Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Najifunza mengi sana unatoa free information kwa moyo wako wote God bless you manYeah ni muhimu ufanye hivyo, na endapo ulishafanya makadirio ya kodi kwa mwaka huu basi andika barua ya kufunga biashara then chukua na barua ya serikali ya mtaa ya uthibitisho kwamba biashara imefungwa na kodi zilizobakia (za mwaka huu) hautozilipa.. na kama una leseni ya biashara pia andika barua ya kufunga leseni yako
Najifunza mengi sana unatoa free information kwa moyo wako wote God bless you man
Hizi bei zako zinatia mashtaka au umeweka markup yako hapo?Gharama ya kusajili limited company huwa inategemea na share capital yake, nakuainishia kila kundi la share capital na gharama yake hapa chini
Mtaji Gharama za usajili
1. 20k-1M - 167,200
2. 1M-5M- 247,200
3. 5M-20M- 332,200
4. 20M-50M- 362,200
5. 50M mpaka mwisho 512,200
Tena sana maana huyu naye kaongeza.Niko ughaibuni nimemtumia ndugu yangu kusajili kampuni ya ujenzi.
Naye ni director . Kampuni ina wakurugenzi 3
Ila gharama alinambia ni 1,988,500.
Kwa gharama hizo ulizo ainisha maana yake amenipiga na kitu kizito?
Unapotaka kufungua biashara, wapi napaswa kuanza kwenda.Unaandika barua kwenda TRA kuwajulisha kuwa umefunga biashara, na utaandika barua kwenda halmashauri uliyochukua leseni ya biashara ili kuwajulisha waifunge leseni yako
Mbona jamaa ameweka sahihi kabisaHizi bei zako zinatia mashtaka au umeweka markup yako hapo?
Hupati leseni paka upate tax clearance,so lazima uanze tra wakutandike hela kwanzaUnapotaka kufungua biashara, wapi napaswa kuanza kwenda.
Je, Halmashauri au TRA?
Hizi bei zako zinatia mashtaka au umeweka markup yako hapo?
Tena sana maana huyu naye kaongeza.
Kwa kampuni yenye mtaji zaidi ya 50m gharama zake ni 440,000
Naomba kuongeza kuuliza kwamaba, kampuni inaweza kufanyabshughuli ambayi hakuandikwa kwenye memoradum. na kuna kosa gani kisheria kufanya hvyo.
yaani najiongezea huduma bila kuweka kwenye sheria ya kampuni
Naomba kujuzwa kuhusu kampuni ya magari ya kukodisha
Tuna kikundi chetu cha watu wanne na mtaji wa milioni 6 tunafanya biashara ya kukopeshana kazini kwetu, tunataka kusajili microfinance, hatua zipi tunatakiwa kuzifuata ili isajiliwe na kulipa kodi ya Serikali?
SectionTwenty
Niko ughaibuni nimemtumia ndugu yangu kusajili kampuni ya ujenzi.
Naye ni director . Kampuni ina wakurugenzi 3
Ila gharama alinambia ni 1,988,500.
Kwa gharama hizo ulizo ainisha maana yake amenipiga na kitu kizito?
Na je kama mnunuzi wako ni kutoka nje ya nchi na alikulipa cash?Naomba nimsaidie maana naona kaleta mada chokozi lakini hana majibu, VRN navyofahamu mimi ni vat registration number kwa lugha mama ni namba ya usajili wa vat.Faida yake ni kama umesajiliwa na kodi ya ongezeko la thamani yaani vat risiti zote za mauzo yako au manunuzi inatakiwa namba ya muuzaji na mnunuzi kama wote ni vat register ionekane kwenye risiti sababu ukiuza sana kuliko kununua unapeleka tra hiyo vat na kinyume chake ukinunua sana na ukawa haujauza sana basi ile tofauti ya manunuzi na uuzaji unarejeshewa na tra.Ili uweze rejeshewa risiti lazima iwe na hiyo vrn ya aliyekuuzia na ya kwako kwenye risiti ya manunuzi.
Mkuu Brela ni usajili na si watoaji wa leseni. Nadhani namba 1 ni sahihi ila namba 4 ni mamlaka inayohusika na hiyo biashara au halmashauri ya eneo alilopoHatua za kufuata ni 4 mkuu
1. Usajili wa kampuni BRELA
2. Usajili wa TIN ya kampuni na upatikanaji wa Tax Clearance (TRA)
3. Kibali cha kufanya biashara ya Microcredit kutoka BOT
4. Leseni ya biashara (BRELA)
Ukitaka msaada zaidi na kama una maswali ya ziada whatsapp na kawaida namba 0714499248
Pia brela wanatoa leseni za biashara mkuu.. ila inategemea na aina ya biashara sio biashara zote leseni zake zinapatikana manispaa.Mkuu Brela ni usajili na si watoaji wa leseni. Nadhani namba 1 ni sahihi ila namba 4 ni mamlaka inayohusika na hiyo biashara au halmashauri ya eneo alilopo