Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

Rich dad poor dad by Robert kiyosaki
 
Vipi ukimwi upo hapo?
Mkuu unauliza makinikia baharini?



MU ni funika bovu,sisi kipindi tupo MZUMBE BOYS tukishapewa verification zakutisha mnoo
Pale mpaka mama mchungaji si salama

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Ukimwi ni mwingi mno MU,
Plus wale ndito wa Adrian mkoba ni cheche

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Mkuu unauliza makinikia baharini?



MU ni funika bovu,sisi kipindi tupo MZUMBE BOYS tukishapewa verification zakutisha mnoo
Pale mpaka mama mchungaji si salama

sent by IPhone 6 using jamii forum app
Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... Dah haya mkuu
 
Mhhhh kwanza sio public administration and health system ni bsc in health system and management

the great
inaitwa health system management ( hsm) sijui kama wameibadiri sasa. ikiwa chini ya school of public adm. and management ndo maana wengine wanachanganya na kuuita public adm. and health system management
 
Daah! Nime-miss Sana Magazeti
Pale Cafeteria.
Kwa Sisi Mzumbe Boys Pale Palikuwa Pa Kutambia.
Tulikuwa tunaenda kuangalia uzamini, nmemiss sana kupigwa na zongwe

from Katesh using Siemens C55
 
Kuna jamaa yangu yupo hapo MU anaingia mwaka wa pili ...kila wiki lazima anitumie pic ya manzi mapaja yakiwa wazi /uchi akiwa kitandani WhatsApp akiwa anajiandaa kujilia chakula kitakatifuu dah aseeeeee uwaga namwaga zangu nalalaaaaaaaaaaaaaaaaaa











Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
inaitwa health system management ( hsm) sijui kama wameibadiri sasa. ikiwa chini ya school of public adm. and management ndo maana wengine wanachanganya na kuuita public adm. and health system management
Imebadilishwa mwaka huu

the great
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
 
Je ni kweli kwamba Mzumbe kuna wanafunz wengi kiasi kwamba wanasoma kwa shift ya miez 3?
Na Mzumbe Inatoa course zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ni kweli tunasoma kwa shift ila sio miezi mitatu iko hivi
First year seminister ya kwanza ni mwezi wa kumi mpaka wa pili miezi minne baadae wanaenda likizo mpaka mwezi wasaba
Wanarudi wasaba mpaka mwezi wa kumi

Watafunga week moja or Siku nne wataanza mwaka wa pili

Mwaka wa pili semester ya kwanza mwezi wa kumi mpaka wa pili
Semester ya pili WA pili mpaka wasaba

Wataenda likizo mwezi wa saba mpaka wa kumi

Wataanza field studies wa kumi mpaka wa pili it meas that watafanya field miezi minne
Ambayo inahesabiwa kama semester ya kwanza maana watafanya research huko ambao ni ngumu usiombe

Mwezi wa pili or watatu watarudi chuo semester ya mwisho wa mwaka wa tatu mpaka wasaba

Ila inahusu school hizi
Sob
Sopam
Na baadhi fst
Ila kwa faculty of law
Fss
Baadhi ya fst
Huwa wanasemister kama kawaida au vyuo vingine

the great
 
Habari yako mkuu.
Ninaye kijana hapa ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu.Amepata division three point 13,alama zake ni kama zifuatazo:-
General study-S
History-E
Kiswahili-C
English language-E
Anapendelea kusomea degree ya sheria hapo mzumbe,je atapokelewa? na kama hatopokelewa kwa kozi hio,je anaweza chukua degree ya kozi gani kwa points hizo?.
Naomba msaada,tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sorry ni vigumu japo kuwa sikutishi unaweza omba lakini kupata nikazi sana maana kuna computation sana

the great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…