Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Umeeleza vizuri Sana lakini ni uongo.

Wewe umesoma kwenye vitabu na mijadala, hakuna unachojua kuhusu freemason.
 
Lodge number 9534, Mimi Kama master Mason. Sina sababu ya kueleza uongo kwa faida ya Nani.
 
Ila tunajua Mengi alipata mtaji kupitia bank alikokuwa akifanya kazi. Sasa unasemaje mali alipewa na freemason?
Diamond platnumz aliwahi kumwambia umma kuwa cheni ya mama yake ya dhahabu aliipa akaenda kurekodi nyimbo Sasa ametoboa, je wewe unaamini hili.

Hizi ni stori wanatunga kuficha uovu wao
 
Diamond platnumz aliwahi kumwambia umma kuwa cheni ya mama yake ya dhahabu aliipa akaenda kurekodi nyimbo Sasa ametoboa, je wewe unaamini hili.

Hizi ni stori wanatunga kuficha uovu wao
Nasubiri unifumbulie hilo fumbo ulilosema. Na je, huyo shetani anapokuja kila J3 anakuwa na sura ya kizungu?
 
2be ONE ask 1... Maana yake ni nini? na ni nani huwa na vitu vyenye maandishi haya?

Huonekana wapi watu hao? wajibu wao ni nini? nikiwahitaji nawapata wapi?
 
Hili jengo la Moshi halina mvuto Wala nn,na ninaskia mna mkwanja Kwann msijenge jengo la maana?👇
 
Hapana Mimi sikuzungumza kuhusu bahasha nyeusi, Wala kulia.

Shetani unaweza kumhonga hata wewe ambae haupo freemason, shetani kila jumatatu Kama leo hutembea duniani akiwa amevaa suti nyeusi,gari nyeusi Mercedes Benz.
kwann gari ya benzi?? kuna uhusiano gani kati ya gari ya benzi na shetani??
 
Hapana Mimi sikuzungumza kuhusu bahasha nyeusi, Wala kulia.

Shetani unaweza kumhonga hata wewe ambae haupo freemason, shetani kila jumatatu Kama leo hutembea duniani akiwa amevaa suti nyeusi,gari nyeusi Mercedes Benz.
Anatembea na gari akitafuta nini?
Kwanini gari nyeusi mercedes benz?
Na huwa anatembelea maeneo gani?
Akiwa amevaa mwili upi
 
Hatari Sana 🤔
 
Mpaka muda huu Hakuna swali lolote lililojibiwa.Huu Uzi Ni batili
 
Kama ukumbi wenyewe ni huo wa kimasikini hivyo nahaja Gani ya kija kwenu
 
Kwaiyo wewe wachukulia ubani kama jambo lakawaida sanaaa... Jaribu kufanya tafiti mkuu usiwe unachukua mambo kirahisi rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…