Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Ndugu yangu punguza jazba.
Ni marufuku kushawishi mtu kuingia kule, Bali mtu mwenyewe kwa nafsi yake huridhia kuingia kule.

Kujiunga na FREEMASONRY unatakiwa kwenda kwenye lodge karibu yako mwenyewe kwa hiari ukaombe nafasi ya kuwa mwanachama.
Naomba kujua ni lodge za namna gani? au ni lodge zote zina huo utaratibu wa kuniunga freemason
 
Naomba kujua ni lodge za namna gani? au ni lodge zote zina huo utaratibu wa kuniunga freemason
Kwa dar es salaam, ofisi zao zipo posta mkabala na hoteli ya Kilimanjaro, na benki kuu ya Tanzania.
 
Naomba kujua ni lodge za namna gani? au ni lodge zote zina huo utaratibu wa kuniunga freemason
Utaratibu upo hivi.

Vaa nguo nyeusi,
Shati na suruali, au vaa suti nyeusi, soksi na viatu vyeusi. Omba kuonana na mkuu wa ukumbi, yaani grand Master.
 
nimeliona jibu ila inanipa shida sana kuamini kuwa shetani yule wa kwenye vitabu yupo na anakuja duniani na kuendesha magari
Kabla mwanadamu hajashushwa duniani Basi Hawa viumbe walitembea kila pande,
Ndio maana shetani kwa kutembea kwake aliweza kumshawishi Hawa au Eva kula tunda, bila shetani kumtembelea kwani angekula ile tunda. Umeelewa Sasa kwamba shetani anatembea dunia nzima kwa sura na viumbe tofauti tofauti huwezi kumjua hata freemason hawawezi kumjua shetani pindi anajibadilisha.
 
ndagu si zipo kwanini usitoe ndugu zako ukatajilika? huu pendi utajili? taja mtu freemason alie wahi kutoa kafara kama sio ndagu za kipumbavu? si nimetoa web yao? shida nini ,au upo kwenye mtandao wakutaka muwa shawishi watu muwatapeli? ingia kwenye web yao uta subcribe ,ili upate masomo yao baadae ndo utaamua ujiunge nao kwa kujaza form unapewa namba za simu za secretaly wa freemason hall uliyo kalibu nayo wajue unasifa za kuwa member?.shafanya research za hawa jamaa,kuondoa utata wanawake nao wanaluhusiwa, mda wote wako free kwa watu kuwa tembelea kulingana na ratiba zao za kazi...shida si kafara kajiunge sasa?,kule wanajiunga elite wanaojielewa sio kama mandagu yetu tuna maliza ndugu zetu ambao wange tu saidia
Ndugu yangu ngoja nikufahamishe, ikiwa wewe unataka kumfumania mkeo si utamvizia umkamate kwani utaonesha ishara au dalili za kutaka kufumania.

Zile bembeleza unazo ziona au sikia kwenye mitandao kwamba freemason ni chama Cha kusaidia ni kukuvuta uje ujiunge nao Kuna hatua ukifikia baada ya muda fulani unaambiwa uape na hakuna kurudi nyuma kamwe. Utakacho ambiwa utafanya
 
Marehemu yupi toa swali nokuelewe vizuri.
Marehemu Mzee Chande,

Swali:
Kujiunga na cult yenyu inachukua mda gani kukamilisha vigezo na hua mnapokea watu wa aina gan makapuku au matajiri tupu ?

Na pia mfano nikatoa Siri za baraza la Freemasonry je NI kweli adhabu yangu inakua ni kifo bila huruma yaan nachinjwa km mbuzi au kondoo na damu yangu (msaliti) inakua Mali yenu?

Kingine nitajuaje kua Mimi nafaa kuingia Freemasonry mnanitafuta wenyewe na kuniunga au inabidi nijilete mwenyewe kujiunga ?

Kingine nasikia mnapokea watu wenye uelewa na upeo mkubwa wa Maisha na kiganjani wawe na mstari uliounga vizuri bila kuachana herufi M (Mason) je Kuna ukweli wowote kuhusu hilo ?

Kingine nasikia kwamba huko sharti namba moja la kujiunga ni kumtukana MUNGU na kumtukuza Shetani je ni kweli kuhusu hilo au ni uzushi ?

Emu tuanze na hayo maswali
 
Kuna mtu anazungukaga na fomu akidai yeye ni muhusika wa freemason na ukimtazama ana Pete zenye mchoro unaohashiria vipi kuna ukweli wowote hapo mkuu
Freemason hawajitangazi kwa njia hiyo, wao Wana nembo zao ( 2B1 ASK 1 ) kwenye kofia, tisheti, shati, suruali, au stika kwenye gari, Basi huyo ni mwanachama unaweza Kumuuliza akakuunga au avae Pete ya freemason lakini haitakiwi kujitangaza nasio vinginevyo.
 
Back
Top Bottom