Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 1,319
- 2,334
hebu ielezee kidogo plsMkuu tafuta Movie moja inaitwa NO SMOKING (2007) ya kihindi ukiiangalia mpaka mwisho ndio utaelewa huyo jamàa anazungumzia nini,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu ielezee kidogo plsMkuu tafuta Movie moja inaitwa NO SMOKING (2007) ya kihindi ukiiangalia mpaka mwisho ndio utaelewa huyo jamàa anazungumzia nini,
Sina mamlaka ya kueleza hizo ngazi na kazi zake. Nikupe huo mwangaza.
Jamaa aliingia kwenye makubariano na Baba Bengali (wazee wa cult na dini za huko India) ambae alimwambia inabidi aache kutumia Sigara kwa kusaini makaratasi na kulipa kiasi Cha Pesa na akapewa masharti akikiuka masharti basi atapokea adhabu, jamaa alikua ni tajiri wa kutupwa sasa unaambiwa huyo Baba Bengali baada ya jamaa kusaini alikua na wafanyakazi kila angle yaan hakuna jamaa alienda Baba Bengali asijue, jamaa kiu ya FEGI ikampata akaona watu wanavuta FEGI hamu na kiu ikamshika akaanza kuitafuta na kutaka kwenda kuvuta kila alipoenda na kila alipotaka kwenda jamaa walikua wanajua alipo na anafanya nini, nikumalizie mwisho jamaa alikua amelipa let say alitakiwa kulipa 800.20 sasa yeye alilipa 800 tu ile cent 20 hakumlipa Baba Bengali kwa hio akawa na Deni sasa ukafika wakati akawa km amepagawa hivi (alikiuka masharti na kupewa adhabu alitoa Siri pia kwa polisi kuhusu Baba Bengali) yaani kawa km chizi hajui ni nini akapewa ishara na Baba Bengali kwamba kijana dawa yako wewe sio hospital dawa yako wewe ili upone lipa ile cent 20 akajaribu kumweleza mkewe hakumuelewa maana mda huo alishapigwa kanyabanyeza akawa bubu haongei Mara paa akafa Mwili akabaki Nafsi jamaa wakaanza kutuonyesha Nafsi zinachoenda kufanywa, emu itafute usiangalie mwenyewehebu ielezee kidogo pls
Ninaweza kumtoa kafara member wa jf ananinisumbua sana
AiseeHizo ni stori watu watanzania wwnazungumza, ukweli ni kwamba hakuna kafara ya mwanadamu Bali kafara ya mbuzi dume mkubwa yaani beberu, kujua Sala na kanuni Sheria na mifumo. Huu no utaratibu wao.
Wao huchukua nafsi yako na tiketi moja kwa moja mpaka kuzimu kuwatumikia kipindi umeaga dunia.
Ni mweupe mnoooo.Kwa uandishi huu huna ujualo kuhusu Mosons
Kama faida ndo hizi, yatosha kuendelea kumtumikia Mungu maana yeye ndo mwenye nguvu anipae uzima wa milele.Nguvu za maajabu, utajiri, kukubalika na jamii, ulinzi, kuepusha magonjwa na ajali.
Wanaoweka hayo matangazo ni Waganga matapeli sio masonsKwanini mnaweka matangazo mpaka kwenye Nguzo za umeme??
Nani atatapeliwa kizembe hivi si itakuwa ujinga wake mwache mtoa mada aendelee na lengo la uzi wake kamav wewe unaona hana anachokijua basi zitabaki kuwa story tuHUYU JAMAA NI TAPERI KWA ANAYE TAKA KUJUA FREEMASON NI KINA NANI ATEMBELEE web yao.huyu jamaa naona mwishowe ata tapeli watu ,kwa mjibu wa wao ,unaweza ukajiunga na uka amua utakuwa mwanachama kwa miaka mingapi,kama hulidhiki nao unajitoa,hakuna kafara,na kama unajiunga upate utajili hukubaliwi ila ukiwa fundi ujenzi kama unanawa.freemason walikuwa chini ya kanisa la roma ,hawa ni mafundi ujenzi walobobea ambapo walikuwa wanajenga mahekalu ya kanisa la roma,baadae waliingia vita na kanisa la roma wakafukuzwa,ika undwa jesuit kama mbadala wao,wakahamia marekan waka jenga washington dc,kanisa la roma lina bifu nao coz nasikia waliiba shehena za dhahabu kuanzia hapo waumini wakaambiwa ni wafuas wa shetani hivyo wawaepuke, huyo jamaa mleta mada anaonekana haelewi chochote,nasikia halufu ya kutapeliwa watu.kama unataka kuwajua kwanini usizame hapa ? www.dgleastafrica.com
Believe in supreme being. Maana take lazima uamini uwepo wa Mungu Mwenyezi, Mtukufu na mwenza katika Mambo yote mema katika ulimwengu na mbingu.
Bila kujali ni dini gani, ukristo au uislamu, mpagani haruhusiwi kwa sababu hana Mungu ndani yake hakuna anacho amini.
Freemason hawahitaji mpagani.Mpagani hana anachokiamini?huelewi hata mana ya jina mpagani,pagan ni jina walilopewa watu wasio amini katika imani ya ukristo,sio kwamba hawakuwa na imani au vitu wanavyoamini na kuviabudu.
Hakika unapaswa kumtumikia Mungu Mwenyezi Alfa na Omega, maana yeye ni kila kitu.Kama faida ndo hizi, yatosha kuendelea kumtumikia Mungu maana yeye ndo mwenye nguvu anipae uzima wa milele.
Upo sahihi ndugu yangu lakini nikueleze jambo miaka ya hivi karibuni freemason ni Kama nursery school ukiendelea kuwa kwenye shirika lao unapanda cheo hapo unaingia illuminati.hapa tunaelimishana kama alivyo elezea ndugu mtoa mada,Kuna tofauti kati ya illuminat bavaria,na freemasonry brother hood, freemasonry ndo kongwe kuliko illuminat,freemason ilianzishwa 24june 1717 jijini landon ambapo ndo walijenga tempo kubwa.illuminat ili anzishwa 1 may 1776 na mwanafilosofia weishaupt ambaye alikuwa profesa wa cannon law mjini ingolstadt bavaria, mwaka 1778 iliminat ika anza kushirikiana na freemason.siri zika vuja kwamba illuminat ,inataka iu ue ukiristo,kuwe na serikali moja,napia wanawake waruhusiwe kutoa mimba,baadae wakahusishwa na mapinduz ufaransa,1785 kundi lilifungwa lasmi na kupigwa ban na serikali ya bavari ikiwemo na wanachama kufungwa,weishaupt akafukuzwa kazi,ikawa ndo mwisho wa illuminat,kuna wanaodai illuminat haijafa kwani bado ina oparate ndani ya freemason,wao ndo wenye nembo ya alama ya pembe tatu na jicho ,na hiyo alama ndo nembo kuu ya freemason,marekani walichukua nembo ya illuminat na kuweka kwenye dollar yao. anae jua zaidi ajee tuelimishane
,,Ukishiba uji na magimbi lala upumzikeWa Sasa anaitwa bro efrahim.
Na huyo mmatumbi kitambo alikua ndani..na sometimes huwa naguess labda alitoa kafara kizazi chake..maana damu kwake haikumwagikaBaada ya Sir Andy Chande kufariki, Grand master alipewa mmatumbi nae akafariki na Sasa Kuna mmatumbi mwingine...
Hakuna relevant issue hapa...
Sawa mkuu kila kiumbe anastahili kupata chakula.,,Ukishiba uji na magimbi lala upumzike
Uongo uko hapa..yani hapa ndio nimethibitisha wee jamaa kolo sana...ni two ways either ukiwa potensial wakufuate wao..ama member wa freemason ndio akupeleke akakutambulishe....unavowaagiza watu kuvaa maguo meusi lengo lako uwakomoe na joto la darUtaratibu upo hivi.
Vaa nguo nyeusi,
Shati na suruali, au vaa suti nyeusi, soksi na viatu vyeusi. Omba kuonana na mkuu wa ukumbi, yaani grand Master.
kwani simu zenu zikoje mbona mimi naziona pichaHili tatuzo la picha kutokufunguka tumelalamika sana ila kimya