wa marangu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 259
- 407
Kuna uhusiano gani kat ya freemason na kafara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.
View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.
Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
Hamna kitu hapo. Uzi wake aliukimbia baada ya kutaka kudanganya akidhani hatujui.Hapa bado ni hatua za awali, nna maswali elfu na kidogo kama ni tapeli nitamjua tu.
Ila jinsi alivyo respond kuhusu PASCHAL CASSIAN ndiyo imenifanya nihisi ana kitu huyu brother
Sasa unataka uwaongoze ktk mjadala kwa jambo ambalo hulifahamu vizuri na unataka uulizwe maswali? Acha hizo. Weka kuwa kila mtu atoe experience yake.Ndugu yangu hapa tumekuja kujadili Wala si kuunganisha watu. Ni mdahalo kuhusu FREEMASONRY.
Utakuwa wa ajabu sana kama hata hilo jengo ulijui lipo wapi na unaka Rau.. kwakukusaidia hilo jengo lipo hapo karibu na kwenye circle ya moshi arusha, au wenyeji wanasema keepleft ya moshi arusha,Dogo acha kamba sema hilo jengo lipo moshi sehemu gani nipo hapa rau chap nije
Hii inatusaidia nini au kutafuta kiki?Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.
View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.
Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
Hajui lolote.id nyingne wapi, mimi nashangaa pale mtu anapokuja kupinga kama vile msemaji ni mdogo wake (anamjua)
Kwahyo wewe huamini kama mambo haya yapo? Unataka ayaseme nani labda?!
vizuri ni kutwambia ulijualo weweHajui lolote.
Over
Tafuta source zenye uhakika usome...Sio jambo simple Kama huyo mwandishi wako anavyolielezeavizuri ni kutwambia ulijualo wewe
Itasaidia wengine kupata elimu kuhusu chama Cha freemason pia kuepusha matapeli.Hii inatusaidia nini au kutafuta kiki?
Kwani wamekuomba au nawe ndo wale wale?Itasaidia wengine kupata elimu kuhusu chama Cha freemason pia kuepusha matapeli.
Lengo ni kutoa ujumbe na kuelemisha jamii sio picha mkuu.Kama picha tu umepiga kiwizi hayo mengine ndio utayajua.
Hapana hawausiki na freemason.DP World ni Freemasons
Tatizo la watanzania wanadharau kusoma kuongeza maarifa, ni wavivu kusoma, tokea kale mpaka Sasa ushahidi na kumbukizi nyingi zipo kwa maandishi. Lazima usome ujue kupanue wigo wa akili yako.Kwani wamekuomba au nawe ndo wale wale?
Hapana diamond platnumz Hana huo ushirikina. Yeye ni mtu Safi, ni team ya wasafi.Coomer on huyo si yule nanii yule wanamuita asake sijui wanamuita quavo siwaelewi elewi mara asake mara quavo sijui wanamaanisha nini kumzuishia zushia hizi tuhuma ?