Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

A freemason is for all human that belief in principle of occuracy, no mistakes, no loses, no wastage, in money cases.
Money stands by its self and has no permanent friends, so we need to be careful to longen friend ship with this running friend who always thinking on escaping you.
N. B, keep this principle by you always! /
-Ex-Co Lodge member! and tutor!
 
Unapo omba nafasi kuwa freemason, watakwambia siku ya kuja kukufanyia interview, kikundi Cha watu 5, au 8 mpaka 10, watakaa mezani na wewe kukuhoji maswali, halafu utawapa muda wajadili kuhusu ombi lako, kisa utapewa majibu au utapewa appointment kwa ajili ya majibu yako.

Ukikubaliwa Basi utapewa mtu wa kukuongoza na kukupa maelezo kila kitu kuhusu freemason, wakati huo utakuwa mnakutana kwenye nyumba zao binafsi, Kama ulishawahi kuona filamu ya kanumba the devil kingdom.
Unaomba nafasi Kwa Nani?

Huwa una amka na sh ngapi asubuhi?

Bajeti ya siku
 
Upo sahihi ndugu yangu lakini nikueleze jambo miaka ya hivi karibuni freemason ni Kama nursery school ukiendelea kuwa kwenye shirika lao unapanda cheo hapo unaingia illuminati.
sawa kabisa mkuu,je ni kweli walihusika na kifo cha michael jackson na kenedy?
 
Hujui lolote kuhusu hao, na wala wao hawataki nuru mambo yao ni gizani na tabia yao ulaghai na uongo kama alivyo Baba yao.
Baraka za Mungu hutajirisha wala hachanganyi huzuni nayo.
 
Hujui lolote kuhusu hao, na wala wao hawataki nuru mambo yao ni gizani na tabia yao ulaghai na uongo kama alivyo Baba yao.
Baraka za Mungu hutajirisha wala hachanganyi huzuni nayo.
Toka mungu alivyotutupa huku duniani, tulisema tunakwenda kushika mali zote na utajiri wote wa baharini na aridhini pia tunakwenda kuishika fahari ya dunia na mwanadamu ili upate mali hizi ni shurti ututii na ututumikie otherwise uyazipata kwa tabu sana na hazitaweza kududumu na wewe kwa miongo mitano, kwani tutazinyakua kwa aina yoyote ile, otherwise umetutii na kuja kwetu.
 
A freemason is for all human that belief in principle of occuracy, no mistakes, no loses, no wastage, in money cases.
Money stands by its self and has no permanent friends, so we need to be careful to longen friend ship with this running friend who always thinking on escaping you.
N. B, keep this principle by you always! /
-Ex-Co Lodge member! and tutor!
Sema vizuri, believe in suprime being a. k. a joka jekundu (Lucifer). Waambie pia huko watu huuza nafsi zao ila huku duniani huwa kama vivuli tu. Waambie pia ufalme wa giza huimarishwa kwa kafara za damu za binadamu hivyo sio kila ajali zitokeazo huku duniani ni halisi 98% huwa ni kazi zenu. Waambie pia, pamoja na umaarufu na utajiri mpewao pia huambatana na mateso makali au magonjwa yasiyopona na kila mtu huwa na teso lake mpaka mtakapo kufu. Waambie pia kuhusu hotel zenu zilizopo kwenye miji na majiji ambapo ninyi huingia kwa special ID na humo kwenye hizo hotel kuna kila aina ya anasa. Waambie pia, siku ya kuchukua bahasha nyeusi yenye maagizo ya kutekeleza ambayo huwa mnachukua huku mkilia machozi.
Siku hizi mmejiingiza makanisani mnajifanya manabii na mitume, wengine mnajifanya mnafanya maombi kwa kutumia mitishamba ninyi mbwa mwitu siku yenu ipo.
 
Toka mungu alivyotutupa huku duniani, tulisema tunakwenda kushika mali zote na utajiri wote wa baharini na aridhini pia tunakwenda kuishika fahari ya dunia na mwanadamu ili upate mali hizi ni shurti ututii na ututumikie otherwise uyazipata kwa tabu sana na hazitaweza kududumu na wewe kwa miongo mitano, kwani tutazinyakua kwa aina yoyote ile, otherwise umetutii na kuja kwetu.
Nonsense, nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng'e pamoja na nguvu zote za giza wala hakuna lolote mnaloweza fanya maana kwa kafara ya damu ya Yesu pale msalabani mmeshindwa na kutupwa mpaka pande za mwisho wa nchi.
 
What shall it profit a man, and get lost of his own soul?. Yani Hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa isipokuwa jina la Yesu Jehova. Ndani ya hilo jina tupo salama sana. Hata mungu wenu wa dunia hii analijua hilo.
 
Waambie pia, pamoja na umaarufu na utajiri mpewao pia huambatana na mateso makali au magonjwa yasiyopona na kila

Mbona wengine wanakufa natural deaths tu?

Waambie pia kuhusu hotel zenu zilizopo kwenye miji na majiji ambapo ninyi huingia kwa special ID na humo kwenye hizo hotel kuna kila aina ya anasa. Waambie pia,

Siku ya kuchukua bahasha nyeusi yenye maagizo ya kutekeleza ambayo huwa mnachukua huku mkilia machozi.

Machozi? Kwa nini walie?

Siku hizi mmejiingiza makanisani mnajifanya manabii na mitume, wengine mnajifanya mnafanya maombi kwa kutumia mitishamba ninyi mbwa mwitu siku yenu ipo.

Whaaaaat? Sasa mbona wanatumia jina la Yesu? Kwamba akina jiyodevii wanaweza kuwa masonic?
 
Unaomba nafasi Kwa Nani?

Huwa una amka na sh ngapi asubuhi?

Bajeti ya siku
Una omba nafasi katika uongozi wao,

Kuhusu suala la pesa ni jukumu lako kufahamu unaamka shilingi ngapi kwa siku.
 
Nonsense, nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng'e pamoja na nguvu zote za giza wala hakuna lolote mnaloweza fanya maana kwa kafara ya damu ya Yesu pale msalabani mmeshindwa na kutupwa mpaka pande za mwisho wa nchi.
Ameeen ameeen mtumishi wa Bwana umenena vyema.
 
Freemasonry naonaga ni uongo tu,mtu alitunga,uongo ukasambaa.Na miaka yote hii,sijawahi kusadiki kama hao watu wapo.
 
Hawa masonic wana lodge kila mkoa, ibada zao ni kila ijumaa kuanzia saa nne usiku.
Sio kweli, lodge hizi zilijengwa na waingereza kipindi Cha ukoloni, 1994 ilijengwa lodge ya dar es salaam ikapewa namba 9534.

Mwaka 2005 wakaunda lodge yao nyingine moshi ikapewa namba 9794.

Hizi lodge hazijengwi kiholela Kama nyumba zingine Kuna utaratibu maalum.

Hao wanaokutana huko mkoani ni hoteli, au nyumba ya mtu kuishi humo wanapeana maelekezo na mafunzo kadhaa,

Kila lodge Ina utaratibu na Sheria zake, kwa mwezi wanaokutana Mara 1, kuanzia saa 12 jioni.
 
Back
Top Bottom