Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mwenyewe kasema tumuulize na maswali kabisa!hii nchi ndio maana bandari imeuzwaNi mweupe mnoooo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe kasema tumuulize na maswali kabisa!hii nchi ndio maana bandari imeuzwaNi mweupe mnoooo.
Kwa miaka nliotumia kuwafuatilia Hawa jamaa,he knows.Umeona Fix hii Bandugu.
Becareful
SawaGrand Master ni level ambayo wengi wanaijua sio wanachama,
ila ukiwa mwanachama Basi utafahamu ngazi za juu zaidi Kuna Kama ngazi 6 huko juu. Sina mamlaka ya kueleza hizo ngazi na kazi zake. Nikupe huo mwangaza.
Kila kitu ni siri na kuijua siri ni kuishi huru. Ushawahi jiuliza kwanini waanglikana huwa wanachoma ubani kwenye chetezo, unajua ubani watumikaje, je wajua kwanini wanautumia wakati wa ibada?Kwanini kila kitu mnafanya kwa siri? Mnachoficha nini? Kama nia yenu njema, kwanini iwe siri, kuanzia washiriki mpaka mnavyokutana na kuendesha mambo yenu?
Mtu akishavuta bange anataja lolote
Hakuna unachojua kuhusu freemason, endelea kusikiliza stori za mtaani. Kuwa mpole nikupe mwanga.Uongo uko hapa..yani hapa ndio nimethibitisha wee jamaa kolo sana...ni two ways either ukiwa potensial wakufuate wao..ama member wa freemason ndio akupeleke akakutambulishe....unavowaagiza watu kuvaa maguo meusi lengo lako uwakomoe na joto la dar
Akupe picha akiwa ndani ya temple yoyote ile.Kwa miaka nliotumia kuwafuatilia Hawa jamaa,he knows.
Hili jibu lako ni la kisiasa. Kuwa muanglikana sio kitu cha kujificha.Kila kitu ni siri na kuijua siri ni kuishi huru. Ushawahi jiuliza kwanini waanglikana huwa wanachoma ubani kwenye chetezo, unajua ubani watumikaje, je wajua kwanini wanautumia wakati wa ibada?
Hizi ni siri ambazo ziko katika kila imani.
Mambo ni mengi watu hawajui bali watu hujua mambo yote yale ya uwongo kwakuaminisha kuwa yakweli.
We're only limited by our imagination
Unapo omba nafasi kuwa freemason, watakwambia siku ya kuja kukufanyia interview, kikundi Cha watu 5, au 8 mpaka 10, watakaa mezani na wewe kukuhoji maswali, halafu utawapa muda wajadili kuhusu ombi lako, kisa utapewa majibu au utapewa appointment kwa ajili ya majibu yako.Sawa
Nimependa mtindo unaotumia hapa katika kujifunza.
Iko hivi, mwanafunzi anapokuwa tayari bhas Mwalimu atamfikia wakati huo huo.
Super charged. Your I'd is favourite to me. 😊😊😊Je wewe Ni Freemasonry
Ndio unaenda motoni. Hakuna mjadala hapo..
Kwa hivyo mkuu unajua fika kabisa kwamba unamwabudu shetani na ukifa unakwenda motoni moja kwa moja?!
.
Have you ever thought about this?
Sahihi,ila usahihi wake hakumfanyi kuwa miongoni mwao.kuna sehemu anapuyanga pia.hivyo anaweza kuwa mdadidisi tu kama wadadisi wengine,but Kwa kiasi kikubwa ana knowledge kuhusiana nao.Akupe picha akiwa ndani ya temple yoyote ile.
Ogopa sana kikundi chochote cha dini zisizokubalika na kuwa na imani zilizo zidi na kuwa hatari.
Namna Wanavyo operate, Recruit kutafuta watu na kuwacontrol huwezi kuona mtu Ana andika vitu kama hivi kwa plain sight.
Ina maana na wao ni freemason sio!!?Miaka ya zamani walikuwa na utamaduni wa kuvaa suti ya blue bahari, yaani dark blue au wengine huvaa blue kabisa,
Siku hizi wanavaa suti nyeusi au shati na suruali nyeusi. Kiatu na soksi nyeusi.
You are one of them? If you are, repent!Kwa uandishi huu huna ujualo kuhusu Mosons
Utauawa kwa kutumia silaha za kiroho au physical weapons?Ngoja nikwambie ukweli.
Sio kila mtu anatakiwa kwenye chama, kwa sababu masharti yake ni magumu Sana.
Kabla hujatawazwa kuwa mwanachama wao, Kuna kipengele cha Sheria zao zipo 5.
Halafu kuna kiapo Mara 3 kwamba MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO.
unacho takiwa kufanya ni kutekeleza kila mpango wanaokupa au jukumu kwa lugha nyepesi, hakuna kubadili mawazo hakuna kurudi nyuma vinginevyo utauawa na hautoboi.