Nimesikiliiza .video ya CAG akieleza kuhusu ushuru wa madini takiribani mara 10.
kaniacha na maswali haya na nikiwa na mashaka mengi kama alichokuwa anaongea anakijua au anakifahamu.
1)kutokulipa ushuru wa usafilishaji wa madini nje ya nchi (tax export and VAT for export of mineral). najiuliza
a) anajua sababu za msingi kwa nini hawalipi?
b) je! sababu nizakibiashara au za kisheria ya mkataba walioingia?
c) anamifano ya nchi zingine hasa zilizoendelea wanafanyaje kwenye eneo hili?
2) kuhusu kutokulipa ushuru wa makampuni ya madini zaidi ya miaka 10.( corparate icome tax)
a) kwa nini hawalipi?
b)je! sheria imewakataza kulipa?
c) je! anamifano ya nchi zilizoendelea kuhusu ushuru wa namna hii njisi unavyotozwa?
3} je! hatupati faida kwenye madini kwa sababu ya ubovu wa mikata yasheria yetu ya madini au kwa sababu ya usimazi na wapiga shesabu wetu wabovu?.
CAG HUWEZI KUSHAURI VIZURI NJAMBO USILOLIJUA
WAZEE WETU MKAPA NA KIKWETE WASILAUMIWE KWA HAYA HAWANA HATIA KABISA.
mwenye hoja za haya maswali anijibu kama huna kaa silent usubili majibu yangu ndiyo utajua tatizo liko wapi wabongo kuondoka mikono mitupu kwenye madini yetu.
UCHAMBUZI HUU
Nitaufanya katika vipengele vitatu
1)sheria ya madini ya tanzania inavyoelekeza njisi ya kutoza shuru mbalimbali za madini
2)sheria za madini za baadhi ya nchi zilizoendelea na tunatofautiana nao kinamuna gani
3) nini tufanye ili tuweze kufaidi madini yetu.
Lengo kuu la uchambuzi wangu nikutaka kuelimishana pale nitakapokuwa ninauelewa potofu niweze kuelimishwa nami kwani kunawataaramu wengi kutoka wizara ya nishati na madini pia wapo wakala wetu Tanzania Mineral Audit Agency (TMAA) na dio wanahusika na mambo haya..
Lakini kunajambo huwa linaniuma sana nalo ni kuona wananchi wanalalamiaka, wabunge wanalalamika, mawaziri wanalalamika na Rais wetu sote tunalalamika kuwa tunaibiwa. lakini huwa sioni walalamikaji wakitoa sababu za kitaalamu jinsi tunavyoibiwa.
UCHAMBUZI KIPENGELE 1
1)SHERIA ya madini ya tanzania na inavyoelekeza njisi ya kutoza shuru mbalimbali za madini
TANZANIA MINING ACT 2010
CORPORATE INCOME TAXES (CIT) MINING ROYALTIES AND OTHER MINING TAXES
Kutokana na sheria hii ya 2010
uchambuzi wangu njisi ya mahesabu ya kukokotoa ushuru migodini ni kama ifuatavyo nitaelezea kuhusu madini ya dhahabu.
GROSS GOLD REVENUE(MAPATO GAFI YA DHAHABU
a) hapa tunatoza 4% kama mrahaba(4% royalt) kwa bei ya sokoni ya dhahabu
kilichobaki baada ya mrahaba kukatwa hukatwa garama zifuatazo
b)garama za uendeshaji hutolea na wenye mgodi(oporationing cost) hukatwa 100%
c)garama za ununuzi wa asset au utafiti wa mgodi hadi kuupata hukatwa kwa 100%(ore assets)
d)garama za ulipaji fidia wa ardhi pamoja na uendelezaji (land/ improvents) hukatwa kwa 100%
e)garama za majengo mgodini na nje ya magodi kukatwa kwa 100%
f)garama ya mitambo wa kuchakachua na mitambo(plant and machinery) hukatwa kwa 12.5/25/37.7%
g)garama ya kutengeza matunzio ya marudio(sanate) (tailing liners) hukatwa kwa 100%
h)garama za kazi/ujenzi unaoendela mgodini(work/construction in progress hukatwa kwa 100%
baada ya makato ya kipengele b hadi h kinachobaki ndiyo faida kabula ushuru wa kampuni(profit without corparate income tax)
hiki dicho kinatakiwa kitozwe 30% kama corparate income tax
kile kinachobaki baada makato hayo
ndiyo faida ya kampuni inayochimba madini.
wakuu kipengele cha b,c,d,e,f,g,h, katika utozaji ndicho kama kinasimama mtaji wa mwekezaji(investment capital for mining develompment) na hiki ndicho kinaleta utata sana kwani garama hizi huwa zinahitajika hata miaka kadhaa kuludisha kwa mwekezaji. kutokana na sheria yetu ya madini mwekezaji amepewa ruhusa ya kukata pesa zake zote alizowekeza ili aanze kulipa ushuru.na kihi ndicho kilikuwa kinaelezwa na
CAG Kuwa tax allowance anayopewa mwekezaji ni kubwa mno. na kiukweri hata mimi nasema garama hizi nikubwa mno na ndinyo mkataba wa madini ulivyo na diyo upo hivyo na haubadiliki kama alivyosema
CAG na hii siyo Tanzania tu hata austial, usa, canada china, chile ect mkataba huu upo hivyo ila tofauti ni kuwa wao garama kama hizo huzigawanya kwa idadi ya miaka ya uhai wa mgodi hivyo wawekezaji hukata kidogodogo hivyo hutoa nafasi ya mapato ya ushuru kupatikanika kila mwaka , kwetu ni tofauti ila inamaana ileile kwani wakikata garama zao zikiisha tutapata ushuru mkubwa sana kwa mwaka.
tatizo mbona garama za uwekezaji wao haziishi takribani sasa miaka 15?. CAG NA SERIKALI KABLA YA KULALAMIKA TUNAIBIWA FATILENI HAYA.
1) Oporation cost zao mfatilie kwa makini ninahisi huwa mnaongezewa utumbo hapa tena mwe makini na garama hizi kwa kuwa na monitaring system ili mjilizishe garama hizi daya to day
2)fatilieni uzalishaji wa dhahabu kuanzia tone za mawe zinazochimbwa hadi uchenjuaji wake wanapata kiasi gani day to day (dama kwa dama) hapa napo kunanafasi ya wizi.
kwa mtazamo wangu naona miaka 15 inapita garama zao haziishi kwa sababu tunaibiwa kupitia garama hizi na uzalishaji kudanganywa.
CAG
Kuhusu
EXPORT TAX FOR MINERAL
Nimefatilia nchi 22 ikewo, austrial, china, tanzania, ghana usa chile , peru, canada mexico congo, brazil etc
hazina export tax for mineral. kwa kufikri kwangu ni kwasababu ya mahesabu yote ya madini kuanzia mrahaba (royalty) hufanyika kwa bei ya soko la dunia hivyo hakuna faida wanayopata kutokana na export kulinganisha na bei ya mahesabu ya utozaji wa ushuru yanavyofanyika. sasa huwezi kumutoza royalty kwa bei ya soko la dunia tena unaenda kumusubili akulipe ushulu wa export . ila kuna baazi ya nch zimeweka tena kwa kiwango kikubwa kwa ajiri ya kukatisha tamaa wasiende kuuza nje ya nchi ili wawauzie wao kwa bei hiyo hiyo ya soko la dunia. sasa CAG tanzania wakisema watuuzie ili wasisafirishe tutaweza kununua?.
HUU NI UJAMBUZI WANGU NIPO TIARI KUKOSOLEWA ILI NIJIFUNZE ZAIDI
Nitaendeal na sehemu ya 2........................