani wafungwa, waharifu na wanaoenda jela wote hawatakiwi kwenda kuzimu ?
hapana hautukani Mungu Mwenyezi, ila unapaswa kuamini kuwa yupo ila baadaye ukishakubaliana nao kuuza nafsi yako basi huna budi kuwa Mali yao, ndiyo wachungaji wanasema kwa jina la yesu pepo toka lakini ni mawakala wa shetani.
Sawa hapa umeniacha kwa hio nauza Nafsi yangu wanakua Mimi Mali yao alafu Mimi wananipa Nini ? Nyumba, Gari, Pesa na Umaarufu usio na Kikomo (km wale jamàa wa Arusha) au nini napewa kuchagua ninachotaka emu elezea kidogo hapa
 
Kabla hujatawazwa kuwa mwanachama Basi kuna kiapo unasema, MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO. Hakuna kurudi nyuma hivyo ukirudi nyuma inakuwa umekiuka masharti upaswa kufa. Kisha utapelekwa kwa mkuu wa Giza mwenye kutoa mwanga katika ulimwengu, atakuhifadhi katika malazi yake huko kuzimu. Atakupa mateso makali Sana.
Sasa utateseka vp wakati huna mwili na wewe unakuwa roho tu.
 
Hapa tutakuja kusikia kilio huko mbeleni, niko paleeee nasubiri
 
Shetani anakuja duniani kutokea wapi?

Na akifika Tanzania anaanzia wapi
Shetani ni malaika muasi ambaye alikuwa malaika wa sifa na malaika mkuu mwenye mamlaka katika malaika wote,
Lakini katika mipango ya Mungu Mwenyezi alipenda kumshirikisha Yesu Kristo, wivu ukamwingia shetani alikuwa anaitwa Lucifer, kwamba kwanini Yesu Kristo tu na Mimi sichaguliwi ungali ni malaika mkuu. Dhambi ya wivu kiburi na majivuno uongo ulianza kwa shetani.

Kuna watu wanamuona shetani lakini kwa sura wa viumbe tofauti Sana, shetani anapotaka kuja kwako Basi anakuja kwa sura ya ajabu Sana sura ambayo hukuwahi kuona tangu uzaliwe na hata kwenye movie za kutisha hakuna mfano wake,

Shetani huwa anakuja duniani kila siku ya jumatatu, anaendesha gari Aina ya Mercedes Benz nyeusi, anavaa suti nyeusi, soksi nyeusi, na kiatu cheusi. Anapendelea zaidi kwenye klabu na kumbi za starehe, pengine hata dada zetu hulala nao na kuwaharibu kizazi, kufunga uzazi wao ama kutesa watoto watakao zaliwa.
 
Ndugu yangu ngoja nikufahamishe, ikiwa wewe unataka kumfumania mkeo si utamvizia umkamate kwani utaonesha ishara au dalili za kutaka kufumania.

Zile bembeleza unazo ziona au sikia kwenye mitandao kwamba freemason ni chama Cha kusaidia ni kukuvuta uje ujiunge nao Kuna hatua ukifikia baada ya muda fulani unaambiwa uape na hakuna kurudi nyuma kamwe. Utakacho ambiwa utafanya
Jamaa anataka kudanganya wakat freemasonry ndo wazee wa ndagu sasa hao ( sema Tu neno ndagu lipo local ) Ila ndo kafara zile zile , tena kule ukifikia hyo hatua hakuna kurudi nyuma ndo mana wengi Kwa majuto hufa wao na utajiri wao kuuacha mana kuna wakat wanahtaji damu non stop na lazima ufanye
 
Ndio stage ya mwisho ni kuliwa alipata kusimulia jamàa mmoja kwamba kwa Imani za Dao kwamba wao wanaamini sisi binadamu kila siku tunapigana na kiumbe ambacho hatukioni yaan tunapigana na viumbe ambavyo hatuvioni na pia sisi binadamu kwa hivyo viumbe ni sawa na kuku ndani ya Banda kwa hio wao wanachagua tu wa kumla ukisikia kilio tu Mzee fulani katutoka jua tayari viumbe vishachukua mali yao vimetafuna, hii ni kwa mujibu wa Daoist/Taoist
 
Je wewe Ni Freemasonry
Hawezi kua hata siku moja majibu yake tu yanaonyesha yeye sio maana hajui hata kuhusu alama ya M kwenye kiganja inahusiana vipi na Freemasons na pia haelewi kua Freemason na Freemasonry ni pande mbili za SHILLING lakini zote zipo kwenye SHILLING moja
 
Back
Top Bottom