Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
hakuna source za uhakika kwa vitu kama hivi, hizo tovuti mtu yeyote anaweza kutengenezaTafuta source zenye uhakika usome...Sio jambo simple Kama huyo mwandishi wako anavyolielezea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna source za uhakika kwa vitu kama hivi, hizo tovuti mtu yeyote anaweza kutengenezaTafuta source zenye uhakika usome...Sio jambo simple Kama huyo mwandishi wako anavyolielezea
Marehemu yupi toa swali nokuelewe vizuri.Ungeanza na Marehemu au alimwachia mikoba mtoto wake arithi cheo chake Cha uenyekiti ?
🤣🤣Namimi nimeshtuka hapa. Picha inavyoonekana ni kama vile kaipiga kwa nje halafu haraka haraka ili asikutwe
Hapana ngoja nikueleweshe jambo la muhimu,hakuna source za uhakika kwa vitu kama hivi, hizo tovuti mtu yeyote anaweza kutengeneza
Kweli kabisaUtapeli utakuuwa siku si zako
Hao no matapeli, freemason kamwe huwezi kuunganishwa kwa mitandao au namba za simu barabarani. Unaenda kwenye lodge yao pale posta kwa dar es salaam.😂😂 Halafu mbaya zaidi wanasema "tunatibu Freemason"
Freemason sio ya kila mtu, Ina watu wake.Yule Paschal labda alikuwa kwenye secret society nyingine ila hata mimi kwa nilivyowasoma hao illuminants na freemasonry sioni kama alikuwa huko nope.
🤣We nae ni kama mleta mada,au lah mleta mada katumia I'd yake nyingine
hizi tovuti na vitabu vinavyoelezea kwa undani zaidi vimeandikwa na kina nani, na kwa lengo gani?Hapana ngoja nikueleweshe jambo la muhimu,
Kuna baadhi ya vitu unaweza kueleza ukiwa Master Mason, lakini ukiingia ndani zaidi Kuna Siri nyingi sana unapewa na kufahamu hivyo sio rahisi kusema.
Freemason wanakuambia Kuna degree 3, entered apprentice, fellow craft, na Master Mason. Ukiwa katika hizi ngazi au degree Basi unaweza kuongea chochote kuhusu freemason lakini ukiwa Master Mason Basi ukapewa cheo Cha juu yake, huwezi kuropoka au kutoa Siri na hata kumuunganisha mtu hutakiwi.
🤣🤣HAKUNA MASWALI KILA KITU KINAFAHAMIKA KIPO KWENYE VITABU, VIDEOS NA AUDIO. HAKUNA SIRI. KUNA KIPINDI NLIWAHI WAPIGA SANA WATU PESA. NAMI NILIJIDAI NI FREEMASON NIKAWAAMBIA NIWAPE ELIMU WALETE NA MASWALI. NLIWALA SANA.
Kwa maelezo ya kichwa cha habari hatujadiliani na wewe! Umekuja kama mtatuzi wa maswali tata yanayo ulizwa bila majibu kuhusu mada husika. Niwajibu wako kutoa majibu ya mwaswali unayo ulizwa! hakuna mjadala, hapa ni maswali na majibu.Hapa tuna jadili Wala sio mabishano.
Mkuu na wewe ni mwana chama? Lakini pia mbona umepiga picha ki uwoga?Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.
View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.
Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
Shetani ni malaika muasi ambaye alikuwa malaika wa sifa na malaika mkuu mwenye mamlaka katika malaika wote,Ko kuna watu wanamuona shetani live yule anaesemekana alishushwa toka mbinguni
Hii picha nimeitoa mtandaoni, nimeweka hapa ili kupeana maarifa.Mkuu na wewe ni mwana chama? Lakini pia mbona umepiga picha ki uwoga?
NImekujibu Tena kwa ufasaha.leftyie worldie ina maa swali langu hautaki kujibu au hauna jibu?
Mmmhmhhh' inanipa ukakasi sana kuamini hizi mamboShetani ni malaika muasi ambaye alikuwa malaika wa sifa na malaika mkuu mwenye mamlaka katika malaika wote,
Lakini katika mipango ya Mungu Mwenyezi alipenda kumshirikisha Yesu Kristo, wivu ukamwingia shetani alikuwa anaitwa Lucifer, kwamba kwanini Yesu Kristo tu na Mimi sichaguliwi ungali ni malaika mkuu. Dhambi ya wivu kiburi na majivuno uongo ulianza kwa shetani.
Kuna watu wanamuona shetani lakini kwa sura wa viumbe tofauti Sana, shetani anapotaka kuja kwako Basi anakuja kwa sura ya ajabu Sana sura ambayo hukuwahi kuona tangu uzaliwe na hata kwenye movie za kutisha hakuna mfano wake,
Shetani huwa anakuja duniani kila siku ya jumatatu, anaendesha gari Aina ya Mercedes Benz nyeusi, anavaa suti nyeusi, soksi nyeusi, na kiatu cheusi. Anapendelea zaidi kwenye klabu na kumbi za starehe, pengine hata dada zetu hulala nao na kuwaharibu kizazi, kufunga u
nimeliona jibu ila inanipa shida sana kuamini kuwa shetani yule wa kwenye vitabu yupo na anakuja duniani na kuendesha magariN
NImekujibu Tena kwa ufasaha.
Ndugu yangu hakuna unachojua chochote hata dini haufahamu. Hizo ni tetesi za uongo. Biblia unayo isoma Leo wewe imefupishwa Mambo mengi Kuna biblia enye Ina kila kitu hujawahi kufahamu ama kuona endelea kupata maarifa. Usiwe na ubishiWacha blah blah, shetani hatawali sasa na atatawala kwa miaka 1000 hapa duniani kabla hajahukumiwa Milele. Katika Ulimwengu wa roho kuna siku Mungu alinufunulia kuhusu ibada zenu hususan lile kusanyiko la Zimbabwe lililofanyika kwenye ile hoteli ya kifahari ila halikukamilika tokana na maombi ya Watakatifu.