Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Free

Freemasonry ni organisation. Hii ni organisation sio kanisa hilo swala la ibada sijui unalitoa wapi pale sio kanisani na katika mikutano wanaanza na ombi kama lilivyo bunge tu.
Hakuna ushahidi wowote wa kanumba kuwa freemason. Anajua mwenyewe ni ritual zipi alikuwa anashiriki, sikuizi kuna cult nyingi tu za kujitajirisha kama iringa kule utakutana na wakinga wana cult zao, wachaga pia wanazo, wanyakyusa pia, ukienda shinyanga huko kahama kuna cult zao na wanahela zao chafu tu zenye mashart kibao..sasa watu wakiona hivyo wanawaita hao watu ni Freemasonry kumbe wapi...
Narudia tena Freemason hawagawi pesa kwa members, but members wanatoa misaada kwa maskini.
Freemasonry kama organisation wako na sheria zao kama vile kuweka siri za kambi maana sio busara kila mtu ajue yanayoendelea lodge vivyohivyo hakuna organisation inayokuwa transparency kwenye kila kitu. Ukitaka kujua sana kuhusu freemasonry mtafute member akutambulishe kama uko vizuri watakupenda utajiunga na kujua mengi mazuri na utabaki kuwacheka wabongo wengi walio shadowed abt this beautiful organisation.
Umeeleza vizuri Sana lakini ni uongo.

Wewe umesoma kwenye vitabu na mijadala, hakuna unachojua kuhusu freemason.
 
K

Ama hujui kitu ebu acha basi kuudanganya umma. No research no right to speak. Why unaichafua Freemasonry?? Hakuna kitu kama kafara kwenye hiki chama pendwa. Na mtu kama wewe sio masonry sasa haya mambo unayoandika hapa umeyatoa wapi? Au ndio story za vijiweni?? Acha huo utoto bwana
Lodge number 9534, Mimi Kama master Mason. Sina sababu ya kueleza uongo kwa faida ya Nani.
 
Ila tunajua Mengi alipata mtaji kupitia bank alikokuwa akifanya kazi. Sasa unasemaje mali alipewa na freemason?
Diamond platnumz aliwahi kumwambia umma kuwa cheni ya mama yake ya dhahabu aliipa akaenda kurekodi nyimbo Sasa ametoboa, je wewe unaamini hili.


Hizi ni stori wanatunga kuficha uovu wao
 
Diamond platnumz aliwahi kumwambia umma kuwa cheni ya mama yake ya dhahabu aliipa akaenda kurekodi nyimbo Sasa ametoboa, je wewe unaamini hili.


Hizi ni stori wanatunga kuficha uovu wao
Nasubiri unifumbulie hilo fumbo ulilosema. Na je, huyo shetani anapokuja kila J3 anakuwa na sura ya kizungu?
 
Hili jengo la Moshi halina mvuto Wala nn,na ninaskia mna mkwanja Kwann msijenge jengo la maana?👇
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.

View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.

Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
 
Hapana Mimi sikuzungumza kuhusu bahasha nyeusi, Wala kulia.

Shetani unaweza kumhonga hata wewe ambae haupo freemason, shetani kila jumatatu Kama leo hutembea duniani akiwa amevaa suti nyeusi,gari nyeusi Mercedes Benz.
kwann gari ya benzi?? kuna uhusiano gani kati ya gari ya benzi na shetani??
 
Hapana Mimi sikuzungumza kuhusu bahasha nyeusi, Wala kulia.

Shetani unaweza kumhonga hata wewe ambae haupo freemason, shetani kila jumatatu Kama leo hutembea duniani akiwa amevaa suti nyeusi,gari nyeusi Mercedes Benz.
Anatembea na gari akitafuta nini?
Kwanini gari nyeusi mercedes benz?
Na huwa anatembelea maeneo gani?
Akiwa amevaa mwili upi
 
Nielezee kiundani zaidi

KAFARA- ya mtoto kulala na mama yake wa kumzaa yaani mtoto kushiriki kimapenzi na mama yake mzazi

Sina maana kama tahitaji kuifanya ila tunasikia ipo na hao Freemasons wanaitoa kwa mtu anayeitaka na cha zaidi tunasikia kuna STAR hapa bongo anafanya hivyo na mama yake mzazi

Kingine sisi kama watanzania sio utamaduni wetu na kama kweli kuna star hapa bongo anafanya hivyo na mama yake- nawaambia hao Freemasons HATUJAPENDA mbadilishieni hiyo kafara nawaomba, nawaomba, nawaomba- nimewaomba mara tatu wakuu tafadhalini mbadilishieni hiyo kafara
Hatari Sana 🤔
 
Hili jibu lako ni la kisiasa. Kuwa muanglikana sio kitu cha kujificha.

Halafu, ubani unachomwa hadharani wakati wa ibada. In fact Anglican ni mtoto mdogo wa Roman Catholic. Wakatoliki nao wanachoma ubani kwenye ibada.
Lakini pia, moja ya zawadi alizopelekewa mfalme alipozaliwa, Yesu Kristu, na wale mamajusi, ilikuwa ubani. Sio kila mtu anastahili hii zawadi. Ndio maana sisi wakristu, ni makasisi pekee wanaoweza kufukiza ubani.
Kwaiyo wewe wachukulia ubani kama jambo lakawaida sanaaa... Jaribu kufanya tafiti mkuu usiwe unachukua mambo kirahisi rahisi.
 
Back
Top Bottom