Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

Hivi mkia wa kenge una Sumu maana kuna documentary moja niliona ya hao kenge wakubwa (komodo) mmoja wpo alimpiga nyati mkubwa kwa kutumia mkia then kenge akakaa pemben kusikilizia.Baada ya muda mfupi yule nyati akadanja.
hapana hana sumu mkiani.ispokuwa mate yake yanaweza kugeuka sumu pale akikuuma.ile documentary hakumpiga na mkia bali alimuuma mguuni na kumsababishia kifo.kisha kumfamya kitoweo
 
Ni mnyama gani huishi maisha marefu zaidi kuliko wanyama wote? na kuna sababu yeyote ya kitaalamu ambayo imereason kwanini yeye aishi maisha marefu zaidi kuliko wengine?
 
Hivi nyoka ni vipofu au wanaona? na kama wanaona kwanini anaweza akakupitia miguuni kwako? ukiwa umetulia sehem moja? pili kazi ya ulimi wake ni nini? anapoutoa na kurudisha ndani? na kuna baadhi ya nyoka wanakuwa na kama mkia Fulani unachezecheza kwa nyuma..inawasaidia nn? na wake nyoka wa vichwa viwili inakuwa ni ulemavu au ndy maumbile yao? hao nyoka wanaitwaje?
 
Niongee swali hapa..

Kwanini nyoka wanavua magamba yao?
 
Ni mnyama gani huishi maisha marefu zaidi kuliko wanyama wote? na kuna sababu yeyote ya kitaalamu ambayo imereason kwanini yeye aishi maisha marefu zaidi kuliko wengine?
kwa wanyama tembo anaishi miaka mingi kuliko wanyama wengine ukiacha KOBE.tembo hufika zaidi ya miaka 70 porini lakini akifugwa hufika hata 90.factor kubwa sio sababu ya ukubwa wao sababu ukisema ukubwa mbona kobe mdogo lakini anaishi zaidi ya tembo??!!nadhani ni nature tuu ndo inaamua nani aishi zaidi ya mwingine.yako mambo ya kujiuliza mfano carnivores(wala nyama)wanazaa watoto wawili hadi wengine watoto 12.ukirudi wanyama wanaokula majani utakuwa wamezidi wingi mara 1000% ingawa wanazaa mtoto 1 na kukaa kipindi kirefu kabla ya kubeba mimba tena!.lifespan yao haijapishana sana kati ya hawa wala nyama na wala majani!.kwanini wala majani wawe wengi??!!nitakupa factors kidogo nnazojua.carnivores wanapozaa mfano kama simba watoto wanakuwa bado tegemezi kwa mama zao kuanzia chakula hadi ulinzi kitu kinachopelekea watoto kuwa vulnerable sana.watoto wa carnivores huchukua mda mrefu sana hadi kuweza kujisimamia wenyewe bila uangalizi wa wazazi.tukirudi kwa grazzers(wala majani)hata mbuzi na kondoo tunawafuga mtoto akizaliwa tuu ndani muda huo huo anakuwa active.anaweza kukimbia na mamaake popote wanapoenda kama ilivyo kwa nyumbu!!umeelewa hiyo point muhimu sana.watoto mfano wa simba au chui ni kuanzia wiki kadhaa mbele ndo hufumbua macho na kuweza hata kutembea.hii inawafanya watoto wa carnivores kuangukia kwenye mikono ya wanyama wengine wakali na kuliwa.
 
Thanks a lot mkuu kwa hii elimu uliyonipa,
God bless you.
 
nyoka anatumia ulimi wake kama antena ili kupata frequences ya kitu kilichopo mbele yake.sense of vision ya nyoka ni ndogo sana.anapotoa ulimi na kuurudisha ndani inapeleka straight kwenye ubongo utambuzi wa kilichopo mbele na kumpa decision ya kufanya.wale nyoka wenye kimkia kinacheza wanaitwa VIPER na PUFFY ADDER kile kimkia akitingisha anatoa taarifa ya uwepo wake pale ili usisogelee na kumfanya ajihami.hakuna nyoka wenye vichwa viwili hizo ni TALES tu.labla ikitokea ni abnomalities tuu au kijenetiki.ila nyoka na wanyama ALBINO wapo.
 
ile ngozi inakuwa imezeeka hivyo anaitoa inabaki ingine mpya.hamna sababu ingine
Nakazia,sababu kuu ya nyoka kujivua Gamba ni kwasababu ngozi yake inatanuka pale anapomeza window na kusinyaa Akisha digest,kufanya hivi Mara kwa Mara hupelekea ngozi kuchoka hivyo anatengeneza nyingine na kutoa iliyo loose
 
Kwa maana hii naweza sema Kobe anaishi muda mrefu zaidi kuliko Tembo..

Niliwahi kwenda tour na wenzangu nikamuona Kobe ameandikwa kuwa na zaidi ya miaka 150
 
Bro unamaanisha chui Serengeti lager
 
Sawa mkuu....lakini bado hujafafanua,,nyoka anaona au haoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…