Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Namna ya kujiunga, tafuta ukumbi au lodge kwa kiingereza, karibu nawe ingia na uonane na grand Master uongee nae.
 
Kwanini mnaweka matangazo mpaka kwenye Nguzo za umeme??
Hapana hatuweki matangazo, Bali matapeli ndio hufanya hivyo.

Chama chetu mtu ajiunga kwa hiari sio kwenye matangazo.
 
Wakati freemason wakimpa Mwanachama pesa na utajiri (sijuwi kama ni kweli) ,mwanachama huyo anachangia/anaingiza faida gani kwenye jumuiya kwa wakati huo?
Wakati anaingia kwenye chama Kama mwanachama mpya, ataambiwa Hili ni shirika la kusaidia jamii, hivyo anatakiwa kutoa mchango wake katika jamii. Baadae atapanda ngazi ya entered apprentice degree.
 

Tunamjua uyo star.
 
Hizo ni stori watu watanzania wwnazungumza, ukweli ni kwamba hakuna kafara ya mwanadamu Bali kafara ya mbuzi dume mkubwa yaani beberu, kujua Sala na kanuni Sheria na mifumo. Huu no utaratibu wao.

Wao huchukua nafsi yako na tiketi moja kwa moja mpaka kuzimu kuwatumikia kipindi umeaga dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…